Helikopta ya 10 ya kijeshi ilitua katika Hospitali ya Sheba-Tel Hashomer, ikiwa imebeba wanajeshi na maafisa waliofariki na kujeruhiwa katika mapigano

Nikisema huna akili unasema nakutukana.
Nimekwambia nenda katafute habari katika hao wanaouawa hukuti maiti ya Hamas wala silaha.
Kiakili ya kawaida huwezi ukasema majambazi wamejificha nyuma ya familia yako ila askari walipolipua bomu cha ajabu zimepatikana maiti za familia yako tu ila majambazi uliodai wapo nyuma ya familia yako maiti hazijaonekana wala silaha zao.
Nahisi nazungumza na mtoto mdogo hapa aisee doooh.
Hivi unafikiri wote humu ni watoto wadogo kama wewe?? Hamas ni Magaidi wote tunajua na ndiyo maana hawavai uniforms ili wasitambulikane hivyo wewe usituletee utoto hapa!!
 
We mpuuzi nini!?
Nakwambia uende ukatizame habari unasema mimi naleta utoto!?
Dunia nzima imekataa kumtambua Hamas kama gaidi na wanawatambua kama freedom fighters wewe maskini mmoja mkaa Tandale unawaita gaidi kama nani!??
Hao Israel walilipua makazi ya official wa balozi ya Ufaransa na wakamuua je humo kulikua na Hamas!?
Waliwapiga risasi raia wao wanne ambao walinyoosha mikono kuomba msaada walipotoroka mikononi mwa Hamas,je nao walikua magaidi hao!?
Walipiga kina mama wazee wanne risasi na sniper,je sniper ambaye kazi yake kudungua kwa kupima target alishindwa kujua wale ni wanawake huku akiwaangusha mmoja mmoja!?
Wameua wamarekani wanne ambao wanamilili mgahawa walipoenda kupeleka msaada wa chakula Khani Younis,je hao wamarekani walikua wamebeba Hamas katika vyombo vyao!??

Unazungumza nini wewe jamaa!?
NAanza kukuona ni mpuuzi sasa na sitaki kuendesha mjadala na wapuuzi.
Naomba usini engage tena.
 
Nasikia hezbollah siku2 wanapeleka moto kila kona mazayuni wameyatimba mana unapigana na hezbollah ambaye nayy anachagua pakukupiga tofaut na uko nyuma ilikuwa wanarusha tu awajui zinagonga wapi.
 
Uyo zwazwa,mpuuzi anasamani. Uyo zwazwa kakosa tu kiongozi kama kibwetele au makenzi w kilifi aliewauwa njaaa mazwazwa kama uyu ashukulu yupo mama Tanzania serikali iposerious kuwafatilia vibwetele w tz.
 
Udini kauweka mbele kawa kipofu ajui aki yamtu ipi kina Mandela wanaheshimika kutetea aki zawatu dini duni yako ww aimuusu mtetea haki zawatu ona Iran taifa la kislamu lkn linaitetea Venezuela nchi ya wakrsto tena wakatoriki lkn ni Iran unaambia ndio ilizuiya mapinduzi Venezuela inazo drone za kipelelezi uko Venezuela na inaziendesha vijana wakiIran kufatilia usalama w Venezuela ndio waligundua mchongo wa makomando wa USA na wenzao kimya kimya waliwafatilia wapo wangapi wanapitia wapi mwisho walidakwa kama panya. Udini. Africa kusini ni cristian lkn waharabu wamekufa uko Africa kusini kuwatetea wamechanga pesa misaada ya kila aina ili wapate uhuru wao unauwona leo wazungu w ulaya na Israel ndio walikuwa wanawakandamiza vijana w kiafrica apo kasin. Leo nyie udin unafanya ujui nani rafiki nani. Palestine imetoa makomondoo wake kupigania Africa kusini yasir arafati rais w Palestine ktk alakati za kuwapigania waafrica alipata hajali ya ndege wengi walidhani yasir arafat amekufa lkn mungu ni mwema akufa ndege inaswa ktk miti mikubwa aikufika chini kabisa ikawasalama yake. Yote kutetea mtu mweusi lkn ww unadhalau unashangilia kufa wapalestina watoto wao wamama daaa jikomboe broo dini sirafiki naww watu washakufa wengi kijinga jinga broo. Baki na akili ujue apo haki ipo wapi. Watilia wapalestina wanawapigania watu wengi wanaonewa na wazungu adi America kusini uko.
 
