CHIBURABANU
JF-Expert Member
- Sep 19, 2013
- 2,921
- 3,474
Halafu wanasema tujitokeze kwa wingi kwenye vituo vya kupigwa hiyo Chale.Chanjo zenyewe million moja wakati sisi tupo million 60
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Halafu wanasema tujitokeze kwa wingi kwenye vituo vya kupigwa hiyo Chale.Chanjo zenyewe million moja wakati sisi tupo million 60
Mikakati ya chini ya kapeti elimu bure imefutwa ,makinikia yanatoka kama zamani mafisadi wanapeta hawalipj kodi kama mwanzo ,sasa kuziba pengo la ufisadi lazima masikini akamiliwe kwa tozo na ada na michango mbalimbali kwenye elimuUkweli ni kuwa, mzunguko umekuwa mdogo zaidi kuliko hata kipindi cha JPM.
Hii ni kutokana na kupanda kwa bei ya bidhaa na huduma. Mambo yamekuwa magumu zaidi.
Hakuna hela yeyote.
Acha uongo wewe ni sukuma gang...unasemaje hali imekuwa ngumu zaidi wakati kikwete katoka kitambi kabisa na kunenepa [emoji1787][emoji1787]mara tu baada ya magu kufariki wacha uongoMi naona hali ndiyo imekuwa mbaya kabisa bora mwanzo tu
Anaupiga mwingi mpaka kautoa nje[emoji23][emoji23][emoji23]Hivi Malisa bado anatoa vile vi makala vyake vya kumsifia mama?
Kichwa chako hakiko poa, so hujui kuwa haya yote ni kwa sababu yake?Akili za kijinga kabisa zilikuwa,Sasa hayupo hizo pesa zipo wapi, mikitu imekalisha... Kijiweni kutwa haifanyi kazi ukiigusw t inakwambia huyu Magufuli kaficha pesa.
Nakumbusha tu Magu aliacha Bei ya Diesel sh 1750,hakikuwa na tozo za line wala ongezeko ktk miamala.
Hakuna mtu timamu lakini anayeweza kumkumbuka jiwe, japo mama anaupiga mwingi mpaka kautoa nje lakini ni bora kuliko kipindi cha JiweZirudi wapi. Soon wataanza kumkumbuka Magufuli wasimpate. Hakuna taifa lenye fedha mitaani zaidi ya uvivu na ukosefu wa ubunifu.
Wew ni chizi au masikiniWaliotupumbaza kumpinga JPM na harakati zake kwa mazingira yanavyoonekana wanakutana na hela ila sisi pangu pakavu mazingira yamekuwa magumu zaidi kuliko awali maana jamaa wanataka kufidia hasara ya miaka 6 ndani ya muda mfupi.
JPM angevumiliwa walau miaka 5 tena nchi ingebadilika walau kwa asilimia kadhaa kuliko sasa ambapo tunarudi nyuma kwa kasi.
Tulidanganywa na siasa uchwara za mitandaoni tukamkatisha tamaa jpm.
Kauli ya jpm kuwa matajiri wataishi kama mashetani ilimaanisha matajiri wetu wengi ni wezi hivyo alikuwa anaitaka pesa ya umma kufanyia shughuli za umma.
Hakika tulimuelewa vibaya yule mzee.
MAZEE VIPI BANA, JPM MLISEMA ANAOGOPA KUSAFIRI BORA AJE MWINGINE ATEMBEZE BAKULI, HAYA NA MAMA NAYE SAFARI KIDUCHU TU MMESHINDWA KUVUMULIA?Miss utalii anachoweza ni kutalii tu. Nothing more
Magufuli alikuwa anajitahidi kuiweka nchi katika njia sahihi lakini nadhani lengo hilo lilimletea maadui wengi sana. Watanzania tulizowea sana kupata hela ambazo zinatakokana na matendo haramu kama wizi wa hela za umma, au malipo ya serikali yasiyokuwa halali, au malipo ya serikali yasiyokuwa lazima. Sasa hivi mama akitaka kuleta zile za kikwete atapata wakati mgumu sana kwani miradi ya magufuli inayomsubiri ni mikubwa sana kuweza kuchezea hela za umma, Inaweza ikamshinda.Moja ya malalamiko ya kipumbavu kabisa yaliyokuwepo enzi za utawala wa Rais Magufuli ni kuwa eti hela hazikuwepo mtaani.
