Helikopta ya 10 ya kijeshi ilitua katika Hospitali ya Sheba-Tel Hashomer, ikiwa imebeba wanajeshi na maafisa waliofariki na kujeruhiwa katika mapigano

Helikopta ya 10 ya kijeshi ilitua katika Hospitali ya Sheba-Tel Hashomer, ikiwa imebeba wanajeshi na maafisa waliofariki na kujeruhiwa katika mapigano

Yahya Sinwar sio mpiganaji ni POLITICAL LEADER wa Hamas.
Hamas ni chama kama ilivyo PLO.
Na Yahya Sinwar hahusiki na upiganaji,wanaohusika na upiganaji ni Al qassam.
Yahya ni mwanasiasa wa Hamas na ukumbuke Hamas inaiongoza Gaza kisiasa na kiuchumi.
Lakini si

Chama gani cha kisiasa kinamiliki jeshi na na silaha za kijeshi kaka
 
Lakini si

Chama gani cha kisiasa kinamiliki jeshi na na silaha za kijeshi kaka
Hamas ndio inaongoza Gaza.
Serikali ya Gaza ni Hamas unatarajia wasiwe na askari mkuu!?
Pia habari zenyewe za kufa Sinwar zinachanganya wanasema amekufa akiwa katika handaki na wapiganaji wa Hamas mara wanasema amekufa akiwa refugee camp.
Bado taarifa kamili hazijatoka.
 
Amefia wapi hilo kwetu sio muhimu, muhimu ni kwamba iwe kweli kwamba amekufa. That's all.
 
Unateseka sana, umebaki kuwa kada mwaminifu wa magaidi huku ukijifariji na viuzi vya kizushi🤣
Magaidi waliomtesa,kumdhihaki,kumchoma mkuki,kumvalisha nepi,na kumsulubu Yesu,na kumuua,aliyekuja kuwakomboa hao magaidi wa israel,na mpska sasa wanamuita ni mtoto wa nje ya ndoa
 
Nani ni bingwa wa ardhini?

Halafu ni weupe kivipi? Nani kawahi kuivamia Israel na akafanikiwa?
Yedu aliivamia Israel,na akafanikiwa,na akapaa mbinguni.Aliwashinda magaidi wa Israel,na atarudi tena,waislamu na wakristo ,wanaamini Yesu atarudi tena,na cha moto,watakiona magaidi wa Israel.
 
Magaidi waliomtesa,kumdhihaki,kumchoma mkuki,kumvalisha nepi,na kumsulubu Yesu,na kumuua,aliyekuja kuwakomboa hao magaidi wa israel,na mpska sasa wanamuita ni mtoto wa nje ya ndoa
Una akili ya panya buku😂
 
Wayahudi ingawa siwapendi,ila wamethibitisha hakuna sala ya mwanadamu inakausha mti wala kumsababishia mwingine lolote. Huo ni utapeli.

Hakuna dini iliyo na wanadamu timamu na kamilifu. Na sala zote, bado mabomu yanaua watu. Msituharibie Tanzania kwea mambo ya uongo uongo
 
Magaidi waliomtesa,kumdhihaki,kumchoma mkuki,kumvalisha nepi,na kumsulubu Yesu,na kumuua,aliyekuja kuwakomboa hao magaidi wa israel,na mpska sasa wanamuita ni mtoto wa nje ya ndoa

Ukiangalia sana mapeli wengi walizuka baada ya Yesu. Kuna wengine wanasema kuna sala wakisali utakauka au kufa. Ila mabomu ya middle East yamethibitisha hakuna sala ya aina hiyo.

Hizi dini zina wafuasi wababaishaji
 
Wanaukumbi.

Vyombo vya habari vya Israeli:

🇱🇧🇮🇱 Helikopta ya 10 ya kijeshi ilitua katika Hospitali ya Sheba-Tel Hashomer, ikiwa na wanajeshi na maafisa waliokufa na waliojeruhiwa katika mapigano makali ya leo kusini mwa Lebanon.

Baada ya kushindwa kwa vikosi vya ardhini, jeshi la anga la Israel sasa linashambulia Aita al-Shaab na mji wa Quozeh.
=========================

View: https://x.com/currentreport1/status/1846587528381608229?s=46&t=mTROWpaJUT8H393JMgWOvw

Hezbollah wanakimbia wanaacha silaha then wewe unakuja kuwapamba huku.
Nyie si mlisema israel hawezi tia mguu Lebanon/ground invasion????
Sinwar is no Longer.
 
Mbona Oct 7 Hamas walilenga raia? Vipi tuhuma za Israel kwa hamas kuhusu human shield?
Ukizungumzia Oktoba 7 basi usisahau Agosti 23 Israel ndio ilianza kwa kukanyaga wabedui na vifaru mashamba ya Khani Younis.
Hamas ilifanya kama kisasi.

Ukizungumzia tuhuma za human shield nenda kafuatilie je katika wale waliouawa mbona hakupatikanika mwanahamas wala silaha ya hamas?
Kwanini wakifa wanaonekana wanawake,watoto na wazee?
Mbona hatuoni vijana maiti zao zikiwa zina silaha!?
 
Magaidi waliomtesa,kumdhihaki,kumchoma mkuki,kumvalisha nepi,na kumsulubu Yesu,na kumuua,aliyekuja kuwakomboa hao magaidi wa israel,na mpska sasa wanamuita ni mtoto wa nje ya ndoa
Kwa vyovyote wewe utakuwa Mfuga Midevu na Majini hayo unayosema yameandikwa kwenye Kitabu gani?
 
1002310827.jpg
1002310828.jpg
 
Attachments

  • 1002311206.jpg
    1002311206.jpg
    171.7 KB · Views: 1
Back
Top Bottom