TANZIA Helikopta yaanguka, aliyekuwa Mbunge wa Ludewa, Deo Filikunjombe na wengine wapoteza maisha!

tatizo hawa wanaiga sana..
M4C eti nao M4C
mabadilkoo eti nao mabadiliko..
kumdekia honourable EL nao wanamdekia mawenge..
watu wakiruka na chopa nao wanataka waruke..
yatawashinda !!!!
 
Ukweli tutaujua kesho😭
 
Tuliombee sana taifa letu tanzania ,tuwaombee watanzania,tuwaombee sana viongozi wadogo kwa wakubwa..
 


nami nimeipata habari hii kama ulivyoieleza
 
Mungu aepushe mbali, lkn nawaambia jamani tuache masihara tuombe sn, msifikiri huu uchaguzi wa kawaida tu, no no no... Nchi inapita ktk Kipindi kigum sana! Lkn tutavuka na wote waliokusudia mabaya uatawarudia.

Lkn tuombe sn jamani..... Toba na rehema, hii nchi watu wamemwaga sn damu zisizokua na hatia na zile damu zinapiga kelele mbele za Mungu, msitegemee gadhabu ya Mungu itatuacha, TUOMBE toba...
 
Lolote la wezekana tutege sikio na tuwaombee mungu awaepushe
 
Weka siasa pembeni kwenye mambo mazito wewe unaesema mabadiliko yasipofanyika
 
Nimejaribu kumpigia Deo hapatikani namba zote!


Ndugu zake wa karibu mkuu, na marafiki ambao pengine aliokuwa nao Leo Kama Una mawasiliano yao umewasiliana nao..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…