Sijui ni lini hasa Tanzania hii ambapo hela zilikuwepo bwerere mtaani! Kwa sababu, Tanzania ni nchi maskini. Ni nchi ya ulimwengu wa tatu.
Vipato vya wananchi wake ni vya chini sana. Si nchi nyingi ambazo nchi yetu imezipita kwa vipato vya wananchi.
Na tumekuwa nchi ambayo wananchi wake ni wa kipato cha chini tokea tuwe taifa na nina uhakika kabla hata ya kuwa taifa.
Lakini katika utawala uliopita tuliaminishwa mzunguko wa hela umebanwa na hivyo kupelekea kutokea upungufu wake mtaani/ mitaani.
Baada ya kumpata huyu Rais wetu mpya, aliye mpole na msikivu, mwenye kuongea Kiingereza kizuri kabisa 😉, tukaambiwa sasa mzunguko wa hela utarudi na hela zitakuwepo mtaani kama ilivyokuwa kabla ya kuja kwa dikteta Magufuli!
Sasa niaje raia? Mama kesharudisha hayo mahela mitaani?
Kama hayo mahela yamesharudi mitaani kwa nini mnalialia kuhusu vijitozo vya shilingi 100 mtumapo hela kwenye Em Pesa?
Kwa mnaojua hayo mahela yalipo, msiwe wachoyo. Tauambieni na sie wengine tuje tuyaokote bana.
Vilivyo vizuri kuleni na sie ndugu zenu.
Tuendelee kuupiga mwingi 😉.
Umepata bilioni ngapi miezi mitatu iliyopita? Kwa hiyo kelele ya kodi ya miamala ya nini tena.Wew ni chizi au masikini
Sijapata chochote mkuu kutokana na hilo kwani sina biashara huko wala mahusianoUmepata bilioni ngapi miezi mitatu iliyopita? Kwa hiyo kelele ya kodi ya miamala ya nini tena.
Kwa vile madawa yamerudi mitaani na pesa zitarudi hakuna shidaMoja ya malalamiko ya kipumbavu kabisa yaliyokuwepo enzi za utawala wa Rais Magufuli ni kuwa eti hela hazikuwepo mtaani.
Sijui ni lini hasa Tanzania hii ambapo hela zilikuwepo bwerere mtaani! Kwa sababu, Tanzania ni nchi maskini. Ni nchi ya ulimwengu wa tatu.
Vipato vya wananchi wake ni vya chini sana. Si nchi nyingi ambazo nchi yetu imezipita kwa vipato vya wananchi.
Na tumekuwa nchi ambayo wananchi wake ni wa kipato cha chini tokea tuwe taifa na nina uhakika kabla hata ya kuwa taifa.
Lakini katika utawala uliopita tuliaminishwa mzunguko wa hela umebanwa na hivyo kupelekea kutokea upungufu wake mtaani/ mitaani.
Baada ya kumpata huyu Rais wetu mpya, aliye mpole na msikivu, mwenye kuongea Kiingereza kizuri kabisa [emoji6], tukaambiwa sasa mzunguko wa hela utarudi na hela zitakuwepo mtaani kama ilivyokuwa kabla ya kuja kwa dikteta Magufuli!
Sasa niaje raia? Mama kesharudisha hayo mahela mitaani?
Kama hayo mahela yamesharudi mitaani kwa nini mnalialia kuhusu vijitozo vya shilingi 100 mtumapo hela kwenye Em Pesa?
Kwa mnaojua hayo mahela yalipo, msiwe wachoyo. Tauambieni na sie wengine tuje tuyaokote bana.
Vilivyo vizuri kuleni na sie ndugu zenu.
Tuendelee kuupiga mwingi [emoji6].
Hoja ya kipumbavu pia kutoka kwa asiye mchumi. Ambaye hujui Ni vp monetary and fiscal policy/measures zinavyooperate.Moja ya malalamiko ya kipumbavu kabisa yaliyokuwepo enzi za utawala wa Rais Magufuli ni kuwa eti hela hazikuwepo mtaani.