Ili iwe vita lazima upadnę moja ushinde!! Na bila kupepesamacho magaidi wa Hamas na Hezboullah wanaula wa. Chuya maana kila kukicha wao wanapigwa kipigo cha mbwa-koko na wao wakiua mtu mmoja kwao wanaona ni ushindi wanashangilia usiku kuchwa. Na hii inaonyesha ni jinsi gani walivyo dhaifu kwenye uwanja wa vita. Hamas sijaona sehemu yoyote wameweza kuyasimamisha majeshi ya Israel katika vita hii huko Gaza. Kwa upande wa Hezboullah waliokuwa wakisifiwa sana na wapenda magaidi wao ndiyo Hovyo kabisa toka Israel ianze kuwashughulikia kikamilifu Chain of Command yao yote ilipukutishwa akiwemo Sayyed Hassn Nasrallah. Mpaka sasa hivi wanabondwa ile mbaya mbwa hawa wakati mwenye Mbwa(Iran)naye anasubiri kipondo!!!
Ukiulizwa walikukosa nini jibu litakuwa wewe ni myahudi
Kumbe hata bunduki hujawahi kushika
Ushabiki wa Yanga unaupeleka Frontline da
Siwezi kukujibu tena kama unaandika kwa chuki namna hii utadhani ndugu zako wanapigana huko
Uwe na siku njema na mjadala nimeufunga
 
Najua umeufyata Huna hoja ya kujibu hapo hata sasa waarabu wenzako wapopigwa unatumia sana na safari hii uta umia sana maana Hamas walichokoza wenyewe Oct 07,2023 sasa waache wavune walichopanda na wewe endelea kuumia na Ayatollah wako!!
 
We mpuuzi nini!?
Nakwambia uende ukatizame habari unasema mimi naleta utoto!?
Dunia nzima imekataa kumtambua Hamas kama gaidi na wanawatambua kama freedom fighters wewe maskini mmoja mkaa Tandale unawaita gaidi kama nani!??
Hao Israel walilipua makazi ya official wa balozi ya Ufaransa na wakamuua je humo kulikua na Hamas!?
Waliwapiga risasi raia wao wanne ambao walinyoosha mikono kuomba msaada walipotoroka mikononi mwa Hamas,je nao walikua magaidi hao!?
Walipiga kina mama wazee wanne risasi na sniper,je sniper ambaye kazi yake kudungua kwa kupima target alishindwa kujua wale ni wanawake huku akiwaangusha mmoja mmoja!?
Wameua wamarekani wanne ambao wanamilili mgahawa walipoenda kupeleka msaada wa chakula Khani Younis,je hao wamarekani walikua wamebeba Hamas katika vyombo vyao!??

Unazungumza nini wewe jamaa!?
NAanza kukuona ni mpuuzi sasa na sitaki kuendesha mjadala na wapuuzi.
Naomba usini engage tena.
Acha ujinga kwa hiyo unanitisha ili hoja zako za kipuuzi zipite? Maswali yote uliyouliza ni ya kitoto kabisa Nina Shaka na umri wako hufikii 18. Mtu timamu hawezi uliza utopolo wa maswali Kama hayo.hata Mimi siwezi kujibu utumbo wako huo. Kwa taarifa yako tu Magaidi wa Hamas na Hezbollah safari hii wamenyea kambi watapigwa mpaka wachakae. Tukianza na Hamas Oct 07,2023 walivamia Israel wakateka,wakatesa,wakabaka na kuua watu na walisherehekea kote ukiwemo na wewe ulisherehekea mauaji hayo sasa hivi Majeshi ya Israel yameanza kuwashughulikia wameanza na Hamas wamefyekwa viongozi wao wote na huko Lebanon Magaidi wa Hezbollah wanapumulia mashine viongozi wao wote wameangamizwa mpaka sasa hivi wengine wakipewa vyeo wanavikataa kwa hofu ya kulengwa na kuuwawa Magaidi wa Hezbollah Ulikuwa unawasifia Kama unamsifia baba yako kwa Wiki moja tu wote wamesambaratishwa na wengine wamebakia kuwa vilema hawana Miguu,Mikono,Macho na wengine wamehasiwa hawana makende kwa sababu ya Operation Beeper. Nilishakuona siku nyingi wewe ni muongo sana na habari za kupotosha sana na ni terrorisst sympathizer huna maana wadanganye wajinga wenzako!!!
 
