Wajinga na wapumbavu wamepewa uhuru wa kujieleza lakini wao sasa wamepitiliza na imeshakuwa fujo sasa ajaribu sasa kwenda nchi zingine akafanye Ujinga huo kama hatatolewa Manundu!!!
Ila Israel vita ya ardhini sijui kwanini ni wachovu.
Ni wazuri wa covert ops na sabotage, pia ni wazuri kwenye air force lakini infantry jamaa ni weupe.
Nani ni bingwa wa ardhini?
Halafu ni weupe kivipi? Nani kawahi kuivamia Israel na akafanikiwa?
Kama niweupe waingie sasa kwenye ardh teule waifute? Si wako million 9 na wamezungukwa na million 600 wanaojua infantry?Ila Israel vita ya ardhini sijui kwanini ni wachovu.
Ni wazuri wa covert ops na sabotage, pia ni wazuri kwenye air force lakini infantry jamaa ni weupe.
Yapigwe tu hayo magaidi ya kiyahudi
Wanaukumbi.
Vyombo vya habari vya Israeli:
Sio kigezo kuonyesha kwamba si wachovu.Kama niweupe waingie sasa kwenye ardh teule waifute? Si wako million 9 na wamezungukwa na million 600 wanaojua infantry?
Israel Infantry anazidiwa na waarabu.Mashoga watawezaje kupigana ndugu yangu, jeshi limejaa mashoga kama wote wamelegea legea tu.
wanachoweza ni kuweka mabomu kwenye ndege na kuyarusha ardhini kutoke angani kwenye makaazi ya wananchi..
israel ni kama kichaa fulani hivi akipigwa badala ya kupigana na jeshi anapigana na raia, yaani anaua raia ndio anaona kafanikiwa..
Iran alipiga maeneo ya jeshi sio raia na ndio vita inatakiwa hivyo
Kabisa sema hao Hezbollah na wao wana drones siku hizi.Anapigana na vikundi anga lao lipo uchi sana lazima atambe.
Wajinga na wapumbavu wamepewa uhuru wa kujieleza lakini wao sasa wamepitiliza na imeshakuwa fujo sasa ajaribu sasa kwenda nchi zingine akafanye Ujinga huo kama hatatolewa Manundu!!!
Kila nikiona Id yako namuona msemaji wa Hezbollah Upande wa Tanzania.
Kwa hakika umevaa viatu vyema sana vya usemaji. Hongera kwa juhudi na bidii katika hii.
Hawa jamaa bhana!
Watu wengi hawataki kuamini ila ukweli ni kwamba jeshi la Israel ni dhaifu sana.Kabisa sema hao Hezbollah na wao wana drones siku hizi.
Hawa jamaa bhana!
Yaani vita na kikundi cha Hizbullah wanapagawa hivi! Wakipigana na Iran itawakuwaje sasa?
Kwanza mpaka sasa huko South Lebanon wapo eneo gani? Maana mpaka sasa najaribu kutafuta taarifa zao sipati.
Taarifa zao zinazopata ni wamepiga Beirut kwa kutumia ndege zao za kivita.
Ila hii groun operation yao sipati chochote wamefikia eneo gani?
Au ndiyo wanaficha taarifa operation inabuma?