Helikopta ya 10 ya kijeshi ilitua katika Hospitali ya Sheba-Tel Hashomer, ikiwa imebeba wanajeshi na maafisa waliofariki na kujeruhiwa katika mapigano

Je likitua vichakani usiambiwe ukweli? Lete ushahidi Kama unao na wala si kubwabwaja ovyo ovyo tu

Mie huwa siropoki kama wewe.
Sasa nataka unipe jibu,hao wanawake waliouawa je ndio magaidi wa Hamas!?
Hiko ni chombo cha habari cha VATICAN.
Maana ningeleta cha mwarabu ungesema ni propaganda.
Unakaa unaropoka upuuzi tu hapa.View attachment 3134322View attachment 3134323View attachment 3134324
Ngoja tu nitoe elimu kwako kuwa magaidi kote duniani huwatumia watu Kama Kinga ( Human-Shield) na wanatumia nyumba za Ibada na public service kufa yea Ugaidi wao kinyume na sheria za Umoja wa Mataifa kuzuia kutumia nyumba za Ibada na public service Kama vile Hospita,nyumba za serikali au za umma kuzitumia kufanyia mashambulizi kitu ambacho Magaidi wa Hamas wanakifanya wameshikilia mateka kutoka Israel na kuwafanya Kama Kinga wasishambuliwe na majeshi ya Israel,Kijeshi ukiruhusu kanisa,msikiti,hospitali litumike kigaidi basi nyumba hizo zinakosa hadhi ya kuwa nyumba za Ibada hivyo zinaweza kushambuliwa wakati wowote.kwa maelezo yao hao vatikan majeshi ya Israel yalishambuliwa kutoka kwenye majengo yao hivyo ni halali wao kushambuliwa hata wakifa sawa tu maana wamegeuza nyumba za ibada kuwa launching-Pad ya Magaidi. Huko Gaza misikiti na makanisa na hospitali Hamas wanazitumia sana kufanyia Ugaidi wao na wanafanya hivi ili tu kuwaharibia sifa askariwa Israel kwenye jumuia za kimataifa. Kama kanisa msikiti au hospital vinatumika kuhifadhi magaidi basi ni lazima uvunjwe mara moja maana hauna sifa!!
 
Hatuna namna tukusaidie tu uondokane na ujinga.
Wasome BBC wanakwambia kabisa walipata taarifa tofauti na walizopewa na Israel.
BBC correspondent aliona madhara ya makombora ya Iran.
*Kuna magari yalibondwa.
*Kuna shule ilibondwa.
*Kuna nyumba zinakadiriwa zaidi ya mia zilibondwa.
Si unataka credible source!?
Msome BBC.View attachment 3134334View attachment 3134335View attachment 3134336View attachment 3134336View attachment 3134338View attachment 3134339
Nashangaa unachobisha shambulio hilo halikuwa na madhara makombola Karibu yote yalipopolewa na vipande hivyo ndivyo viliangukia magari barabara na nyumba za watu mengine yaliangukia sehemu za wazi nikiwaambia mowę mnaelewa. Kwa hiyo kazi ya Iran ilikuwa bure kabisa maana alikurupuka sana.
 
Ngoja tu nitoe elimu kwako kuwa magaidi kote duniani huwatumia watu Kama Kinga ( Human-Shield) na wanatumia nyumba za Ibada na public service kufa yea Ugaidi wao kinyume na sheria za Umoja wa Mataifa kuzuia kutumia nyumba za Ibada na public service Kama vile Hospita,nyumba za serikali au za umma kuzitumia kufanyia mashambulizi kitu ambacho Magaidi wa Hamas wanakifanya wameshikilia mateka kutoka Israel na kuwafanya Kama Kinga wasishambuliwe na majeshi ya Israel,Kijeshi ukiruhusu kanisa,msikiti,hospitali litumike kigaidi basi nyumba hizo zinakosa hadhi ya kuwa nyumba za Ibada hivyo zinaweza kushambuliwa wakati wowote.kwa maelezo yao hao vatikan majeshi ya Israel yalishambuliwa kutoka kwenye majengo yao hivyo ni halali wao kushambuliwa hata wakifa sawa tu maana wamegeuza nyumba za ibada kuwa launching-Pad ya Magaidi. Huko Gaza misikiti na makanisa na hospitali Hamas wanazitumia sana kufanyia Ugaidi wao na wanafanya hivi ili tu kuwaharibia sifa askariwa Israel kwenye jumuia za kimataifa. Kama kanisa msikiti au hospital vinatumika kuhifadhi magaidi basi ni lazima uvunjwe mara moja maana hauna sifa!!
Hii vita hamasi ameshinda kidiplomasia 80% na kijeshi 60% kiuchumi 0% kiintelijensia 79% kisaikolojia 80% Famous 90% kiteknolojia 30% hivyo mimi nawapa hongera sana miaka ijayo wakijipata kiteknolojia hata 60% zayuni atakubali
 
