TANZIA Helikopta yaanguka, aliyekuwa Mbunge wa Ludewa, Deo Filikunjombe na wengine wapoteza maisha!

Huu uchaguzi awamu hii majanga yamezidi. Kila mojawetu aombe kwa imani yake ili Mungu atende maajabu. Wanaweza kupona kwa ajali lakini ile ni msitu mnene,Kuna kila aina ya mnyama
 
Tuwaombee waliopata ajali labda wenye helicopter usaiilinamba 5Y-DKK tazama picha yake kabla ya kupakwa rangi ya CCM https://www.flickr.com/photos/aeroprints/15405174679.

Labda kampuni maarufu ya Kenya www.flyladylori.com wa uwanja wa ndege wa Wilson, Nairobi, Kenya ambao wanasifika kwa kazi ya kukodi na pia kufanya msako wa search and rescue Standard Digital News - Kenya : National Assembly Justin Muturi, pilot speak on helicopter ‘mishap’ wanaweza kufanya pia kazi hiyo ktk utafutaji wa eneo la ajali ndani ya mbuga kubwa ya Selous, Tanzania.
 

wamehudhuria majengo ya shule na vyuo kwa ufupi
 

kwakweli inasikitisha sana

Cpt. Silaa ni mzazi wetu, Deo ni mdogo wetu, Haule ni ndugu wa Deo... hawa ni watu tena wasio na makuu

Watanzania tutakubaliana kwamba Deo is a unique politician,

Naunga mkono hoja... tuwe sensitive
 
Mnaongelea hii ajali mbichi wakati hakuna taarifa zozote juu ya marubani wa jeshi waliopotelea baharini. Hatujui kipi kinaendelea
 

Mnaongelea hii ajali mbichi wakati hakuna taarifa zozote juu ya marubani wa jeshi waliopotelea baharini. Hatujui kipi kinaendelea

Kweli kabisa kuna masuala muhimu yamewekwa kando kwa sababu raia na watendaji wote wa nchi wako kwenye siasa yaani kila kitu kimechukuliwa na siasa za uchaguzi. Utakuta nchi iko hatarini lkn hakuna mwenye kujua manake hata intelijensia ya nchi imo siasani.
 
Deo naye ajitokeze kwenye media tujue kama yupo hai,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…