Huwezi kumtenganisha mwana CCM na imani za kishirikina.. Tayari wameshaanza kuamini uchawi katika haya as if akina Kombani na Kigoda hawakuwa wagonjwa..
Hao bado wadogo sana,hata darasa la saba hawajamaliza,inasikitisha sanaunawaonea huruma?, sasa hivi wanaangaliana ninani kati yao atapewa na chama nafasi ya kurithi kiti cha ubunge cha baba yao, kama kawaida ya ccm.
unawaonea huruma?, sasa hivi wanaangaliana ninani kati yao atapewa na chama nafasi ya kurithi kiti cha ubunge cha baba yao, kama kawaida ya ccm.
Wewe ni wa kupimwa akili na ni mzigo kwa familia yako, ni bora hata mbuzi ana faida kuliko wewe.Ukawa Sasa Njia Yetu Ni Nyeupee! Mwendo Wa Kupita Bila Kupingwa!!! Bwana Ametoa, Bwana Ametwaa. Na Pia Tunataraji Kuitwaa Ikulu Oct 25 Na Mh Ngoyai.