Mkuu gallow bird huyo jamaa hakuna utachomueleza akaelewa.
Ni mtu wa ubishani tu sio wa kutaka kuelimika.
Acha ujinga wewe yaani Mimi unieleze ujinga nikuelewe!! Yaani uniambie Pumba halafu niseme umenielimisha!! Mimi siyo zuzu kama wewe wa kukubali mambo ya kijinga. Kama una hoja lete za ukweli na ushahidi juu!!
 
Hii vita hamasi ameshinda kidiplomasia 80% na kijeshi 60% kiuchumi 0% kiintelijensia 79% kisaikolojia 80% Famous 90% kiteknolojia 30% hivyo mimi nawapa hongera sana miaka ijayo wakijipata kiteknolojia hata 60% zayuni atakubali
Hizo ni ndoto za mwendawazimu aliyetoka Milembe Hospital leo asubuhi!!!
 
Kwanza ulipaswa uulize hizo asilimia kazipataje? Hapo hakuna hoja yoyote ya kujibu labda kama angetoa maelezo amezipataje hizo asilimia!!
1 Nikikupa mfano kidiplomasia 80% hamas haonekani kikundi cha kigaidi Zaid ya wapigania uhuru ndio maana nchi nyingi wamewapigia kura kuhusu kupewa taifa lao, Free palestine imekua dunia nzima saivi watu weshawishika kuisapoti hamasi, leo ubalozi wa Israel imevamiwa Korea kusini ambako ni mshirika mkuu n Marekani hivyo kidiplomasia dunian hamasi amescore pakubwa sana

2.Tukija kijeshi Hamas 60% amejitahidi sana kupambana na Israel mwaka umeisha lakini bado wapo watu wanasema hawafai sare ni sawa hio mbinu imewasaidia sana kupunguza idadi ya vifo vya wapiganaji na kuhimili adui pia wameharibu vifaa vingi mno pamoja kuua wanajeshi wengi na majeruhi

3 kiuchumi hamasi hapa kapigwa vibaya mno yaani 0% au negative kabisa sijui anapan ipi ya kujinasua hapo alipowekwa na mazayuni kuanzia nguvu kazi ya vijana na kizazi cha watoto kwakweli hii ni hasara kubwa mno hamasi kapokea yaan haieleweki
4 kiintelijensia hamas nimempa 79% wako vizuri mno wamekaa na mateka mwaka mzima ndani ya eneo dogo hilo gaza, na bado wanashinikiza deal leo mazungumzo yameanza upya, wanaingiza silaha na chakula kwa majeshi yao huku wamezungukwa eneo hilo la gaza hio ni misheni ya kikomando kabisa.

5 kiteknolojia hapa wamefeli vibaya mno nimempa 30% kwaajili ya zile rockets na kushusha baadhi ya drones pia underground tunnels network lakini bado sana ndio imewatesa sana kwenye hii vita hawana mfumo wowote wa ulinzi yaan hovyo na ndio eneo nimelisistiza hapo juu wakifanikiwa basi itakua mtihani kwa zayuni

Famous 90% leo Hii Hamas wanajulikana mpaka vijijini huko venezuela in short hamas wamekua maarufu saivi kuna picha nyingi sana za sinwar zianazunguka facebook akiwa kwenye kochi la kifo. All in all mpaka watoto wadogo saiv utasikia free palestine. N.k nitazidi kuongeza kadri navofuatilia huu mtanange
Lakini vita hivi vimeonyesha direction ya tunapokwenda kivita kwenye huu ulimwengu lazima ujue hata kama uko imara vipi kuna security bleach itapatikana mahali adui ataingia.