Nasikia hezbollah siku2 wanapeleka moto kila kona mazayuni wameyatimba mana unapigana na hezbollah ambaye nayy anachagua pakukupiga tofaut na uko nyuma ilikuwa wanarusha tu awajui zinagonga wapi.
Makao makuu ya Hezbollah yakishuka taraatibu huko beirut!!! Nani Kama IDF?
 
Attachments

  • 2902300698942841617.mp4
    1.9 MB
Israel wakipigwa kombora utasikia limetua vichakani,majeruhi madogo,lakini raia laki mbili wamehamishwa mpakani na hizbullah
Je likitua vichakani usiambiwe ukweli? Lete ushahidi Kama unao na wala si kubwabwaja ovyo ovyo tu
 
Attachments

  • Screenshot_2024-10-24-16-27-11-020.jpg
    Screenshot_2024-10-24-16-27-11-020.jpg
    520.1 KB · Views: 2
  • Screenshot_2024-10-24-16-23-05-133.jpg
    Screenshot_2024-10-24-16-23-05-133.jpg
    421.7 KB · Views: 1
  • Screenshot_2024-10-24-16-23-29-378.jpg
    Screenshot_2024-10-24-16-23-29-378.jpg
    397.9 KB · Views: 1
  • Screenshot_2024-10-24-16-19-05-600.jpg
    Screenshot_2024-10-24-16-19-05-600.jpg
    404.9 KB · Views: 1
  • Screenshot_2024-10-24-16-27-58-094.jpg
    Screenshot_2024-10-24-16-27-58-094.jpg
    389.1 KB · Views: 1
Ngoja nikupe elimu kidogo, kwenye mambo ya Habari kuna vitu vitati;
1.CREDIBBLE-SOURCE
2.RELIABLE-SOURCE
3.AUTHOURITATIVE-SOURCE.
Sasa wewe unaniletea takataka gani hapa yaani una Screenshort pumba kutoka kwa jamaa zako na unakuja kutulisha Matango Pori hapa!! Nimeona kuna sehemu wameandika HEBREW-MEDIA hakuna kitu kama hicho kwenye habari ukipna hivyo ujue hawana vile vitu 3 nilivyokuandikia hapo juu hivyo ili kufurahisha genge wanaandika HEBREW-MEDIA kwa hiyo hayo yote uliyoyaweka hapo ni UHARO wa mbuzi tu hakuna lolote. Ni kweli mfano Iran makombola yake mengi yalipopolewa na mengine hakukuwa na haja ya kuyapopoa maana mengi sana yaliangukia jangwani na mengine sehemu za wazi.
 
