TANZIA Helikopta yaanguka, aliyekuwa Mbunge wa Ludewa, Deo Filikunjombe na wengine wapoteza maisha!

TANZIA Helikopta yaanguka, aliyekuwa Mbunge wa Ludewa, Deo Filikunjombe na wengine wapoteza maisha!

Kapumzikeni salama, tutawafikishia salamu za mabadiliko....Bwana ametoa, na Bwana ametwaa,......
 
Mwangalie huyu nae ,sasa sijui huo uchunguzi majibu yametoka saa ngapi na sijui kama yeye ndie aliyepaswa kutoa hizi taarifa ,ndio shida ya viongozi wetu kuingilia kazi za mihimili mingine bila kupima kauli zao za kisiasa zinaathiri vipi wanachi
Kuwaokoa tu mmechukua takribani masaa kumi na ushee ila majibu ya uchunguzi ushayapata the moment chopper ilipo onekana khaa mnasikitisha....
 

Attachments

  • 1444999076282.jpg
    1444999076282.jpg
    53.8 KB · Views: 291
R.I.P FILIKUNJOMBE ROHO YAKO ILAZWE PEMA PEPONI...bado taifa tulikuwa tunakuhitaji na kukupenda ila MUNGU kakupenda zaid
 
Wajuvi Wa Mambo, Yule Wa Itikadi Na Uenezi Si Alikuwemo Pia?! Yule Mropokaji Wa Goli La Mkono
 
Wewe mwendawazimu?huyo namba 6 mwondoe kwenye list.ni kinyume na sheria kutoa taarifa isiyo sahihi.

Watu kama huyu anaejiita kwamtoro sheria ya mitandao inawahusu kabisa. Ni wakukomeshwa kabisa hawa.
 
Last edited by a moderator:
Huwezi kumtenganisha mwana CCM na imani za kishirikina.. Tayari wameshaanza kuamini uchawi katika haya as if akina Kombani na Kigoda hawakuwa wagonjwa..

Wewe Sema Hivo Ila Kumbuka Tutabaki Kuwa Waswahili Watanzania,tunapinga Ila Mwisho Wa Siku Ukweli Utasimama Tu Mahali Pake....#siasamchezomchafu
 
unawaonea huruma?, sasa hivi wanaangaliana ninani kati yao atapewa na chama nafasi ya kurithi kiti cha ubunge cha baba yao, kama kawaida ya ccm.
Hao bado wadogo sana,hata darasa la saba hawajamaliza,inasikitisha sana
 
Inna LILLAH wa Inna ILAIHI Raajiuu'n... Imeniuma ! alikuwa kijana shupavu, aliependa kusema kweli wakati wote na kukemea yale maovu ya chama chake bila kujali chama kwanza, ni Kijana ambae tulitegema angerudi kuendeleza Tanzania yenye Neema! .. Ila siku yake ndio ilikuwa imefika na uhai wake hapo ndio ulikuwa mwisho!
 
Rest In Peace wote waliokumbwa na maafa na pole kwa ndugu wote waliofikwa na mkasa huo.
 
Katika hali isiyokuwa ya kawaida na ambayo hatujawahi kushuudi Tanzania imepoteza wanasiasa nguli kwa kipindi kisichozidi mwezi mmoja.
Bado nikiwa kama mzalendo na kuweka itikadi pembeni najiuliza nini tatizo? Wapi tumemkosea Mungu?

1. Mtoi

2. Mtikila

3. Kombani

4. Makaidi

5. Kigoda

6. Filikunjombe
 
RIP Mh Deo,
hakika nilikuwa napenda uongozi wako na misimamo yako
 
HABARI ZILIZOTUFIKIA SASA NI KUA ALIYEKUA MBUNGE WA LUDEWA NA MAKAMU MWENYEKITI WA KAMATI ZA HESABU ZA SERIKALI, MH DEO FILIKUNJOMBE AMEAGA DUNIA KUTOKA NA AJALI YA HELKOPTA NAMBA 5Y-DKK ILIOTOKEA JANA JIONI MAENEO YA MBUGA ZA SELOUS

follow link :
http://siasaleotz.blogspot.com/2015/10/breaking-newz-tanziamh-deo-filikunjombe.html
 
Fullu misiba,kiasi naanza kuona ni kama sherehe vile! Kesho sijui nani?
 
unawaonea huruma?, sasa hivi wanaangaliana ninani kati yao atapewa na chama nafasi ya kurithi kiti cha ubunge cha baba yao, kama kawaida ya ccm.

Ana watoto wadogo sana ht wa kwanza sidhn kashafika std 7
 
I feel sorry for all who perished in this terrible accident. May God rest them in peace!

Deo alikuwa mzalendo wa kweli. Kwenye masuala ya kitaifa aliweka itikadi pembeni. Tumepoteza mpambanaji mzuri.
 
"Ee Mungu wetu turehemu Watanzania ambao tunaangamia kwa kupotelewa na ndugu zetu! tusaidie!. warehemu na marehemu wetu! Yamkini tumetenda mambo ambayo yamesababisha uruhusu mauti kwa ndugu zetu! sisi ni wanadam tunahitaji msaada wako! tusaidie kwani sote tumeumbwa na wewe Mungu wetu! na tuna tambua Uungu wako turehemu ee Mungu wetu kwakuwe wewe ni mwingi wa rehema na hukai na hasira milele Amina."

Poleni sana ndugu zetu mliofiwa na ndugu wa karibu! tunawaombea kwa Mungu awape uvumilivu katika kipindi hiki kigumu cha kuondokewa na wapendwa weno! Mungu awalinde!
 
Ukawa Sasa Njia Yetu Ni Nyeupee! Mwendo Wa Kupita Bila Kupingwa!!! Bwana Ametoa, Bwana Ametwaa. Na Pia Tunataraji Kuitwaa Ikulu Oct 25 Na Mh Ngoyai.
Wewe ni wa kupimwa akili na ni mzigo kwa familia yako, ni bora hata mbuzi ana faida kuliko wewe.
 
Back
Top Bottom