Usiku wa leo plan imewekwa mezani kwa Netanyahu kuivaa Iran kila kitu kiko tayari kutoka kwa general yaan anajiamini kinoma lakini Netanyahu hajasaini nikuingia na kutoka azurula tuu. General anamwbia muoga lakini anajiuliza mara mbili mbili

6
 
1 Nikikupa mfano kidiplomasia 80% hamas haonekani kikundi cha kigaidi Zaid ya wapigania uhuru ndio maana nchi nyingi wamewapigia kura kuhusu kupewa taifa lao, Free palestine imekua dunia nzima saivi watu weshawishika kuisapoti hamasi, leo ubalozi wa Israel imevamiwa Korea kusini ambako ni mshirika mkuu n Marekani hivyo kidiplomasia dunian hamasi amescore pakubwa sana

2.Tukija kijeshi Hamas 60% amejitahidi sana kupambana na Israel mwaka umeisha lakini bado wapo watu wanasema hawafai sare ni sawa hio mbinu imewasaidia sana kupunguza idadi ya vifo vya wapiganaji na kuhimili adui pia wameharibu vifaa vingi mno pamoja kuua wanajeshi wengi na majeruhi

3 kiuchumi hamasi hapa kapigwa vibaya mno yaani 0% au negative kabisa sijui anapan ipi ya kujinasua hapo alipowekwa na mazayuni kuanzia nguvu kazi ya vijana na kizazi cha watoto kwakweli hii ni hasara kubwa mno hamasi kapokea yaan haieleweki
4 kiintelijensia hamas nimempa 79% wako vizuri mno wamekaa na mateka mwaka mzima ndani ya eneo dogo hilo gaza, na bado wanashinikiza deal leo mazungumzo yameanza upya, wanaingiza silaha na chakula kwa majeshi yao huku wamezungukwa eneo hilo la gaza hio ni misheni ya kikomando kabisa.

5 kiteknolojia hapa wamefeli vibaya mno nimempa 30% kwaajili ya zile rockets na kushusha baadhi ya drones pia underground tunnels network lakini bado sana ndio imewatesa sana kwenye hii vita hawana mfumo wowote wa ulinzi yaan hovyo na ndio eneo nimelisistiza hapo . wakifanikiwa basi itakua mtihani kwa zayuni

Famous 90% leo Hii Hamas wanajulikana mpaka vijijini huko venezuela in short hamas wamekua maarufu saivi kuna picha nyingi sana za sinwar zianazunguka facebook akiwa kwenye kochi la kifo. All in all mpaka watoto wadogo saiv utasikia free palestine. N.k nitazidi kuongeza kadri navofuatilia huu mtanange
Lakini vita hivi vimeonyesha direction ya tunapokwenda kivita kwenye huu ulimwengu lazima ujue hata kama uko imara vipi kuna security bleach itapatikana mahali adui ataingia.

Usiku wa leo plan imewekwa mezani kwa Netanyahu kuivaa Iran kila kitu kiko tayari kutoka kwa general yaan anajiamini kinoma lakini Netanyahu hajasaini nikuingia na kutoka azurula tuu. General anamwbia muoga lakini anajiuliza mara mbili mbili