Attachments

  • VID-20241005-WA0030.mp4
    1.2 MB
  • VID-20241004-WA0020.mp4
    3.2 MB
  • VID-20241004-WA0074.mp4
    2.6 MB
Udini kauweka mbele kawa kipofu ajui aki yamtu ipi kina Mandela wanaheshimika kutetea aki zawatu dini duni yako ww aimuusu mtetea haki zawatu ona Iran taifa la kislamu lkn linaitetea Venezuela nchi ya wakrsto tena wakatoriki lkn ni Iran unaambia ndio ilizuiya mapinduzi Venezuela inazo drone za kipelelezi uko Venezuela na inaziendesha vijana wakiIran kufatilia usalama w Venezuela ndio waligundua mchongo wa makomando wa USA na wenzao kimya kimya waliwafatilia wapo wangapi wanapitia wapi mwisho walidakwa kama panya. Udini. Africa kusini ni cristian lkn waharabu wamekufa uko Africa kusini kuwatetea wamechanga pesa misaada ya kila aina ili wapate uhuru wao unauwona leo wazungu w ulaya na Israel ndio walikuwa wanawakandamiza vijana w kiafrica apo kasin. Leo nyie udin unafanya ujui nani rafiki nani. Palestine imetoa makomondoo wake kupigania Africa kusini yasir arafati rais w Palestine ktk alakati za kuwapigania waafrica alipata hajali ya ndege wengi walidhani yasir arafat amekufa lkn mungu ni mwema akufa ndege inaswa ktk miti mikubwa aikufika chini kabisa ikawasalama yake. Yote kutetea mtu mweusi lkn ww unadhalau unashangilia kufa wapalestina watoto wao wamama daaa jikomboe broo dini sirafiki naww watu washakufa wengi kijinga jinga broo. Baki na akili ujue apo haki ipo wapi. Watilia wapalestina wanawapigania watu wengi wanaonewa na wazungu adi America kusini uko.
Bila Shaka yoyote wewe utakuwa mjinga na mpumbavu kabisa Toka lini waarabu wakawapigania watu wężsi?? Au kwenye ile biashara ya utumwa wewe unaona weusi walipiganiwa? Umeongea habari nyingi za uongo na nashangaa kwa nini umeamua kujitoa ufałam na kuanzia kuwaramba miguu nyang’au hao? Oct 07,2023 Hamas na raia wengine walivamia Israel na kuteka,kutesa,kubaka na kuua raia wasio na hatia sasa hivi Israel imeamua kujibu mashambulizi hayo mnaanza kuleta ujinga!! Hezbollah nao kuanzia Oct 08,2023 waliamua kununua ugomvi kuwasaidia magaidi wenzao wa Hamas kwa kurusha makombola Israel kwa takriban mwaka mzima sasa. Lakini sasa hivi Israel imeamua kulala nao mbele kwa mbele hadi kieleweke leo hii wajinga Kama wewe mnaanza kulalamika ovyo. Acha inyeshe tuone panapovuja. Hamas na Hezbollah ni magaidi lazima wapigwe mpaka wachakae!!
 
Acha ujinga kwa hiyo unanitisha ili hoja zako za kipuuzi zipite? Maswali yote uliyouliza ni ya kitoto kabisa Nina Shaka na umri wako hufikii 18. Mtu timamu hawezi uliza utopolo wa maswali Kama hayo.hata Mimi siwezi kujibu utumbo wako huo. Kwa taarifa yako tu Magaidi wa Hamas na Hezbollah safari hii wamenyea kambi watapigwa mpaka wachakae. Tukianza na Hamas Oct 07,2023 walivamia Israel wakateka,wakatesa,wakabaka na kuua watu na walisherehekea kote ukiwemo na wewe ulisherehekea mauaji hayo sasa hivi Majeshi ya Israel yameanza kuwashughulikia wameanza na Hamas wamefyekwa viongozi wao wote na huko Lebanon Magaidi wa Hezbollah wanapumulia mashine viongozi wao wote wameangamizwa mpaka sasa hivi wengine wakipewa vyeo wanavikataa kwa hofu ya kulengwa na kuuwawa Magaidi wa Hezbollah Ulikuwa unawasifia Kama unamsifia baba yako kwa Wiki moja tu wote wamesambaratishwa na wengine wamebakia kuwa vilema hawana Miguu,Mikono,Macho na wengine wamehasiwa hawana makende kwa sababu ya Operation Beeper. Nilishakuona siku nyingi wewe ni muongo sana na habari za kupotosha sana na ni terrorisst sympathizer huna maana wadanganye wajinga wenzako!!!
Huna hoja na mimi siwezi kuendekeza mabishano na mtu asiye na hoja.
Umetoka kuhama kuhusu Hamas kutumia raia kama ngao umekuja suala la uvamizi wa Hamas.
*Antonio Gutteres ulimsikia alichozungumza katika vikao vya UNGA na vikao vya CAIRO SUMMIT!?
Tukianzia na vikao vya CAIRO SUMMIT alivyoitisha Qatar Emir na Rais wa Egypt El sisi,vilijumuisha viongozi wa falme za kiarabu na marais kutoka pande za EU.Viongozi wa Belgium,Brazil,Norway,Spain na wengineo walihusika.
Ushahidi ulioneshwa wa Netanyahu kuwapa silaha Israel settlers na wakafanya uvamizi pamoja na IDF Khani Younis mnamo AGOSTI 23 2024,inamaana hapo ni mwezi na nusu kabla ya tukio la Oktoba 7.
Usisahau hilo tu,Sherin Abu Akleh mwandishi wa habari wa Al-Jazeera alipigwa risasi na sniper ila Israel ilikataa kuwajibika.
Usisahau hilo,toka 2022 Israel judiciary ilitoa order ya upanuzi wa makazi ya wazayuni kwa kuvunja Jenin refugee camps,Agosti walianza kuvunja hizo nyumba.
Haya yote yalichochea Hamas kushambulia Oktoba 7.
Ndio maana viongozi wote wakubwa walisema kuwa it did not start Oktoba 7.
Unadhani hawana akili!?
Wewe nguruwe pori uje hapa ngiri mmoja useme unajua kuliko wao!?
Unadhani Spain,Belgium,Brazil,Colombia,Cuba na nchi zinginezo kuvunja uhusiano na Israel hawana akili!?
Hayo ni matokeo ya Cairo summit ya 2023 yaliyoonesha UNYAMA ALIOFANYA ISRAEL KABLA YA OKTOBA 7 KUTOKEA.

