Dr Matola PhD
JF-Expert Member
- Oct 18, 2010
- 60,050
- 104,466
Mleta mada Filikunjombe amefariki!?
Upo Tanzania hiihii ya Muungano wa Zimbabwe na Zanzibar?Mleta mada Filikunjombe amefariki!?
Kwani capt. Silaa(R.I.P) ni mfanyakazi wa umma? Je amestaafu?
Nimejiuliza sana Deo ni wapi amepata jeuli ya pesa za kukodi chopa wakati jimboni kwake hana upinzani wa kumtisha? uchaguzi wa Ludewa ulikuwa ni kukamilisha ratiba tu lakini mbunge ni Deo je ni kwa nini atumie gharama zote hizi wakati yeye anatoka familia masikini? bado najiuliza sana hili swali.
Mleta mada Filikunjombe amefariki!?
january ndio kampeni manager fungu lote analo yeye na ndio msemaji pia wa mapadlock hii ni baada ya kinana kuzinguaJanuary anahusika vipi?
nani ni wataalam wa kutoa go ahead iwapo helicopter hiyo ni nzima na inafaa?
mamlaka husika zilishiriki?
Nashukuru sana kwa taarifa hii na namwombwa MWENYEZI MUNGU IWE HIVYO yaani hakuna ajali hiyo regardless amebebwa nani.
Baadhi ya comment hapo juu zinadhihirisha kuna WATU na viatu hapa duniani! Yaana mtu unajitoa ufahamu na kumwombea kifo mwezio!!!
"Ee Mungu wetu turehemu Watanzania ambao tunaangamia kwa kupotelewa na ndugu zetu! tusaidie!. warehemu na marehemu wetu! Yamkini tumetenda mambo ambayo yamesababisha uruhusu mauti kwa ndugu zetu! sisi ni wanadam tunahitaji msaada wako! tusaidie kwani sote tumeumbwa na wewe Mungu wetu! na tuna tambua Uungu wako turehemu ee Mungu wetu kwakuwe wewe ni mwingi wa rehema na hukai na hasira milele Amina."
Poleni sana ndugu zetu mliofiwa na ndugu wa karibu! tunawaombea kwa Mungu awape uvumilivu katika kipindi hiki kigumu cha kuondokewa na wapendwa weno! Mungu awalinde!
January anahusika vipi?
nani ni wataalam wa kutoa go ahead iwapo helicopter hiyo ni nzima na inafaa?
mamlaka husika zilishiriki?