6
Naanza na namba 1. Palestina hawakuanza leo kupigiwa kura iwe nchi hii ipo siku nyingi enzi za Yaser Arafat 1967. Ki-Diplomasia Hamas hawajashinda popote maana ni kikundi ha kigaidi kinachotambulikana na PLO ya Mahmoud Abbas siyo wabakaji hawa!!!. Na kuvamiwa ubalozi huko korea huo ni Uhuni wala siyo sifa ya kutambulika. Kwa hiyo 80% żako zimęnda bure kabisa.
2..Hamas kupigana na Hamas kwa mwaka hakuwapi wao fursa ya kuwa wapiganaji wazuri. Israel ilifanya hivyo maksudi ili kwanza isihatarishe maisha ya mateka wao,Pili kuziba mianya ya Magaidi wa Hamas kutoroka/kutorosha mateka kwenda misri. Tatu ilikuwa inatoa mwanya wa mazungumzo kufanyika ili kubadirishana Mateka na wafungwa wa ki Palestina. Nne ni kuharibu miundombinu ya kigaidi iliyotengenezwa kwa miaka mingi. Mambo haya mannę ndiyo yaliyosababisha vita na Hamas kuchukua mwaka mmoja wala si umahiri wao katika medani.kuhusu kuharibu vifaru vya Israel hiyo ni habari za kusikia tu ndiyo maana nao wanasema tu kuwa wameharibu vifaru vingi ukiuliza vingapi hawajui,Kuhusu kuua askari wengi wa Israel hizo ni rumours tu maana wao wenyewe hawajui wameua askari wangapi na wamejeruhi wangapi.hivyo tena 60% yako imepotea bure kabisa.
3.Nani kakudanganya kuwa Hamas wana uchumi wowote? Hamas hawana uchumi wowote sana sana wanamtegemea Bwana wao Iran na mashirika ya Umoja wa Mataifa kama UNRWA shirking ambalo lilishiriki kikamilifu katika uvamizi wa Oct 07,2023.
4.Kama nilivyojibu namba 2 Hamas Hana uwezo wa kupambana na Majeshi ya Israel walikuwa wanamvutia pumzi tu ili wa huknę mateka wao Salama hawawezi kuhimili vishindo vya IDF.kuhusu chakula Hamas wanapewa wala hawakuwa na uwezo wa kujiletea chakula wao wenyewe. Kuhusu silaha wao walikuwa tayari wameshaingiza kwenye mahandaki yao kabla ya Oct 07,2023. Hapo pia 79% zimępotęa bure.
5.Hamas hawana tek ołówka yoyote ya silaha vyote wanazozitumia wanatoa kwa Bwana wao Iran wao hawana lolote. 30% żako pia zimepotea bure kabisa.
6. Huwezi kuwa maaru fu kwa kuteka,kutesa,kubaka na kuua watu huo ni ukatili uliopitiliza hivyo huwezi kuwa maarufu kwa vitendo viovu 90% zimepotea bure kabisa.
 
Unajibu kihisia zaidi nashindwa kuelewa unalengo lipi tena mateka wakitoka Gaza ni rahisi kupatikana kuliko wakibaki pale kaa jitafakali punguza mihemko soma tena nilichoandika
 
Mateka wakitoka Gaza huwezi jua wanaweza kupelekwa Iran hapo urahisi uko wapi.? Ndiyo maana majeshi hodari ya Israel yaliwahi sana kuingia Rafah pamoja na shinikizo la wengi wasiende Rafah. IDF walijua hili mapema. Ni ngumu sana Kunielewa Kama una mihemko ya kijinga.!!!
 
Nashangaa unachobisha shambulio hilo halikuwa na madhara makombola Karibu yote yalipopolewa na vipande hivyo ndivyo viliangukia magari barabara na nyumba za watu mengine yaliangukia sehemu za wazi nikiwaambia mowę mnaelewa. Kwa hiyo kazi ya Iran ilikuwa bure kabisa maana alikurupuka sana.
Unajua maana ya madhara kijana!?
Umemsoma huyo kiongozi ambaye aliyekua anaongea na BBC correspondent!?
HIyo sehemu inasema kwa uharibifu wa makazi 100 yangetosha kuangamiza raia wengi.
Unataka kusema shrapnels pekee zinatosha kuharibu makazi 100!?
Mpuuzi wewe,makazi 100 ni madhara hayo.
Kuna shule hapo imeharibiwa.
Magari yamebondeka.

Acha ujinga wewe yaani Mimi unieleze ujinga nikuelewe!! Yaani uniambie Pumba halafu niseme umenielimisha!! Mimi siyo zuzu kama wewe wa kukubali mambo ya kijinga. Kama una hoja lete za ukweli na ushahidi juu!!
Kijana wewe ni Fala tu na nitaendelea kukuona fala hadi mwisho.
Kwanza huna hoja ya maana uliyoongea hadi sasa.
Pili unajitia mjuaji kumbe huna unalolijua.
 
Unajibu kihisia zaidi nashindwa kuelewa unalengo lipi tena mateka wakitoka Gaza ni rahisi kupatikana kuliko wakibaki pale kaa jitafakali punguza mihemko soma tena nilichoandika
😂😂😂😂😂😂Umeshamsoma kaka eeh!?
Hakuna reality anayoongea isipokua mihemko yake tu.
 
