Naanza na namba 1. Palestina hawakuanza leo kupigiwa kura iwe nchi hii ipo siku nyingi enzi za Yaser Arafat 1967. Ki-Diplomasia Hamas hawajashinda popote maana ni kikundi ha kigaidi kinachotambulikana na PLO ya Mahmoud Abbas siyo wabakaji hawa!!!. Na kuvamiwa ubalozi huko korea huo ni Uhuni wala siyo sifa ya kutambulika. Kwa hiyo 80% żako zimęnda bure kabisa.
Diplomasia ama geopolitics huwa haziendi hivyo.
Diplomasia/geopolitics hutizamwa kwa kuangalia mzizi wa tatizo.
Tatizo kuu linatambulika ni resolution zilizoletwa na UN juu ya uundaji wa mataifa mawili,kukataa kwa UN kuitambua Palestina kama nchi na upanuzi wa ardhi kwa vita wa Israel.
Hivi vyote vilipelekea PLO kutumia nguvu ya silaha badala ya diplomasia.Na zilizaa matunda,msimamizi wa hili suala ambaye alikua ni kiongozi wa Norway alifikia muafaka wa Palestina kupewa nchi ila Mossad wakamuua.
Nchi zaidi ya 120 zinamuunga mkono Hamas/PLO hivyo kidiplomasia
Hamas ameshinda.
Wanaokwamisha ni Israel,USA na UK.
Hivyo usibishe ilhali katika vikao vya UN general Assembly hao watu walipata viti 120+.
Spain,Belgium,Brazil wote walivunja uhusiano wa kidiplomasia na Israel na kuwapa solidarity Hamas.
Wewe ni nani upinge kuwa hawajafanikiwa kidiplomasia!?
2..Hamas kupigana na Hamas kwa mwaka hakuwapi wao fursa ya kuwa wapiganaji wazuri. Israel ilifanya hivyo maksudi ili kwanza isihatarishe maisha ya mateka wao,Pili kuziba mianya ya Magaidi wa Hamas kutoroka/kutorosha mateka kwenda misri. Tatu ilikuwa inatoa mwanya wa mazungumzo kufanyika ili kubadirishana Mateka na wafungwa wa ki Palestina. Nne ni kuharibu miundombinu ya kigaidi iliyotengenezwa kwa miaka mingi. Mambo haya mannę ndiyo yaliyosababisha vita na Hamas kuchukua mwaka mmoja wala si umahiri wao katika medani.kuhusu kuharibu vifaru vya Israel hiyo ni habari za kusikia tu ndiyo maana nao wanasema tu kuwa wameharibu vifaru vingi ukiuliza vingapi hawajui,Kuhusu kuua askari wengi wa Israel hizo ni rumours tu maana wao wenyewe hawajui wameua askari wangapi na wamejeruhi wangapi.hivyo tena 60% yako imepotea bure kabisa.
Hapa bado unatudanganya.
Israel imeonesha failure katika suala la kupigana na Hamas na kuokoa mateka.
Hivi vita peke yake vimesababisha walemavu wapatao elfu 70 katika jeshi la Israel.
Na ripoti nakuletea.
Safari hii Hamas walionesha umahiri kiasi Netanyahu aliishutumu Iran moja kwa moja kuwa imepenyeza wanajeshi wake Gaza.
*Mateka hawajapata.
*Miundombinu ya mahandaki iko vile vile.
*Hamas hawajawamaliza.
Hakuna walichofanikiwa na wameua askari wao wengi sana na kupata walemavu wa kutosha tu.
3.Nani kakudanganya kuwa Hamas wana uchumi wowote? Hamas hawana uchumi wowote sana sana wanamtegemea Bwana wao Iran na mashirika ya Umoja wa Mataifa kama UNRWA shirking ambalo lilishiriki kikamilifu katika uvamizi wa Oct 07,2023.
4.Kama nilivyojibu namba 2 Hamas Hana uwezo wa kupambana na Majeshi ya Israel walikuwa wanamvutia pumzi tu ili wa huknę mateka wao Salama hawawezi kuhimili vishindo vya IDF.kuhusu chakula Hamas wanapewa wala hawakuwa na uwezo wa kujiletea chakula wao wenyewe. Kuhusu silaha wao walikuwa tayari wameshaingiza kwenye mahandaki yao kabla ya Oct 07,2023. Hapo pia 79% zimępotęa bure.
5.Hamas hawana tek ołówka yoyote ya silaha vyote wanazozitumia wanatoa kwa Bwana wao Iran wao hawana lolote. 30% żako pia zimepotea bure kabisa.
6. Huwezi kuwa maaru fu kwa kuteka,kutesa,kubaka na kuua watu huo ni ukatili uliopitiliza hivyo huwezi kuwa maarufu kwa vitendo viovu 90% zimepotea bure kabisa.
Madai yako ya Hamas kuwa mbakaji uliambiwa ulete ushahidi na hukuleta.
Uache kuzungumza usichokua na ushahidi nacho
Silaha anazotumia Hamas hususan rockets ni locally made.
Hizo silaha kutoka Iran zinapita wapi ilhali border zote anazidhibiti Israel!?
Kila kinachoingia na kutoka Gaza zaidi ya miaka 50 Israel ndiye anayeki monitor.
Sasa utueleze hizo rocket launcher zimeingiaje!?