Helikopta ya 10 ya kijeshi ilitua katika Hospitali ya Sheba-Tel Hashomer, ikiwa imebeba wanajeshi na maafisa waliofariki na kujeruhiwa katika mapigano

Ila Israel vita ya ardhini sijui kwanini ni wachovu.
Ni wazuri wa covert ops na sabotage, pia ni wazuri kwenye air force lakini infantry jamaa ni weupe.

Mashoga watawezaje kupigana ndugu yangu, jeshi limejaa mashoga kama wote wamelegea legea tu.
wanachoweza ni kuweka mabomu kwenye ndege na kuyarusha ardhini kutoke angani kwenye makaazi ya wananchi..

israel ni kama kichaa fulani hivi akipigwa badala ya kupigana na jeshi anapigana na raia, yaani anaua raia ndio anaona kafanikiwa..

Iran alipiga maeneo ya jeshi sio raia na ndio vita inatakiwa hivyo
 
Nani ni bingwa wa ardhini?

Halafu ni weupe kivipi? Nani kawahi kuivamia Israel na akafanikiwa?

hivi tuseme ukweli tu ambao hata wewe unaujua, hapo kuna Israel bila USA and western support?

Hivi kama Hizbullah au Hamas wangekuwa wanapewa misaada kama Israel hiyo Israel ingekuwepo?
 
Mashoga watawezaje kupigana ndugu yangu, jeshi limejaa mashoga kama wote wamelegea legea tu.
wanachoweza ni kuweka mabomu kwenye ndege na kuyarusha ardhini kutoke angani kwenye makaazi ya wananchi..

israel ni kama kichaa fulani hivi akipigwa badala ya kupigana na jeshi anapigana na raia, yaani anaua raia ndio anaona kafanikiwa..

Iran alipiga maeneo ya jeshi sio raia na ndio vita inatakiwa hivyo
Israel Infantry anazidiwa na waarabu.
 
Hawa jamaa bhana!

Yaani vita na kikundi cha Hizbullah wanapagawa hivi! Wakipigana na Iran itawakuwaje sasa?

Kwanza mpaka sasa huko South Lebanon wapo eneo gani? Maana mpaka sasa najaribu kutafuta taarifa zao sipati.

Taarifa zao zinazopata ni wamepiga Beirut kwa kutumia ndege zao za kivita.

Ila hii groun operation yao sipati chochote wamefikia eneo gani?

Au ndiyo wanaficha taarifa operation inabuma?
 
Kabisa sema hao Hezbollah na wao wana drones siku hizi.
Watu wengi hawataki kuamini ila ukweli ni kwamba jeshi la Israel ni dhaifu sana.

Nguvu yao ya anga inaonekana ni kwa sababu Hizbullah hawana mifumo ya kulinda anga lao.

Iran akiwawezesha hao akiwapa mifumo ya kulinda anga Israel itaishi kwa tabu sana zaidi ya sasa hivi!
 
Hawa jamaa bhana!

Yaani vita na kikundi cha Hizbullah wanapagawa hivi! Wakipigana na Iran itawakuwaje sasa?

Kwanza mpaka sasa huko South Lebanon wapo eneo gani? Maana mpaka sasa najaribu kutafuta taarifa zao sipati.

Taarifa zao zinazopata ni wamepiga Beirut kwa kutumia ndege zao za kivita.

Ila hii groun operation yao sipati chochote wamefikia eneo gani?

Au ndiyo wanaficha taarifa operation inabuma?

View: https://x.com/warintel4u/status/1846674115383431224?s=46&t=mTROWpaJUT8H393JMgWOvw
 
Back
Top Bottom