Huyo ndio mkaanga sumu mwenyewe wanahadaa watu eti anaenda kucease fire kumbe ndio kuchochea, uzuri hamas alikwisha chora msitari uongozi wa Gaza ni chini hamas and only hamas vyovyote iwavyo wao wanataka waiongoze gaza wahuni hamna atakachofanya huyo blinken ni mzururaji tu shetani kama wenzie
Humsomi wewe nananiHuwa hatukusomi sana sababu vyanxo vyako huwa vya kuokoteza sana
Kwasasa Ghaza hakuna resistanceHiyo ilitarajiwa. Lakini hiyo resistance italast kwa muda gani? Hata Gaza tuliona resistance mwanzoni!
Alokwambia kama vita ya ardhini ya kizamani nani vita unaweza ukapigana engo zote kama ulivyosema ila kama unataka kushinda vita lazima uende ardhini na hapa ndio panatoa mshindi wa vita jambo ambalo ukweli ulio wazi israhell hio engo hana maajabuHujajibu nilichokuuliza!
Ni kweli, Israel bila msaada wa US atapata wakati mgumu sana kwenye vita.
Ila wewe umezungumzia vita vya ardhini.
Ni hivi, vita vya ardhini ni vya kizamani, ni vyenye hatari nyingi, na havina mwenyewe.
Jeshi moja linaweza kuwa na vifaru, bunduki za kisasa, na kadhalika lakini ikija kwenye mpambano, linaweza kupoteza askari wengi pia.
Hiyo ni kwa sababu dynamics za ardhini ni tofauti kabisa na za angani.
Ardhini ni mwendo ya kuviziana na kunyatiana tu. Wewe hata uwe na AK 47, mwenye gobole anaweza akakujambisha, hususan kama umeingia kupigana alipo yeye.
Risasi ni risasi tu. Unakuja kwangu na AK 47 yako halafu mimi nakusubiri kwenye sehemu yangu ya kujificha na gobole langu.
Ukiingia tu kwenye 18, nakudungua na gobole langu. Wewe na AK 47 yako chali.
Vita vya ardhini havihitaji akili kubwa. Vya angani na vya majini ndo vinahitaji akili kubwa.
Ndo maana unaona vita nyingi za siku hizi zinapiganiwa angani zaidi.
Ardhini hakuna mwenye advantage kubwa na ndo maana unadhani Israel ni mchovu wakati si kweli.
Risk yake ipo palepale kwa pande zote.
Na huu ndio ukweliHuwezi shinda vita kwa kutumia anga tu,ndiyo maana israel kaweka wanajeshi 80k kaskazini anakopakana na lebanon licha ya kubomoa majumba kwa ndege
Nani kasema unashinda vita kwa kutumia anga tu?
Anga unaitumia ku neutralize vilivyopo ardhini halafu ndo unaingiza askari wa miguu.
Hii ni common sense tu mbona!
Air superiority ni muhimu sana katika vita.
Ukitawala anga basi chances za wewe kushinda vita ni kubwa sana.
Ila ukweli unabakia pale pale vita ya ardhini sio ya kizamaniYote uliyosema ni common sense tu mbona!
Unatumia kwanza anga. Baada ya hapo unaingia ardhini kulingana na malengo uliyojiwekea.
Vita vya kumtoa Saddam toka Kuwait vilianzia angani halafu baadaye ndo shughuli ya ardhini ikafuata.
Vivyo hivyo, vita dhidi ya Iraq ya 2003 ilianzia angani pia halafu baadaye ndo askari wa ardhini ndo wakaingia Iraq.
Au wewe unachotaka kuona ni askari wa IDF wakiingia Lebanon kichwa kichwa tu bila wana anga kufanya vitu vyao kwanza?
Huo utakuwa ni ujuha wa mwisho kabisa.
Hii siyo vita ya Banyamulenge na jeshi la Mobutu 🤣.
Vitani ni lazima uwe realistic. La sivyo mtafyekwa kama sisimizi.
Halafu, vitani ni lazima kutakuwa na casualties tu. Hilo haliepukiki na ni kwa pande zote.
Hakuna vita ambayo wanaokufa wanakuwa ni wa upande mmoja tu.
Hivyo, hata kama askari wa IDF watakufa, mwisho mshindi wa vita atakuwa ni IDF tu.
Hata Marekani walipoteza maelfu ya askari kwenye vita dhidi ya Iraq.
Lakini guess what? Walishinda vita.
Ni expectations za kijinga na kijuha kudhani kwamba baadhi ya majeshi askari wao hawawezi kufa vitani kisa tu eti wana superior military.
Lengo la vita huwa nalifananisha na boxing. Aim ya boxing ni to hit and not get hit.
Vivyo hivyo, vitani, lengo ni kuua na wewe kuepuka kuuliwa.
