permanides
JF-Expert Member
- May 18, 2013
- 11,682
- 14,241
Watasema picha ya zamani
Nani ni bingwa wa ardhini?Ila Israel vita ya ardhini sijui kwanini ni wachovu.
Ni wazuri wa covert ops na sabotage, pia ni wazuri kwenye air force lakini infantry jamaa ni weupe.
Kwa hiyo mwamba kauliwa? 🤣Watasema picha ya zamani
Wananyukwaaaaa vibaya sana mkuu mpaka wase.e poooHahaha Wasilamu mnatandikwa vibaya mno!
Gaza imegeuka kuwa kaburi la halaiki.
Soon Lebanon itakuwa hivyo.
Israel si kitu pasipo msaada wa US na nchi za EU.Nani ni bingwa wa ardhini?
Halafu ni weupe kivipi? Nani kawahi kuivamia Israel na akafanikiwa?
Iran sio level za Israel, mnaionea Israel.mmh katangaza Iran kichezaa itageuka gaza
Hiyo ilitarajiwa. Lakini hiyo resistance italast kwa muda gani? Hata Gaza tuliona resistance mwanzoni!⚡️Hebrew Media:
🇮🇱🇱🇧 A large number of Israeli military helicopters have landed at various hospitals a short while ago due to heavy clashes taking place in the northern border.
The clashes are still ongoing in 3 areas in southern Lebanon.
😂
Two more U.S. Air Force C-17 Military Transports from Fort Cavazos in Texas are preparing to land in Southern Israel. These are the Sixth and Seventh C-17s carrying Air Defense Equipment and American Personnel to arrive in Israel within the last 24 Hours, with several more on the way from United States.Ila Israel vita ya ardhini sijui kwanini ni wachovu.
Ni wazuri wa covert ops na sabotage, pia ni wazuri kwenye air force lakini infantry jamaa ni weupe.
Nani ni bingwa wa ardhini?
Halafu ni weupe kivipi? Nani kawahi kuivamia Israel na akafanikiwa?
Teknolojia inakuja ku replace mwanadamu kujiumiza ili uonekane mwamba. Kwanini ytembee kilomita maelfu wakati unaweza kukaa ofisini na computer na kuamrisha vyuma kwenda mahala popote unapo pataka na ukapata matokeo unayo yataka?. Unadhani ingewachukua siku ngapi hezb kuingia kambi walio ishambulia hapo juzi? Lakini walitumia drone kufanikisha adhma yaoIla Israel vita ya ardhini sijui kwanini ni wachovu.
Ni wazuri wa covert ops na sabotage, pia ni wazuri kwenye air force lakini infantry jamaa ni weupe.
We bwege nani anataka usome tupo sisi we kawasome watu wakanisani na story za mkosa nyumba.Huwa hatukusomi sana sababu vyanxo vyako huwa vya kuokoteza sana
Huyo marioo ndo chanzo cha habari? Em subscribe hata aljazeera, CNN, times of Israel, hertz,. Kwenye video uliyo attach nilitarajia kuiona helcopter ikitua kweli na ikishusha maiti🤣.
Kujiandikisha serikali za mitaa😂Hizi video zinaonyesha nini jamani! Samahani lakini
Sasa unaamini habari za huyo jamaa, source yake ni Marioo?Ila Israel vita ya ardhini sijui kwanini ni wachovu.
Ni wazuri wa covert ops na sabotage, pia ni wazuri kwenye air force lakini infantry jamaa ni weupe.