Helikopta ya 10 ya kijeshi ilitua katika Hospitali ya Sheba-Tel Hashomer, ikiwa imebeba wanajeshi na maafisa waliofariki na kujeruhiwa katika mapigano

Helikopta ya 10 ya kijeshi ilitua katika Hospitali ya Sheba-Tel Hashomer, ikiwa imebeba wanajeshi na maafisa waliofariki na kujeruhiwa katika mapigano

Nani ni bingwa wa ardhini?

Halafu ni weupe kivipi? Nani kawahi kuivamia Israel na akafanikiwa?
Israel si kitu pasipo msaada wa US na nchi za EU.
Egypt tu inaitandika Israel inapotea wakienda man to man, hakuna kuingilia, japo ni kitu kisichowezekana katika uhalisia.

Hata six days war Israel ilipewa msaada mkubwa na nchi za magharibi kuanzia intel hadi silaha.
 
⚡️Hebrew Media:

🇮🇱🇱🇧 A large number of Israeli military helicopters have landed at various hospitals a short while ago due to heavy clashes taking place in the northern border.

The clashes are still ongoing in 3 areas in southern Lebanon.
😂
Hiyo ilitarajiwa. Lakini hiyo resistance italast kwa muda gani? Hata Gaza tuliona resistance mwanzoni!
 
Ila Israel vita ya ardhini sijui kwanini ni wachovu.
Ni wazuri wa covert ops na sabotage, pia ni wazuri kwenye air force lakini infantry jamaa ni weupe.
Two more U.S. Air Force C-17 Military Transports from Fort Cavazos in Texas are preparing to land in Southern Israel. These are the Sixth and Seventh C-17s carrying Air Defense Equipment and American Personnel to arrive in Israel within the last 24 Hours, with several more on the way from United States.
 
⚡️BREAKING:

Takriban wanajeshi 50 waliojeruhiwa walipelekwa katika Hospitali ya Rambam huko Haifa na 5 katika Hospitali ya Beilinson huko Tel Aviv.

Hospitali ya Rambam ilitangaza tukio la majeruhi wengi baada ya kupokea helikopta 8 kufuatia shambulizi la Hezbollah katika eneo la pembetatu la Ramia - Aita Al-Shaab - Qawzah, kusini mwa Lebanon.

Helikopta nyingine ilitua Tel Aviv, na vyanzo vya Kiebrania viliripoti mwanajeshi aliyejeruhiwa vibaya katika mapigano huko Rafah, kusini mwa Gaza.
 
Ila Israel vita ya ardhini sijui kwanini ni wachovu.
Ni wazuri wa covert ops na sabotage, pia ni wazuri kwenye air force lakini infantry jamaa ni weupe.
Teknolojia inakuja ku replace mwanadamu kujiumiza ili uonekane mwamba. Kwanini ytembee kilomita maelfu wakati unaweza kukaa ofisini na computer na kuamrisha vyuma kwenda mahala popote unapo pataka na ukapata matokeo unayo yataka?. Unadhani ingewachukua siku ngapi hezb kuingia kambi walio ishambulia hapo juzi? Lakini walitumia drone kufanikisha adhma yao
 
Back
Top Bottom