Ngoja tu nitoe elimu kwako kuwa magaidi kote duniani huwatumia watu Kama Kinga ( Human-Shield) na wanatumia nyumba za Ibada na public service kufa yea Ugaidi wao kinyume na sheria za Umoja wa Mataifa kuzuia kutumia nyumba za Ibada na public service Kama vile Hospita,nyumba za serikali au za umma kuzitumia kufanyia mashambulizi kitu ambacho Magaidi wa Hamas wanakifanya wameshikilia mateka kutoka Israel na kuwafanya Kama Kinga wasishambuliwe na majeshi ya Israel,Kijeshi ukiruhusu kanisa,msikiti,hospitali litumike kigaidi basi nyumba hizo zinakosa hadhi ya kuwa nyumba za Ibada hivyo zinaweza kushambuliwa wakati wowote.kwa maelezo yao hao vatikan majeshi ya Israel yalishambuliwa kutoka kwenye majengo yao hivyo ni halali wao kushambuliwa hata wakifa sawa tu maana wamegeuza nyumba za ibada kuwa launching-Pad ya Magaidi. Huko Gaza misikiti na makanisa na hospitali Hamas wanazitumia sana kufanyia Ugaidi wao na wanafanya hivi ili tu kuwaharibia sifa askariwa Israel kwenye jumuia za kimataifa. Kama kanisa msikiti au hospital vinatumika kuhifadhi magaidi basi ni lazima uvunjwe mara moja maana hauna sifa!!
Uache UFALA we jamaa.
Narudia UACHE UFALA.
Humo ndani ya kanisa waliouawa ni WANAWAKE TUPU.
NA HATA HAO VATICAN NA WASHIRIKA WAO WALITOA UFAFANUZI KUWA HAKUKUWA NA MSHAMBULIAJI WA HAMAS NA HUMO KULIKUA NA WANAWAKE TUPU.
MUDA MWINGINE NAFIKIRI NAONGEA NA MWENDAWAZIMU.
NI UMEDATA AMA NI FALA WEWE!?
HUMO NDANI KULIKUA NA WANAWAKE TUPU HUMO KANISANI WAZEE KWA WATOTO.

umesoma post #217 nilokuletea ushahidi wa Israel kuua raia wake wenyewe na mateka watatu waliojiokoa Gaza!???

Una habari kama USA ilikataa madai ya Israel yanayosema Hospital ya Lebanon ina handaki za fedha za Hizbullah!??

Leo sikuachi nakugonga nondo hadi uchakae.
 
Naanza na namba 1. Palestina hawakuanza leo kupigiwa kura iwe nchi hii ipo siku nyingi enzi za Yaser Arafat 1967. Ki-Diplomasia Hamas hawajashinda popote maana ni kikundi ha kigaidi kinachotambulikana na PLO ya Mahmoud Abbas siyo wabakaji hawa!!!. Na kuvamiwa ubalozi huko korea huo ni Uhuni wala siyo sifa ya kutambulika. Kwa hiyo 80% żako zimęnda bure kabisa.
Diplomasia ama geopolitics huwa haziendi hivyo.
Diplomasia/geopolitics hutizamwa kwa kuangalia mzizi wa tatizo.
Tatizo kuu linatambulika ni resolution zilizoletwa na UN juu ya uundaji wa mataifa mawili,kukataa kwa UN kuitambua Palestina kama nchi na upanuzi wa ardhi kwa vita wa Israel.
Hivi vyote vilipelekea PLO kutumia nguvu ya silaha badala ya diplomasia.Na zilizaa matunda,msimamizi wa hili suala ambaye alikua ni kiongozi wa Norway alifikia muafaka wa Palestina kupewa nchi ila Mossad wakamuua.
Nchi zaidi ya 120 zinamuunga mkono Hamas/PLO hivyo kidiplomasia Hamas ameshinda.
Wanaokwamisha ni Israel,USA na UK.
Hivyo usibishe ilhali katika vikao vya UN general Assembly hao watu walipata viti 120+.
Spain,Belgium,Brazil wote walivunja uhusiano wa kidiplomasia na Israel na kuwapa solidarity Hamas.
Wewe ni nani upinge kuwa hawajafanikiwa kidiplomasia!?

