TANZIA Helikopta yaanguka, aliyekuwa Mbunge wa Ludewa, Deo Filikunjombe na wengine wapoteza maisha!

TANZIA Helikopta yaanguka, aliyekuwa Mbunge wa Ludewa, Deo Filikunjombe na wengine wapoteza maisha!

makamba ni mtu wa ajabu sana ni watu wa porojo nakujifanya wako makini..dizain ya akina mrisho.. ona sasa anakodi vitu chakavu vinaua watu..hovyo sana huyu jamaa
 
Jimbo la Ludewa liitwe Filikunjombe. Huyu kijana kwa kweli nashindwa kupata maneno sahihi ya kumwelezea. Alikuwa shujaa wa kweli.
 
Najiuliza hivi Makamba January baada ya kusema ndege zote za CCM za kampeni ziko salama kumbe sio kweli atatuambiaje sasa

ITV/RADIO ONE kututhibitishia kuwa Deo na wenzio wako salama salimini kumbe sio kweli tuwaeleweje??
 
Give us a break! Je January alifanya due diligence ya Chopa hiyo(zo)??!! alijiridhisha kwamba chopa hiyo ni salama?!

Tunahitaji statement yake..
Jana alikana uhusika wake ktk kukodi hiyo chopa,akatupa taarifa ya kutia moyo,kumbe ni tofauti.
 
  • Thanks
Reactions: MTK
Najiuliza hivi Makamba January baada ya kusema ndege zote za CCM za kampeni ziko salama kumbe sio kweli atatuambiaje sasa

ITV/RADIO ONE kututhibitishia kuwa Deo na wenzio wako salama salimini kumbe sio kweli tuwaeleweje??

Mimi naona ITV/Radio one waombe radhi kwa kutoa taarifa ambazo hazijadhibitishwa
 
Najiuliza hivi Makamba January baada ya kusema ndege zote za CCM za kampeni ziko salama kumbe sio kweli atatuambiaje sasa

ITV/RADIO ONE kututhibitishia kuwa Deo na wenzio wako salama salimini kumbe sio kweli tuwaeleweje??

Hivi hakuna namna yoyote akashtakiwa huyu?
 
wasipojenga mahekalu mwaka huu basi hawajengi tena ,yule ivorian kampiga mzee Mapadlock na hili sakata bilion 1.7 kamakamba nako kanataka kujinasua na hili sakata, makamba amekesha usiku kucha akiomba jamaa wasife ili lawama iwe kwa chopa tu na sio uhai ,ona sasa umewaacha watu wajane na mayatima kwa ufisadi na kuiga vitu usivyokuwa na uwezo navyo ,Bwana alitoa chopa imetwaa Makamba na CCM walaumiwe

Ndio tatizo la ukoo wa panya. Kachimba shimo kupiga deal, kumbe anaangamiza ukoo.
 
Najiuliza hivi Makamba January baada ya kusema ndege zote za CCM za kampeni ziko salama kumbe sio kweli atatuambiaje sasa

ITV/RADIO ONE kututhibitishia kuwa Deo na wenzio wako salama salimini kumbe sio kweli tuwaeleweje??
Wao itv wamepata habari kutoka kwa makamba labda.
 
Mkuu baada ya kuisoma hiyo habari nilishangazwa sana na huyo Jerry hivi kweli ameshindwa kumshukuru hata huyu?

Ovyo kabisa huyu mfiwa.. Sijui ndio panic ya msiba au vipi. Ila sioni mantiki ya kumshukuru JK na kumwacha huyu aliyehangaika kutuma watu usiku kucha. Na huyo Magufuli ndiye hapaswi kabisa kuwepo kwenye shukrani..
 
Jimbo la Ludewa liitwe Filikunjombe. Huyu kijana kwa kweli nashindwa kupata maneno sahihi ya kumwelezea. Alikuwa shujaa wa kweli.
Aaah wapi,
Hajafanya cha ajabu sana. Aliyoyafanya yote ni wajibu wake kuyafanya kama mbunge, hakuna cha ziada. Tuache kuwapa bichwa watu wanaotimiza wajibu wao kwa kuona kama wanatufanyia mambo ya ziada sana wakati wao wanalipwa kwa wanayoyafanya.

Kama ndivyo basi na hii nchi ibadilishwe jina iitwe Nyerere.
 
Ovyo kabisa huyu mfiwa.. Sijui ndio panic ya msiba au vipi. Ila sioni mantiki ya kumshukuru JK na kumwacha huyu aliyehangaika kutuma watu usiku kucha. Na huyo Magufuli ndiye hapaswi kabisa kuwepo kwenye shukrani..

Anajikomba ili hata kama atakosa ubunge wakubwa wasimsahau kwenye ufalme wao
 
Najiuliza hivi Makamba January baada ya kusema ndege zote za CCM za kampeni ziko salama kumbe sio kweli atatuambiaje sasa

ITV/RADIO ONE kututhibitishia kuwa Deo na wenzio wako salama salimini kumbe sio kweli tuwaeleweje??

Ccm hawajawahi kusema ukweli toja dunia imeumbwa, usiamini neno lolote linalotoka kwenye kinywa cha mwana ccm.

Jana walisema mkuu wa majeshi anarudi hadi leo hajaonekana, wamesema ndege zote nzima huku zinaua watu.

Ccm sio ww kuwaamini hata siku moja, heri umkabidhi fisi mwenye njaa bucha na umuamini atalinda nyama kuliko kuamini mwana ccm.
 
Jimbo la Ludewa liitwe Filikunjombe. Huyu kijana kwa kweli nashindwa kupata maneno sahihi ya kumwelezea. Alikuwa shujaa wa kweli.
Manyerere, come on mzee mwenzangu. You are better than this. Please! By the way, yule msafiri wetu hajafika bado? Maana Ndege ya mchana imeshatua kimya; labda tusubirie ile ya mwisho.BBM
 
Pile zangu ziwafikie wale wote walioguswa na tukio hili ila ningependa pole yangu isimfikie Jerry Silaa wale asihusike nayi kwa namna yoyote ile. Maana ametumia vifo vya wapendwa wetu kujipendekeza kwa malengo yake binafsi.
 
Poleni wafiwa wote...tunaweza kusema mengi ila yote anajua Mungu. Najua tuna tofauti ya itikadi za vyama lkn vitabu vitakatifu vinatuonya kuhusu ndimi zetu. Naamini wapo wengi wanaitakia Tanzania mema tuendelee kumuomba Mungu, tutimize haki yetu kikatiba ck ya tarehe 25. Lakini cha muhimu zaidi...kila jambo la siri lililo ovu litawekwa bayana, vita ni ya Bwana Yesu.
 
Back
Top Bottom