SILVANUS MUMBA
Senior Member
- Aug 22, 2015
- 149
- 55
we unafikiri kuwa chopa inaweza tuwa sehemu zote siyo kosa lako maana twaweza walisha tuambia 75% ya vijana wa ccm ni mazuzuKhaa!! Hivi kweli katika raia million 45 na zaidi hakuna anayeweza kufanya chochote kuhusu hili? Hatuwezi hata tumia akili kidogo chopa zote ziliz kwenye kampeni zikaeelekea huko? :mad2:
kumbe vinauma eeeeeh,by the way nilikuwa namquoate aliyetamani mkapa angekuwemo kwenye hiyo chopa
Hahaha Ikianza Kuanguka Atakufa Kabla Ya Kufika Chini Makopo Yote Ya Sindano Anazochomwa Yatadondoka Mbugan, Na Kopo La Asali Litadondoka, Victorie Umenchekesha
Members hebu muda mwingine tunapotafakali matendo ya Mungu basi tuweke Siasa Pembeni, Mimi ni mwanachama Hai wa ACT, lakini Kura yangu nilisha sema kwa LOWASA, kwasababu naijua vizuri Demokrasia.
Sasa Chama kingine kinapo pata Tatizo tunapaswa sote Kama Watanzania tushikamane kufarijiana, Hizi Kampeni zina mwisho wake lakini Utanzania wetu hauna mwisho,
Inasikitika sana watu wanapo furahia Kufa kwa kiongozi fulani eti kwasababu ametokea CCM, Please HUU SIO UTANZANIA WETU TUNAKIUKA MISINGI TULIYO ACHIWA NA MWALIMU NYERERE, WATANZANIA WOTE NI NDUGU
Basi huo msitu mkubwa toka jana hawajampata
ILIDONDOKA na KULIPUKA huko mbugani.
Kwani mpaka muda huu hakuna jipya toka eneo la tokio?
Mkuu Ajali Kitu Cha Kawaida Na Sio Kitu Cha Kuombeana Na Sio Kama Natetea.
Kuna Vitu Vingine Sio Vya Kuilaumu Serikali,mf.Magari Ya Zimamoto Yapo Lakini Wanayotumia Hayo Magari Hawaweki Maji Ya Kutosha Hapo Utailaumu Serikali Au Ni Uzembe Wa Hao Watumishi?
Ndo Maana Nasisitiza Watz Tukae Katika Nafasi Zetu Tutimize Wajibu Wetu Ipasavyo..