2..Hamas kupigana na Hamas kwa mwaka hakuwapi wao fursa ya kuwa wapiganaji wazuri. Israel ilifanya hivyo maksudi ili kwanza isihatarishe maisha ya mateka wao,Pili kuziba mianya ya Magaidi wa Hamas kutoroka/kutorosha mateka kwenda misri. Tatu ilikuwa inatoa mwanya wa mazungumzo kufanyika ili kubadirishana Mateka na wafungwa wa ki Palestina. Nne ni kuharibu miundombinu ya kigaidi iliyotengenezwa kwa miaka mingi. Mambo haya mannę ndiyo yaliyosababisha vita na Hamas kuchukua mwaka mmoja wala si umahiri wao katika medani.kuhusu kuharibu vifaru vya Israel hiyo ni habari za kusikia tu ndiyo maana nao wanasema tu kuwa wameharibu vifaru vingi ukiuliza vingapi hawajui,Kuhusu kuua askari wengi wa Israel hizo ni rumours tu maana wao wenyewe hawajui wameua askari wangapi na wamejeruhi wangapi.hivyo tena 60% yako imepotea bure kabisa.
Hapa bado unatudanganya.
Israel imeonesha failure katika suala la kupigana na Hamas na kuokoa mateka.
Hivi vita peke yake vimesababisha walemavu wapatao elfu 70 katika jeshi la Israel.
Na ripoti nakuletea.
Safari hii Hamas walionesha umahiri kiasi Netanyahu aliishutumu Iran moja kwa moja kuwa imepenyeza wanajeshi wake Gaza.
*Mateka hawajapata.
*Miundombinu ya mahandaki iko vile vile.
*Hamas hawajawamaliza.
Hakuna walichofanikiwa na wameua askari wao wengi sana na kupata walemavu wa kutosha tu.
3.Nani kakudanganya kuwa Hamas wana uchumi wowote? Hamas hawana uchumi wowote sana sana wanamtegemea Bwana wao Iran na mashirika ya Umoja wa Mataifa kama UNRWA shirking ambalo lilishiriki kikamilifu katika uvamizi wa Oct 07,2023.
4.Kama nilivyojibu namba 2 Hamas Hana uwezo wa kupambana na Majeshi ya Israel walikuwa wanamvutia pumzi tu ili wa huknę mateka wao Salama hawawezi kuhimili vishindo vya IDF.kuhusu chakula Hamas wanapewa wala hawakuwa na uwezo wa kujiletea chakula wao wenyewe. Kuhusu silaha wao walikuwa tayari wameshaingiza kwenye mahandaki yao kabla ya Oct 07,2023. Hapo pia 79% zimępotęa bure.
5.Hamas hawana tek ołówka yoyote ya silaha vyote wanazozitumia wanatoa kwa Bwana wao Iran wao hawana lolote. 30% żako pia zimepotea bure kabisa.
6. Huwezi kuwa maaru fu kwa kuteka,kutesa,kubaka na kuua watu huo ni ukatili uliopitiliza hivyo huwezi kuwa maarufu kwa vitendo viovu 90% zimepotea bure kabisa.
Madai yako ya Hamas kuwa mbakaji uliambiwa ulete ushahidi na hukuleta.
Uache kuzungumza usichokua na ushahidi nacho

Silaha anazotumia Hamas hususan rockets ni locally made.
Hizo silaha kutoka Iran zinapita wapi ilhali border zote anazidhibiti Israel!?
Kila kinachoingia na kutoka Gaza zaidi ya miaka 50 Israel ndiye anayeki monitor.
Sasa utueleze hizo rocket launcher zimeingiaje!?
 
Uache UFALA we jamaa.
Narudia UACHE UFALA.
Humo ndani ya kanisa waliouawa ni WANAWAKE TUPU.
NA HATA HAO VATICAN NA WASHIRIKA WAO WALITOA UFAFANUZI KUWA HAKUKUWA NA MSHAMBULIAJI WA HAMAS NA HUMO KULIKUA NA WANAWAKE TUPU.
MUDA MWINGINE NAFIKIRI NAONGEA NA MWENDAWAZIMU.
NI UMEDATA AMA NI FALA WEWE!?
HUMO NDANI KULIKUA NA WANAWAKE TUPU HUMO KANISANI WAZEE KWA WATOTO.

umesoma post #217 nilokuletea ushahidi wa Israel kuua raia wake wenyewe na mateka watatu waliojiokoa Gaza!???

Una habari kama USA ilikataa madai ya Israel yanayosema Hospital ya Lebanon ina handaki za fedha za Hizbullah!??

Leo sikuachi nakugonga nondo hadi uchakae.

