Lakini siYahya Sinwar sio mpiganaji ni POLITICAL LEADER wa Hamas.
Hamas ni chama kama ilivyo PLO.
Na Yahya Sinwar hahusiki na upiganaji,wanaohusika na upiganaji ni Al qassam.
Yahya ni mwanasiasa wa Hamas na ukumbuke Hamas inaiongoza Gaza kisiasa na kiuchumi.
Chama gani cha kisiasa kinamiliki jeshi na na silaha za kijeshi kakaYahya Sinwar sio mpiganaji ni POLITICAL LEADER wa Hamas.
Hamas ni chama kama ilivyo PLO.
Na Yahya Sinwar hahusiki na upiganaji,wanaohusika na upiganaji ni Al qassam.
Yahya ni mwanasiasa wa Hamas na ukumbuke Hamas inaiongoza Gaza kisiasa na kiuchumi.