Helikopta ya 10 ya kijeshi ilitua katika Hospitali ya Sheba-Tel Hashomer, ikiwa imebeba wanajeshi na maafisa waliofariki na kujeruhiwa katika mapigano

Helikopta ya 10 ya kijeshi ilitua katika Hospitali ya Sheba-Tel Hashomer, ikiwa imebeba wanajeshi na maafisa waliofariki na kujeruhiwa katika mapigano

Hujajibu nilichokuuliza!

Ni kweli, Israel bila msaada wa US atapata wakati mgumu sana kwenye vita.

Ila wewe umezungumzia vita vya ardhini.

Ni hivi, vita vya ardhini ni vya kizamani, ni vyenye hatari nyingi, na havina mwenyewe.

Jeshi moja linaweza kuwa na vifaru, bunduki za kisasa, na kadhalika lakini ikija kwenye mpambano, linaweza kupoteza askari wengi pia.

Hiyo ni kwa sababu dynamics za ardhini ni tofauti kabisa na za angani.

Ardhini ni mwendo ya kuviziana na kunyatiana tu. Wewe hata uwe na AK 47, mwenye gobole anaweza akakujambisha, hususan kama umeingia kupigana alipo yeye.

Risasi ni risasi tu. Unakuja kwangu na AK 47 yako halafu mimi nakusubiri kwenye sehemu yangu ya kujificha na gobole langu.

Ukiingia tu kwenye 18, nakudungua na gobole langu. Wewe na AK 47 yako chali.

Vita vya ardhini havihitaji akili kubwa. Vya angani na vya majini ndo vinahitaji akili kubwa.

Ndo maana unaona vita nyingi za siku hizi zinapiganiwa angani zaidi.

Ardhini hakuna mwenye advantage kubwa na ndo maana unadhani Israel ni mchovu wakati si kweli.

Risk yake ipo palepale kwa pande zote.
Alokwambia kama vita ya ardhini ya kizamani nani vita unaweza ukapigana engo zote kama ulivyosema ila kama unataka kushinda vita lazima uende ardhini na hapa ndio panatoa mshindi wa vita jambo ambalo ukweli ulio wazi israhell hio engo hana maajabu
 
Nani kasema unashinda vita kwa kutumia anga tu?

Anga unaitumia ku neutralize vilivyopo ardhini halafu ndo unaingiza askari wa miguu.

Hii ni common sense tu mbona!

Air superiority ni muhimu sana katika vita.

Ukitawala anga basi chances za wewe kushinda vita ni kubwa sana.

Yote uliyosema ni common sense tu mbona!

Unatumia kwanza anga. Baada ya hapo unaingia ardhini kulingana na malengo uliyojiwekea.

Vita vya kumtoa Saddam toka Kuwait vilianzia angani halafu baadaye ndo shughuli ya ardhini ikafuata.

Vivyo hivyo, vita dhidi ya Iraq ya 2003 ilianzia angani pia halafu baadaye ndo askari wa ardhini ndo wakaingia Iraq.

Au wewe unachotaka kuona ni askari wa IDF wakiingia Lebanon kichwa kichwa tu bila wana anga kufanya vitu vyao kwanza?

Huo utakuwa ni ujuha wa mwisho kabisa.

Hii siyo vita ya Banyamulenge na jeshi la Mobutu 🤣.

Vitani ni lazima uwe realistic. La sivyo mtafyekwa kama sisimizi.

Halafu, vitani ni lazima kutakuwa na casualties tu. Hilo haliepukiki na ni kwa pande zote.

Hakuna vita ambayo wanaokufa wanakuwa ni wa upande mmoja tu.

Hivyo, hata kama askari wa IDF watakufa, mwisho mshindi wa vita atakuwa ni IDF tu.

Hata Marekani walipoteza maelfu ya askari kwenye vita dhidi ya Iraq.

Lakini guess what? Walishinda vita.

Ni expectations za kijinga na kijuha kudhani kwamba baadhi ya majeshi askari wao hawawezi kufa vitani kisa tu eti wana superior military.

Lengo la vita huwa nalifananisha na boxing. Aim ya boxing ni to hit and not get hit.

Vivyo hivyo, vitani, lengo ni kuua na wewe kuepuka kuuliwa.

Lakini vilevile, inabidi uwe realistic. Kama ilivyo kwenye boxing, hata ukishinda kwa knockout, tuseme kwenye raundi ya 6, hiyo haina maana wewe hukupigwa ngumi hata moja na mpinzani wako.

Unaweza kushinda kwa knockout lakini nawe ukawa umetolewa nundu usoni.

