TANZIA Helikopta yaanguka, aliyekuwa Mbunge wa Ludewa, Deo Filikunjombe na wengine wapoteza maisha!

TANZIA Helikopta yaanguka, aliyekuwa Mbunge wa Ludewa, Deo Filikunjombe na wengine wapoteza maisha!

ww ndio upo matakoni mwa dunia...kukodi ni makubaliano yanayofanyika.inawezekana mkakubaliana na marubani wao au marubani wetu.chopa zinatoka kenya 100% confirmed
 
Kauli za Makamba.jr ni uthibitisho wa viongozi wetu kujiropokea na kutoa matamko ya uongo pasi utafiti wowote.RIP Deo.Mungu akurehemu.
 
Sijui nitakua nimekosea kusema!! This is too much!! Ee Mungu turehemu. Rip
 
so sad, R.I.P Kamanda Deo.. nilikua nakukubali sana kwa msimamo na kujiamini
 
Jamaa alikuwa anajiandaa kuwa waziri kwenye serikali ya Magufuli... Mungu ailaze roho yake mahala pema peponi
 
Maombi haswa yanhitajika kwa kwelii!!!
Siamini hata mimi kama kweli amefariki ila kama ni kweli R.I.P Deo Mungu awafriji familia ya marehemu na wote wenye uchungu.
 
Hapa Kuna Mchezo Unachezeka Kati Ya Pande Mbili,sisi Tumewekwa Kama Watazamaji Tu,na Ndo Kwanza Ipo Half Time...Na Bado Wapo Wengine Viporo.Haiwezekani Mtoi,mtikila,kombani,makaidi,deo Wote Kipindi Hiki Na Lembeli Alishawekwa Kwenye Radar Bahati Yake Mizimu Ya Kwao Imemuokoa.....!

lembeli mchawi sana
 
Ulale kwa amani mwana mwema wa Tanganyika! Gone too soon!:A S-rose::A S-rose::A S-rose::A S-rose::A S-rose::A S-rose::A S-rose::A S-rose::A S-rose::A S-rose:
 
Aisee? Poleni sana huu mwaka saa kufika 25 oktoba ni mbali sana. Tunatembea na roho mkononi muda wwte unaikabidhi ilipotoka. So sad
 
Poleni wafiwa wote walioguswa na msiba huo,Tuendelee kutenda mema ili na sisi yatakapotukuta tuwe mahala pazuli.
 
Back
Top Bottom