Diplomasia ama geopolitics huwa haziendi hivyo.
Diplomasia/geopolitics hutizamwa kwa kuangalia mzizi wa tatizo.
Tatizo kuu linatambulika ni resolution zilizoletwa na UN juu ya uundaji wa mataifa mawili,kukataa kwa UN kuitambua Palestina kama nchi na upanuzi wa ardhi kwa vita wa Israel.
Hivi vyote vilipelekea PLO kutumia nguvu ya silaha badala ya diplomasia.Na zilizaa matunda,msimamizi wa hili suala ambaye alikua ni kiongozi wa Norway alifikia muafaka wa Palestina kupewa nchi ila Mossad wakamuua.
Nchi zaidi ya 120 zinamuunga mkono Hamas/PLO hivyo kidiplomasia Hamas ameshinda.
Wanaokwamisha ni Israel,USA na UK.
Hivyo usibishe ilhali katika vikao vya UN general Assembly hao watu walipata viti 120+.
Spain,Belgium,Brazil wote walivunja uhusiano wa kidiplomasia na Israel na kuwapa solidarity Hamas.
Wewe ni nani upinge kuwa hawajafanikiwa kidiplomasia!?

Hapa bado unatudanganya.
Israel imeonesha failure katika suala la kupigana na Hamas na kuokoa mateka.
Hivi vita peke yake vimesababisha walemavu wapatao elfu 70 katika jeshi la Israel.
Na ripoti nakuletea.
Safari hii Hamas walionesha umahiri kiasi Netanyahu aliishutumu Iran moja kwa moja kuwa imepenyeza wanajeshi wake Gaza.
*Mateka hawajapata.
*Miundombinu ya mahandaki iko vile vile.
*Hamas hawajawamaliza.
Hakuna walichofanikiwa na wameua askari wao wengi sana na kupata walemavu wa kutosha tu.

Madai yako ya Hamas kuwa mbakaji uliambiwa ulete ushahidi na hukuleta.
Uache kuzungumza usichokua na ushahidi nacho

Silaha anazotumia Hamas hususan rockets ni locally made.
Hizo silaha kutoka Iran zinapita wapi ilhali border zote anazidhibiti Israel!?
Kila kinachoingia na kutoka Gaza zaidi ya miaka 50 Israel ndiye anayeki monitor.
Sasa utueleze hizo rocket launcher zimeingiaje!?
Nakushangaa unapokataa kuwa Hamas si wabakaji wakati walibaka,walitesa,waliteka na kuua watu Nina wasiwasi na wewe ni mbakaji ndiyo maana unawatetea sana wabakaji wenzako. Haya ushahidi huo hapo na kwa kuwa huna akili sawasawa utaukataa!!!!
 
Attachments

  • -3427790424879226084.mp4
    7.4 MB
Uache UFALA we jamaa.
Narudia UACHE UFALA.
Humo ndani ya kanisa waliouawa ni WANAWAKE TUPU.
NA HATA HAO VATICAN NA WASHIRIKA WAO WALITOA UFAFANUZI KUWA HAKUKUWA NA MSHAMBULIAJI WA HAMAS NA HUMO KULIKUA NA WANAWAKE TUPU.
MUDA MWINGINE NAFIKIRI NAONGEA NA MWENDAWAZIMU.
NI UMEDATA AMA NI FALA WEWE!?
HUMO NDANI KULIKUA NA WANAWAKE TUPU HUMO KANISANI WAZEE KWA WATOTO.

umesoma post #217 nilokuletea ushahidi wa Israel kuua raia wake wenyewe na mateka watatu waliojiokoa Gaza!???

Una habari kama USA ilikataa madai ya Israel yanayosema Hospital ya Lebanon ina handaki za fedha za Hizbullah!??

