Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hiyo Helicopta juzi ilipita kwenye mkutano wa chadema hapa Njombe nakufanya vurugu zilizosababisha kuongezwa kwa dk 15 za mkutano kwa ajili yakufidia mud a.
Baada ya dk chache ilikwenda kutua Njombe airport nikaona imefunguliwa ikitengenezwa I hope ilikuwa mbovu
Wamejuaje kama wapo salama?? Ikiwa mawasiliano ni ya shida??
Mbona DC Makonda wa kinondoni yupo kampeni kanda ya ziwa almost fulltime kuwapiga vijembe lowasa na lembeli? Hii ndiyo bongo ya ccm. Mkuu wa wilaya anaacha ofisi anenda kampeni?? Ni tanzania pekee mambo kama haya hufanyika pasipo watu kupiga kelele.
Yaani ukitafakari vizuri hizi habari za wapo salama huku wakisema hawajafika ndege ilipo ndo unaona namna tulivyo wababaishaji.
Kwanin hawatwambii wamepataje hizo habari??
Kapt Silaa atakuwa kaka wa ex Meya wa Ilala nini? Tulisoma wote utotoni na nilisikia kawa rubani..
Mungu awape uzima..
Sintofahamu.
Ni kama hali ya mwamunyange
Wewe hukai njombe mimi nimesomea njombe
Deo ni mbunge mnafki anayetengeneza picha na video aonekane mchapakazi
Ila kiukweli ni boya sana na ni mmoja kati ya wabunge wa ndiooooo!!tunahtaji wabunge kama kina lembeli ambao wanatengwa na ccm baada ya kuzungumza ukweli
Shemeji nimejiuliza hilo pia. Au maybe wao waliruka na ma parachute then ndege ikaenda kudondoka yenyewe kusikojulikana.
Wamesema watazidi kutoa taarifa zaidi ya tukio hilo.
Labda wametumiwa email na simba au twiga maana hawa jamaa wanachati hadi na watu walioko ICU.