We gamba baki Ktk mada! Watz wanataka kujua uokoaji unafanyika au sahv mnaunda kamati kwanza......mkishamaliza kuunda kamati jamaa watakuwa washaliwa na simbaUjue Mkuu Ndomana Kila Siku Nasemaga Watz Hatusimami Katika Nafasi Zetu.Mbunge Wa Eneo Hilo Yupo Wapi Kuorganize Vitu Kufanikisha Kutengeneza Madawati?
Chama Kama Chama Tunatumia Ruzuku Yetu Kujenga Vitu Vyetu Hilo Swala La Shule Halikuwa Katika Mipango Ya Chama,hilo Jambo Ni Wajibu Wa Mbunge..Hatuwezi Kukata Ruzuku Zetu Ili Kutengeneza Madawati Kama Ilivo Nyinyi....
Pdidy uandishi wako huwa unaicha hoi.
Duh! Unajivunia kabisa hicho, majanga!Watanzania watu Wa ajabu sana namshukuru mungu nimepata uraia Wa nchi mbili
Pdidy uandishi wako huwa unaicha hoi.
Mnaweza nini! Ajali ngapi zilitokea uokoaji ukifanyika huwa ni mbovu.
Natamani itokeee balaaa tena familiaa yako iwepo...Ndiyo utajua serikali yako hii uokoaji wanaufanyaje! Acha kutetea ujinga
inasikitisha sana alafu huyo february ndio mshauri wa chama na ndie mzee wachama mzee kingunge akisema ccm imeishiwa pumzi ni kweli kabisaIssue siyo kukodiwa na Chama.
Ililetwa hapa Nchini kwa ajili ya kufanya shughuli gani?
Huyo February wenu alipokanusha hizi habari si angeeleza hilo mnalotaka kutuaminisha sasa?
we malaya unafikiri kwa kutumia iyo k yako au ombea pia baba yako na mama yako kesho watanguliye kabla ya kumuombea lowassaItakayofuata kulipuka ni ile ambayo Lowasa atakuwamo,
Duh page 28 na comments zaidi ya 580 lakini bado no speculation tu, hapa kweli Kazi Tu
Hivi wewe unajua maana ya serikali??Kwanini hao watumishi ni wazembe? kwanini hawaweki magari maji ya kutosha?Usimamizi ni mbofu serikalini.Ajali imetokea jana mpk leo hakuna chochote kimefanyika, hta kama kulikuwa na majeruhi c watakuwa wameshakufa???Mkuu Ajali Kitu Cha Kawaida Na Sio Kitu Cha Kuombeana Na Sio Kama Natetea.
Kuna Vitu Vingine Sio Vya Kuilaumu Serikali,mf.Magari Ya Zimamoto Yapo Lakini Wanayotumia Hayo Magari Hawaweki Maji Ya Kutosha Hapo Utailaumu Serikali Au Ni Uzembe Wa Hao Watumishi?
Ndo Maana Nasisitiza Watz Tukae Katika Nafasi Zetu Tutimize Wajibu Wetu Ipasavyo..
Hivi kama nyinyi serikali mnaiyendesha vilivyo kuna haja mfanye kampeni kweli au ni kutumia pesa za walipa kodi bila sababu
ndio maana tunasema kwa dharau zenu hizi hamtakiwi kuiongoza tz tenaMtoto wako akikaa chini ni upumbavu wako. Miti yote hii huioni?
Masaa zaidi ya 15 bado hakuna taarifa sahihi
Hivi wewe unajua maana ya serikali??Kwanini hao watumishi ni wazembe? kwanini hawaweki magari maji ya kutosha?Usimamizi ni mbofu serikalini.Ajali imetokea jana mpk leo hakuna chochote kimefanyika, hta kama kulikuwa na majeruhi c watakuwa wameshakufa???
Ni kweli hivi kwanini idara ya anga haijasema? Inamaana chopa huwa hazionekani kwenye rada pili huko kwenye ifadhi hakuna radio calls mbona kila gari la hifadhi lina radio call? Hivi jamani mbona sipati jibu?