Acha ujinga kwa hiyo unanitisha ili hoja zako za kipuuzi zipite? Maswali yote uliyouliza ni ya kitoto kabisa Nina Shaka na umri wako hufikii 18. Mtu timamu hawezi uliza utopolo wa maswali Kama hayo.hata Mimi siwezi kujibu utumbo wako huo. Kwa taarifa yako tu Magaidi wa Hamas na Hezbollah safari hii wamenyea kambi watapigwa mpaka wachakae. Tukianza na Hamas Oct 07,2023 walivamia Israel wakateka,wakatesa,wakabaka na kuua watu na walisherehekea kote ukiwemo na wewe ulisherehekea mauaji hayo sasa hivi Majeshi ya Israel yameanza kuwashughulikia wameanza na Hamas wamefyekwa viongozi wao wote na huko Lebanon Magaidi wa Hezbollah wanapumulia mashine viongozi wao wote wameangamizwa mpaka sasa hivi wengine wakipewa vyeo wanavikataa kwa hofu ya kulengwa na kuuwawa Magaidi wa Hezbollah Ulikuwa unawasifia Kama unamsifia baba yako kwa Wiki moja tu wote wamesambaratishwa na wengine wamebakia kuwa vilema hawana Miguu,Mikono,Macho na wengine wamehasiwa hawana makende kwa sababu ya Operation Beeper. Nilishakuona siku nyingi wewe ni muongo sana na habari za kupotosha sana na ni terrorisst sympathizer huna maana wadanganye wajinga wenzako!!!