King Kong III
JF-Expert Member
- Oct 15, 2010
- 56,205
- 79,515
Hata kama mtu unapesa hauwezi kukubali kuranguliwa.Moja ya malalamiko ya kipumbavu kabisa yaliyokuwepo enzi za utawala wa Rais Magufuli ni kuwa eti hela hazikuwepo mtaani.
Sijui ni lini hasa Tanzania hii ambapo hela zilikuwepo bwerere mtaani! Kwa sababu, Tanzania ni nchi maskini. Ni nchi ya ulimwengu wa tatu...
Ukitaka kujua pesa ipo mtaani au lah basi angalia kasi ya ujenzi , idadi ya watu kwenye shopping malls /super markets /local markets etc