TANZIA Helikopta yaanguka, aliyekuwa Mbunge wa Ludewa, Deo Filikunjombe na wengine wapoteza maisha!

TANZIA Helikopta yaanguka, aliyekuwa Mbunge wa Ludewa, Deo Filikunjombe na wengine wapoteza maisha!

Hiyo Helicopta juzi ilipita kwenye mkutano wa chadema hapa Njombe nakufanya vurugu zilizosababisha kuongezwa kwa dk 15 za mkutano kwa ajili yakufidia mud a.
Baada ya dk chache ilikwenda kutua Njombe airport nikaona imefunguliwa ikitengenezwa I hope ilikuwa mbovu
 
Vurugubza makusidi au bahati mbya? Maana sijkuelewa kidogo
 
mungu awalinde wote waliopatwa na majanga hayo. ila kuna vimambo vinaendelea vingi sana kuelekea uchaguzi mkuu. mengi yanaweza kuendelea kutokea. sijui hali itakuwaje kwa siku ya tarehe 25 na baada ya hapo.
 
Mbona DC Makonda wa kinondoni yupo kampeni kanda ya ziwa almost fulltime kuwapiga vijembe lowasa na lembeli? Hii ndiyo bongo ya ccm. Mkuu wa wilaya anaacha ofisi anenda kampeni?? Ni tanzania pekee mambo kama haya hufanyika pasipo watu kupiga kelele.
 
Utatutambua tar 25 kuwa kumbe Simba mwenda kimya ndiye mla nyama
 
Yaani ukitafakari vizuri hizi habari za wapo salama huku wakisema hawajafika ndege ilipo ndo unaona namna tulivyo wababaishaji.
Kwanin hawatwambii wamepataje hizo habari??

Yaani wao jf wameshindwa kufika eneo la tukio lkn taarifa ya wako salama imeonekana kwenye taarifa ya habari ya itv.
 
Usiseme yadaiwa ni kweli imeanguka kwenye hifadhi ya selou ndani ya kitalu b.
 
Kapt Silaa atakuwa kaka wa ex Meya wa Ilala nini? Tulisoma wote utotoni na nilisikia kawa rubani..

Mungu awape uzima..
 
Naambiwa waliopata ajali hiyo ni wazima,,,bado hatuja pata taarifa kamili
 
Wewe hukai njombe mimi nimesomea njombe
Deo ni mbunge mnafki anayetengeneza picha na video aonekane mchapakazi
Ila kiukweli ni boya sana na ni mmoja kati ya wabunge wa ndiooooo!!tunahtaji wabunge kama kina lembeli ambao wanatengwa na ccm baada ya kuzungumza ukweli

Nadhani mkuu kwa wakati huu hapa si mahali pake.. Ubinadamu kwanza siasa baadae
 
Shemeji nimejiuliza hilo pia. Au maybe wao waliruka na ma parachute then ndege ikaenda kudondoka yenyewe kusikojulikana.

Wamesema watazidi kutoa taarifa zaidi ya tukio hilo.

tusubiri tutaendelea kupata taarifa na kujua nini kinaendelea.
 
Back
Top Bottom