Lakini vilevile, inabidi uwe realistic. Kama ilivyo kwenye boxing, hata ukishinda kwa knockout, tuseme kwenye raundi ya 6, hiyo haina maana wewe hukupigwa ngumi hata moja na mpinzani wako.
Unaweza kushinda kwa knockout lakini nawe ukawa umetolewa nundu usoni.
Lengo la kutumia air superiority ni kurahisisha kazi ya jeshi la ardhini katika kupunguza risk.
Just simple, basic common sense ambayo hata mtu kama mimi nisiye na training yoyote ile katika military and warfare strategy, ninaiona ina make sense.
Hiki si ndio kitanda cha mungu wa kizayuni anacholalia walisema hakiwaki
Labda huko kwenu huku kwetu haijaisha ila inaelekea mwishoLazima tukubali tu kwamba dunia imeisha..!!
Kuua raia sio kushinda vita wewe mzayuni wa jfHamas na Hezballah wanabokolewa kama mbwa koko; wao wanachoweza ni kujifunga mabomu na kujilipua..na ndiyo maana wanapigana vita na nguo za kiraia, yaani katika uwanja wa vita hujui raia yupi na mgambo ni yupi.
Kwa kweli maafa yanayowakuta si jambo jema la kuongea hapa, wanakufa mno ndugu zangu, sasa hatujui ni ujinga wao ama dini yao ndiyo imewapumbaza.
Yaani Gaza peke yake misiba ni zaidi ya 45,000 achikia mbali vilema.
usilalamike maana shughuli haijaisha, HAMAS wanajichanganya kwenye misikiti, mashule, mahospitalni na kwenye makambi ya wakimbizi ya UN - mbaya zaidi wanashambulia kwa kuvizia kisha wanaibukia misikitini, mashuleni nk na kanzu zao. Yaani hapo hujui raia yupi na mwanamgambo ni yupi.Kuua raia sio kushinda vita wewe mzayuni wa jf
Naona wewe ndio umeamua kulalama hio lalama haitasaidia endeleeni kuwasapoti wavaa pampers wenu watatema tu bungo huu mwakausilalamike maana shughuli haijaisha, HAMAS wanajichanganya kwenye misikiti, mashule, mahospitalni na kwenye makambi ya wakimbizi ya UN - mbaya zaidi wanashambulia kwa kuvizia kisha wanaibukia misikitini, mashuleni nk na kanzu zao. Yaani hapo hujui raia yupi na mwanamgambo ni yupi.
Hao dawa yao ndiyo hiyo - ni kutandika.
Hongera IDF maana bila hivyo vita hii msingeiweza kabisa.
Huyo ni mmoja tu wangekua watatu hapo, hawa Israeli wajue kua Iran kila siku anachukua notice tu, na ameshajua uhodari na udhaifu uliopo na ndio maana Ayatollah juzi alisema Israeli hamuwezi hizbollah nadhani wameshafanya research kuhusu hilo. Saivi ndhan wanafikiria kuhusu US na UK ndio equation ilipo atavuka vipi hivyo viunzi ili amtie adabu huyu fala msabato
Labda huko kwenu huku kwetu haijaisha ila inaelekea mwisho
Sikulijua hili, kumbe Sinwar alienda na IDF.Infantry ni ngumu sana
Hasa unapoingia territory ya watu wengine..Israel inapigwa sana wanajeshi wake wanakufa sana hata pale juzi walipomuua Sinwar kundi kubwa liliuwawa ila wao hawasemi hilo wanaficha sana..
Ili iwe vita lazima upadnę moja ushinde!! Na bila kupepesamacho magaidi wa Hamas na Hezboullah wanaula wa. Chuya maana kila kukicha wao wanapigwa kipigo cha mbwa-koko na wao wakiua mtu mmoja kwao wanaona ni ushindi wanashangilia usiku kuchwa. Na hii inaonyesha ni jinsi gani walivyo dhaifu kwenye uwanja wa vita. Hamas sijaona sehemu yoyote wameweza kuyasimamisha majeshi ya Israel katika vita hii huko Gaza. Kwa upande wa Hezboullah waliokuwa wakisifiwa sana na wapenda magaidi wao ndiyo Hovyo kabisa toka Israel ianze kuwashughulikia kikamilifu Chain of Command yao yote ilipukutishwa akiwemo Sayyed Hassn Nasrallah. Mpaka sasa hivi wanabondwa ile mbaya mbwa hawa wakati mwenye Mbwa(Iran)naye anasubiri kipondo!!!Tatizo mahaba yanamzidi nguvu mtu mpaka anaona wayahudi hawafi wala kujeruhiwa
Sijawahi kuona vita ya upande mmoja tu wanauwa zaidi ya movies