Lengo la kutumia air superiority ni kurahisisha kazi ya jeshi la ardhini katika kupunguza risk.

Just simple, basic common sense ambayo hata mtu kama mimi nisiye na training yoyote ile katika military and warfare strategy, ninaiona ina make sense.
Ila ukweli unabakia pale pale vita ya ardhini sio ya kizamani
 
Hamas na Hezballah wanabokolewa kama mbwa koko; wao wanachoweza ni kujifunga mabomu na kujilipua..na ndiyo maana wanapigana vita na nguo za kiraia, yaani katika uwanja wa vita hujui raia yupi na mgambo ni yupi.

Kwa kweli maafa yanayowakuta si jambo jema la kuongea hapa, wanakufa mno ndugu zangu, sasa hatujui ni ujinga wao ama dini yao ndiyo imewapumbaza.

Yaani Gaza peke yake misiba ni zaidi ya 45,000 achikia mbali vilema.
 
Hamas na Hezballah wanabokolewa kama mbwa koko; wao wanachoweza ni kujifunga mabomu na kujilipua..na ndiyo maana wanapigana vita na nguo za kiraia, yaani katika uwanja wa vita hujui raia yupi na mgambo ni yupi.

Kwa kweli maafa yanayowakuta si jambo jema la kuongea hapa, wanakufa mno ndugu zangu, sasa hatujui ni ujinga wao ama dini yao ndiyo imewapumbaza.

Yaani Gaza peke yake misiba ni zaidi ya 45,000 achikia mbali vilema.
Kuua raia sio kushinda vita wewe mzayuni wa jf
 
Kuua raia sio kushinda vita wewe mzayuni wa jf
usilalamike maana shughuli haijaisha, HAMAS wanajichanganya kwenye misikiti, mashule, mahospitalni na kwenye makambi ya wakimbizi ya UN - mbaya zaidi wanashambulia kwa kuvizia kisha wanaibukia misikitini, mashuleni nk na kanzu zao. Yaani hapo hujui raia yupi na mwanamgambo ni yupi.
Hao dawa yao ndiyo hiyo - ni kutandika.
Hongera IDF maana bila hivyo vita hii msingeiweza kabisa.
 
usilalamike maana shughuli haijaisha, HAMAS wanajichanganya kwenye misikiti, mashule, mahospitalni na kwenye makambi ya wakimbizi ya UN - mbaya zaidi wanashambulia kwa kuvizia kisha wanaibukia misikitini, mashuleni nk na kanzu zao. Yaani hapo hujui raia yupi na mwanamgambo ni yupi.
Hao dawa yao ndiyo hiyo - ni kutandika.
Hongera IDF maana bila hivyo vita hii msingeiweza kabisa.
Naona wewe ndio umeamua kulalama hio lalama haitasaidia endeleeni kuwasapoti wavaa pampers wenu watatema tu bungo huu mwaka
 

Attachments

  • Screenshot_20240817-213406.jpg
    Screenshot_20240817-213406.jpg
    306.8 KB · Views: 1
Infantry ni ngumu sana
Hasa unapoingia territory ya watu wengine..Israel inapigwa sana wanajeshi wake wanakufa sana hata pale juzi walipomuua Sinwar kundi kubwa liliuwawa ila wao hawasemi hilo wanaficha sana..
Sikulijua hili, kumbe Sinwar alienda na IDF.
 
Tatizo mahaba yanamzidi nguvu mtu mpaka anaona wayahudi hawafi wala kujeruhiwa
Sijawahi kuona vita ya upande mmoja tu wanauwa zaidi ya movies
Ili iwe vita lazima upadnę moja ushinde!! Na bila kupepesamacho magaidi wa Hamas na Hezboullah wanaula wa. Chuya maana kila kukicha wao wanapigwa kipigo cha mbwa-koko na wao wakiua mtu mmoja kwao wanaona ni ushindi wanashangilia usiku kuchwa. Na hii inaonyesha ni jinsi gani walivyo dhaifu kwenye uwanja wa vita. Hamas sijaona sehemu yoyote wameweza kuyasimamisha majeshi ya Israel katika vita hii huko Gaza. Kwa upande wa Hezboullah waliokuwa wakisifiwa sana na wapenda magaidi wao ndiyo Hovyo kabisa toka Israel ianze kuwashughulikia kikamilifu Chain of Command yao yote ilipukutishwa akiwemo Sayyed Hassn Nasrallah. Mpaka sasa hivi wanabondwa ile mbaya mbwa hawa wakati mwenye Mbwa(Iran)naye anasubiri kipondo!!!
 
Back
Top Bottom