*Madai ya ubakaji ya Hamas Israel ilifeli kutoa ushahidi na mbaya zaidi wanapodai ulifanyika ubakaji kulikua na CCTV footages ila kilichoonekana ni kuuawa kwa watu wa maroketi na risasi na kutekwa kwa watu.
Hivi hata ile kesi uliifuatilia ikiwa ICJ!??

NIKWAMBIE TU KITU KIMOJA KIJANA.
KAMA HUJUI KITU KAA CHINI SIKILIZA WAKUBWA ZAKO NINI WANAZUNGUMZA UJIFUNZE.
USILETE UFALA NA UPUUZI WAKO ILHALI HUNA UNALOJUA.
Mtu hata kuandika kwa ufasaha hujui unaniita mimi mtoto.
Mpuuzi mkubwa usiye na haya.
Basi ongea kinachoeleweka huna la maana unaloongea unaongea hisia zako tu.
Hujui hata mzozo umeanzia wapi na unaelekea wapi.
Nimekuuliza maswali ya msingi sana unayaita ya kitoto.
We jamaa ni PUNGUANI!?
 
Acha ujinga kwa hiyo unanitisha ili hoja zako za kipuuzi zipite? Maswali yote uliyouliza ni ya kitoto kabisa Nina Shaka na umri wako hufikii 18. Mtu timamu hawezi uliza utopolo wa maswali Kama hayo.hata Mimi siwezi kujibu utumbo wako huo. Kwa taarifa yako tu Magaidi wa Hamas na Hezbollah safari hii wamenyea kambi watapigwa mpaka wachakae. Tukianza na Hamas Oct 07,2023 walivamia Israel wakateka,wakatesa,wakabaka na kuua watu na walisherehekea kote ukiwemo na wewe ulisherehekea mauaji hayo sasa hivi Majeshi ya Israel yameanza kuwashughulikia wameanza na Hamas wamefyekwa viongozi wao wote na huko Lebanon Magaidi wa Hezbollah wanapumulia mashine viongozi wao wote wameangamizwa mpaka sasa hivi wengine wakipewa vyeo wanavikataa kwa hofu ya kulengwa na kuuwawa Magaidi wa Hezbollah Ulikuwa unawasifia Kama unamsifia baba yako kwa Wiki moja tu wote wamesambaratishwa na wengine wamebakia kuwa vilema hawana Miguu,Mikono,Macho na wengine wamehasiwa hawana makende kwa sababu ya Operation Beeper. Nilishakuona siku nyingi wewe ni muongo sana na habari za kupotosha sana na ni terrorisst sympathizer huna maana wadanganye wajinga wenzako!!!
Ukiwa unaongea na mimi ushike adabu zako mpuuzi wewe.
Unadhani sisi tunaongea tu kwa kuropoka kama wewe!?
Sio tu kuhusu mateka bali kuna kesi ya Israel kuua raia wake wenyewe Oktoba.
Screenshot_2024-10-24-18-45-24-92_81b5f59f81a9801c9f112972edbe649b.jpg
Screenshot_2024-10-24-18-45-29-90_81b5f59f81a9801c9f112972edbe649b.jpg
Screenshot_2024-10-24-18-46-04-94_81b5f59f81a9801c9f112972edbe649b.jpg
Screenshot_2024-10-24-18-48-22-27_81b5f59f81a9801c9f112972edbe649b.jpg
Screenshot_2024-10-24-18-48-35-18_81b5f59f81a9801c9f112972edbe649b.jpg
 
