Ukiondoa Deo na huyo rubani wengine waliokuwepo ni akina nani.
Hapa Kuna Mchezo Unachezeka Kati Ya Pande Mbili,sisi Tumewekwa Kama Watazamaji Tu,na Ndo Kwanza Ipo Half Time...Na Bado Wapo Wengine Viporo.Haiwezekani Mtoi,mtikila,kombani,makaidi,deo Wote Kipindi Hiki Na Lembeli Alishawekwa Kwenye Radar Bahati Yake Mizimu Ya Kwao Imemuokoa.....!
Sijawahi kuona mtu mwenye akili safi ccm kama Deo.So sad!
Huyu Makamba katoa kauli gani?Kauli za Makamba.jr ni uthibitisho wa viongozi wetu kujiropokea na kutoa matamko ya uongo pasi utafiti wowote.RIP Deo.Mungu akurehemu.