TANZIA Helikopta yaanguka, aliyekuwa Mbunge wa Ludewa, Deo Filikunjombe na wengine wapoteza maisha!

TANZIA Helikopta yaanguka, aliyekuwa Mbunge wa Ludewa, Deo Filikunjombe na wengine wapoteza maisha!

Ujue Mkuu Ndomana Kila Siku Nasemaga Watz Hatusimami Katika Nafasi Zetu.Mbunge Wa Eneo Hilo Yupo Wapi Kuorganize Vitu Kufanikisha Kutengeneza Madawati?
Chama Kama Chama Tunatumia Ruzuku Yetu Kujenga Vitu Vyetu Hilo Swala La Shule Halikuwa Katika Mipango Ya Chama,hilo Jambo Ni Wajibu Wa Mbunge..Hatuwezi Kukata Ruzuku Zetu Ili Kutengeneza Madawati Kama Ilivo Nyinyi....
We gamba baki Ktk mada! Watz wanataka kujua uokoaji unafanyika au sahv mnaunda kamati kwanza......mkishamaliza kuunda kamati jamaa watakuwa washaliwa na simba
 
Pdidy uandishi wako huwa unaicha hoi.

Huwa najiuliza ni makusudi au ndo hali ilivyo, kama ni makusudi basi hizo ni sifa za kijinga, kama ndo upeo wake basi namsikitikia mwalimu wake.
 
Mungu amwepusha namabalaa yote ndg yangu Filikunjombe ingawa yupo ccm lakini huyu bwana namkubali nimchapa kazi wakweli
 
Duh page 28 na comments zaidi ya 580 lakini bado no speculation tu, hapa kweli Kazi Tu
 
Mnaweza nini! Ajali ngapi zilitokea uokoaji ukifanyika huwa ni mbovu.
Natamani itokeee balaaa tena familiaa yako iwepo...Ndiyo utajua serikali yako hii uokoaji wanaufanyaje! Acha kutetea ujinga

Mkuu Ajali Kitu Cha Kawaida Na Sio Kitu Cha Kuombeana Na Sio Kama Natetea.
Kuna Vitu Vingine Sio Vya Kuilaumu Serikali,mf.Magari Ya Zimamoto Yapo Lakini Wanayotumia Hayo Magari Hawaweki Maji Ya Kutosha Hapo Utailaumu Serikali Au Ni Uzembe Wa Hao Watumishi?
Ndo Maana Nasisitiza Watz Tukae Katika Nafasi Zetu Tutimize Wajibu Wetu Ipasavyo..
 
Issue siyo kukodiwa na Chama.
Ililetwa hapa Nchini kwa ajili ya kufanya shughuli gani?
Huyo February wenu alipokanusha hizi habari si angeeleza hilo mnalotaka kutuaminisha sasa?
inasikitisha sana alafu huyo february ndio mshauri wa chama na ndie mzee wachama mzee kingunge akisema ccm imeishiwa pumzi ni kweli kabisa
 
Sikh zote nasema tuheshimu taaluma, huku mtaani kunawatu tumeunguza vichwa wakati tunasaka elimu na maarifa lakini hatuthaminiwi na ccm badalayake. wasanii kama diamond ndio wako mbele, aya sasa diamond na wema wawasaidie ccm kwenye rescue team, nchi ya kipum.vu hii na watu wake wapu.vu tu
 
Mkuu Ajali Kitu Cha Kawaida Na Sio Kitu Cha Kuombeana Na Sio Kama Natetea.
Kuna Vitu Vingine Sio Vya Kuilaumu Serikali,mf.Magari Ya Zimamoto Yapo Lakini Wanayotumia Hayo Magari Hawaweki Maji Ya Kutosha Hapo Utailaumu Serikali Au Ni Uzembe Wa Hao Watumishi?
Ndo Maana Nasisitiza Watz Tukae Katika Nafasi Zetu Tutimize Wajibu Wetu Ipasavyo..
Hivi wewe unajua maana ya serikali??Kwanini hao watumishi ni wazembe? kwanini hawaweki magari maji ya kutosha?Usimamizi ni mbofu serikalini.Ajali imetokea jana mpk leo hakuna chochote kimefanyika, hta kama kulikuwa na majeruhi c watakuwa wameshakufa???
 
Ni kweli hivi kwanini idara ya anga haijasema? Inamaana chopa huwa hazionekani kwenye rada pili huko kwenye ifadhi hakuna radio calls mbona kila gari la hifadhi lina radio call? Hivi jamani mbona sipati jibu?
 
Masaa zaidi ya 15 bado hakuna taarifa sahihi

Mkuu inaudhi hii kitu, tena kulikuwa na taarifa kutoka kitalu fulani wanajua ilipoanguka sijui kwa nini hawataki kutoa taarifa sahihi!!!
 
Hivi wewe unajua maana ya serikali??Kwanini hao watumishi ni wazembe? kwanini hawaweki magari maji ya kutosha?Usimamizi ni mbofu serikalini.Ajali imetokea jana mpk leo hakuna chochote kimefanyika, hta kama kulikuwa na majeruhi c watakuwa wameshakufa???

Usiseme Chochote Hakijafanyika As If Upo Eneo La Tukio....
Ufuatiliaji Mbovu Ndomana Tumemuweka Mfuatiliaji Aliyemadhubuti Magufuli...
 
Ni kweli hivi kwanini idara ya anga haijasema? Inamaana chopa huwa hazionekani kwenye rada pili huko kwenye ifadhi hakuna radio calls mbona kila gari la hifadhi lina radio call? Hivi jamani mbona sipati jibu?

Tanzania ni zaidi ya uijuavyo kwa msaada wa Marekani.
 
Sitaki kuamini kama wameshindwa kuwasaidia wenzao wanaweza kumsaidia nani. Kweli wamechoka.
 
Back
Top Bottom