TANZIA Helikopta yaanguka, aliyekuwa Mbunge wa Ludewa, Deo Filikunjombe na wengine wapoteza maisha!

TANZIA Helikopta yaanguka, aliyekuwa Mbunge wa Ludewa, Deo Filikunjombe na wengine wapoteza maisha!

Toeni taarifa sahihi km hakuna uhakika na usemacho fanya utafiti kwanza, suala la kifo ni issues nyeti sana
 
Nna ugomvi na ccm but sio kwa Deo aisee..Mungu awaepushie hao manusura madhara zaidi.
 
ipo shida mahali.kama ni kweli...wanasiasa wanapukutika
 
Back
Top Bottom