Bila Shaka yoyote wewe utakuwa mjinga na mpumbavu kabisa Toka lini waarabu wakawapigania watu wężsi?? Au kwenye ile biashara ya utumwa wewe unaona weusi walipiganiwa? Umeongea habari nyingi za uongo na nashangaa kwa nini umeamua kujitoa ufałam na kuanzia kuwaramba miguu nyang’au hao? Oct 07,2023 Hamas na raia wengine walivamia Israel na kuteka,kutesa,kubaka na kuua raia wasio na hatia sasa hivi Israel imeamua kujibu mashambulizi hayo mnaanza kuleta ujinga!! Hezbollah nao kuanzia Oct 08,2023 waliamua kununua ugomvi kuwasaidia magaidi wenzao wa Hamas kwa kurusha makombola Israel kwa takriban mwaka mzima sasa. Lakini sasa hivi Israel imeamua kulala nao mbele kwa mbele hadi kieleweke leo hii wajinga Kama wewe mnaanza kulalamika ovyo. Acha inyeshe tuone panapovuja. Hamas na Hezbollah ni magaidi lazima wapigwe mpaka wachakae!!
Mie huwa siropoki kama wewe.
Sasa nataka unipe jibu,hao wanawake waliouawa je ndio magaidi wa Hamas!?
Hiko ni chombo cha habari cha VATICAN.
Maana ningeleta cha mwarabu ungesema ni propaganda.
Unakaa unaropoka upuuzi tu hapa.
Screenshot_2024-10-24-18-55-26-60_81b5f59f81a9801c9f112972edbe649b.jpg
Screenshot_2024-10-24-18-55-35-92_81b5f59f81a9801c9f112972edbe649b.jpg
Screenshot_2024-10-24-18-56-12-38_81b5f59f81a9801c9f112972edbe649b.jpg
 
Ngoja nikupe elimu kidogo, kwenye mambo ya Habari kuna vitu vitati;
1.CREDIBBLE-SOURCE
2.RELIABLE-SOURCE
3.AUTHOURITATIVE-SOURCE.
Sasa wewe unaniletea takataka gani hapa yaani una Screenshort pumba kutoka kwa jamaa zako na unakuja kutulisha Matango Pori hapa!! Nimeona kuna sehemu wameandika HEBREW-MEDIA hakuna kitu kama hicho kwenye habari ukipna hivyo ujue hawana vile vitu 3 nilivyokuandikia hapo juu hivyo ili kufurahisha genge wanaandika HEBREW-MEDIA kwa hiyo hayo yote uliyoyaweka hapo ni UHARO wa mbuzi tu hakuna lolote. Ni kweli mfano Iran makombola yake mengi yalipopolewa na mengine hakukuwa na haja ya kuyapopoa maana mengi sana yaliangukia jangwani na mengine sehemu za wazi.
Hatuna namna tukusaidie tu uondokane na ujinga.
Wasome BBC wanakwambia kabisa walipata taarifa tofauti na walizopewa na Israel.
BBC correspondent aliona madhara ya makombora ya Iran.
*Kuna magari yalibondwa.
*Kuna shule ilibondwa.
*Kuna nyumba zinakadiriwa zaidi ya mia zilibondwa.
Si unataka credible source!?
Msome BBC.
Screenshot_2024-10-24-19-06-06-16_81b5f59f81a9801c9f112972edbe649b.jpg
Screenshot_2024-10-24-19-06-10-85_81b5f59f81a9801c9f112972edbe649b.jpg
Screenshot_2024-10-24-19-06-18-39_81b5f59f81a9801c9f112972edbe649b.jpg

Screenshot_2024-10-24-19-06-30-94_81b5f59f81a9801c9f112972edbe649b.jpg
Screenshot_2024-10-24-19-07-03-87_81b5f59f81a9801c9f112972edbe649b.jpg
 
Back
Top Bottom