Shark
JF-Expert Member
- Jan 25, 2010
- 29,775
- 29,746
Sasa Mbugani huko si kuna King wa Pori na Nyau wa Pori(Chui) Mungu uwaepushe ingawa wanatukana sana
Mkuu,
Yaani Mzee wa Nyika a.k.a King lion awe na njaa halafu eti we kwa kuandika tu hapa Mungu awaepushe utegemee kule Simba abadili mawazo????
Hapa ni kusubiri matokeo tu