Leo sikuachi nakugonga nondo hadi uchakae.
Unapewa FACTS wewe unaleta ufala hili ndilo tatizo kubwa linalokukumba. Kwanza unadai waliuwawa kwenye hilo kanisa ni wana wake tupu na unadai wenye kanisa walidai hakukuwa na mshambuliaji kanisani huko!! “Take note” Hamas ni magaidi na wanatumia makanisa,misikiti na hospitali kuya shambulio Majeshi ya Israel kwa akili yako ndogo unataka wenye kanisa au msikiti wakuambie wewe Mmatumbi mwenzangu kuwa kanisa au msikiti wao unatumia kigaidi? Inaingia kichwani mwako? Ukiwa na kichwa cha panzi Najua unaweza kukubaliana nao. Pia umekuwa ukisisitiza sana humo kanisani kuli kuwa na wanawake tu kwa hiyo unataka kutuaminisha kuwa Hamas haina magaidi wa kike na ina magaidi wa kiume tu?? Nimeelezea huko nyumba kuwa Nyumba za Ibada,Hospitali na majumba ya serikali zikitumika kigaidi kwa kuruhusu magaidi kuyatumia basi taasisi hizo zinakosa sifa ya kuwa Nyumba za Ibada,Hospitali au nyumba za serikali hivyo zinaweza kushambuliwa wakati wowote maana si nyumba za ibada bali zimekuwa Kama mipango ya wanyang’anyi tu. Kuhusu post #217 uliyoelezea kuwa Israel iliua watu wake yenyewe nasema hivi kwa kuwa wewe hujapitia mambo ya kijeshi na hujashiriki vita yoyote huwezi kuelewa labda kwa faida ya wengine nielezee hili. Vitani kuna mambo mengi kuna wakati kunakuwa na “Friendly-Fire” maana yake mnaweza mnaweza kupigana nyinyi kwa nyinyi kwa kutokutambuana hii Ina tokena mara kwa mara kwenye vita mbalimbali hasa kwenye vita vya msituni na Majini, kingine kinaitwa “Pre-Matual strike” hii inatokea mnapopanga kuwa muda kamili wa kushambulia eneo harafu ghafla wenzenu kwa kutokujua w akapit a eneo hilo hiyo pia inaweza kusababisha wnajeshi kuua wenzao. Kingine ni “MISINFORMATION” au “COMMUNICATION-BREACKDOWN” vyote hivi vinaweza kusababisha kuuana nyinyi kwa nyinyi vitani. Hivyo huwezi kujua wewe Mmatumbi mwenzangu ni nini kilisababisha wakaua wenzao na hii hawezi kuwa ni Makusudi vichaa pekee anaweza kuua bila sababu yoyote. Kuhusu kushambuliwa Jengo ambalo Magaidi wa Hezbollah walikuwa na benki yao na Marekani kukataa hiyo haijalishi marekani Krakatoa au Kakubali Ninachojua mimi hilo Jengo lote limeshushwa chini Hezbollah naye ni MANDONGA tu!!!!! Bila Shaka nimekujibu ipasavyo Ila kama una kichwa cha panzi hutanielewa hata hivyo niko hapa kuelimisha wajinga kama wewe!!!!!
 
Hii vita hamasi ameshinda kidiplomasia 80% na kijeshi 60% kiuchumi 0% kiintelijensia 79% kisaikolojia 80% Famous 90% kiteknolojia 30% hivyo mimi nawapa hongera sana miaka ijayo wakijipata kiteknolojia hata 60% zayuni atakubali
Kijeshi 0 kabisa - the fact IDF armed forces inaondoma na viongozi as if its nothing hiyo ni major flaw, they are weak, intelligence 0 - ingekuwa strong viongoz wao wangekuwa hai leo hii, technochlogia bado sana, mpaka wajipate na mzayuni atakuwa mbali sana, hatosubiria
Kiuchimu hakuna walicho gain ambacho kina mchango wowote, wanategemea misaada kuendesha operesheni zao

Honestly IDF imewazidi mbali, wana safari ndefu unless wabadilishe miongozo yao
 
Huwezi kutoa 0% akati mapigano bado yanaendelea kijeshi na kamanda battalion 401 Kaua juzi, na hamas bado wako front wanafanya oparations kila siku na kutoa ripoti

Intelligence yao huwezi kuibeza kwakua mpaka sasa wanashikilia mateka na wameongeza wanajeshi kadhaa waliokutwa kwenye kifaru, kuuawa kwa viongozi kweli ni changamoto lakini wamefanya vizuri kiintelijensia kulingana na ability yao

Kiuchumi nimesema kabisa wamepigwa hilo halina ubishi

Kiteknolojia ndio nimeona wajipange watafika tu kwani hata hizbollah nae alipitia hii changamoto lakini sasa anapiga anapotaka yeye ndani miji ya mzayuni kwahio hapo akipapatua akafika hata 60% zayuni atapunguza kama sio kuacha kabisa uonevu
 
Back
Top Bottom