Sijui ni lini hasa Tanzania hii ambapo hela zilikuwepo bwerere mtaani! Kwa sababu, Tanzania ni nchi maskini. Ni nchi ya ulimwengu wa tatu.
Vipato vya wananchi wake ni vya chini sana. Si nchi nyingi ambazo nchi yetu imezipita kwa vipato vya wananchi.
Na tumekuwa nchi ambayo wananchi wake ni wa kipato cha chini tokea tuwe taifa na nina uhakika kabla hata ya kuwa taifa.
Lakini katika utawala uliopita tuliaminishwa mzunguko wa hela umebanwa na hivyo kupelekea kutokea upungufu wake mtaani/ mitaani.
Baada ya kumpata huyu Rais wetu mpya, aliye mpole na msikivu, mwenye kuongea Kiingereza kizuri kabisa [emoji6], tukaambiwa sasa mzunguko wa hela utarudi na hela zitakuwepo mtaani kama ilivyokuwa kabla ya kuja kwa dikteta Magufuli!
Sasa niaje raia? Mama kesharudisha hayo mahela mitaani?
Kama hayo mahela yamesharudi mitaani kwa nini mnalialia kuhusu vijitozo vya shilingi 100 mtumapo hela kwenye Em Pesa?
Kwa mnaojua hayo mahela yalipo, msiwe wachoyo. Tauambieni na sie wengine tuje tuyaokote bana.
Vilivyo vizuri kuleni na sie ndugu zenu.
Tuendelee kuupiga mwingi [emoji6].
Kamanda ushaokota shi’ngapi mtaani?Hoja ya kipumbavu pia kutoka kwa asiye mchumi. Ambaye hujui Ni vp monetary and fiscal policy/measures zinavyooperate.
Jiridhishe pia tofauti ya mzunguko wa hela kiuchumi na ujazo wa hela kiuchumi utajua watu hoja yao ilikuwa Ina mashiko au laa.
Inatakiwa elaborate plan kuweka pesa kwa kila mfuko wa Mtanzania, nasikia kiwanda cha Urafiki kimeanza kuchapa kanga, kulipa madeni, naona hata nyanja itapanda bei, wachache bidhaa za viwandani.Moja ya malalamiko ya kipumbavu kabisa yaliyokuwepo enzi za utawala wa Rais Magufuli ni kuwa eti hela hazikuwepo mtaani.
Sijui ni lini hasa Tanzania hii ambapo hela zilikuwepo bwerere mtaani! Kwa sababu, Tanzania ni nchi maskini. Ni nchi ya ulimwengu wa tatu.
Vipato vya wananchi wake ni vya chini sana. Si nchi nyingi ambazo nchi yetu imezipita kwa vipato vya wananchi.
Na tumekuwa nchi ambayo wananchi wake ni wa kipato cha chini tokea tuwe taifa na nina uhakika kabla hata ya kuwa taifa.
Lakini katika utawala uliopita tuliaminishwa mzunguko wa hela umebanwa na hivyo kupelekea kutokea upungufu wake mtaani/ mitaani.
Baada ya kumpata huyu Rais wetu mpya, aliye mpole na msikivu, mwenye kuongea Kiingereza kizuri kabisa [emoji6], tukaambiwa sasa mzunguko wa hela utarudi na hela zitakuwepo mtaani kama ilivyokuwa kabla ya kuja kwa dikteta Magufuli!
Sasa niaje raia? Mama kesharudisha hayo mahela mitaani?
Kama hayo mahela yamesharudi mitaani kwa nini mnalialia kuhusu vijitozo vya shilingi 100 mtumapo hela kwenye Em Pesa?
Kwa mnaojua hayo mahela yalipo, msiwe wachoyo. Tauambieni na sie wengine tuje tuyaokote bana.
Vilivyo vizuri kuleni na sie ndugu zenu.
Tuendelee kuupiga mwingi [emoji6].
Amani ya Shetani anayo kuzimu huko anakounguua moto wa milele katili huyoMagufuli amani ya bwana iwe nawe mpenzi.umetupa baraka..nasikitika Sana amekufa kizembe kuliko hata raia wa kawaida.kachwanjeni
Mabilioni huwa yanaokotwa, wewe jamaa huwa mshamba sana na zwazwa la kisukumaWe ushaokota mabilioni mangapi?