TANZIA Helikopta yaanguka, aliyekuwa Mbunge wa Ludewa, Deo Filikunjombe na wengine wapoteza maisha!

UKAWA baada ya kushindwa SIASA na kuzisoma namba kuwa IKULU imeponyoka wameanza kuzusha habari za uongo na kutishia watanzania...... Ni Kwa Sababu hii NDIO TUNAIRUDISHA MADARAKANI CCM tena Kwa KISHINDO!
 
Nashukuru sana kwa taarifa hii na namwombwa MWENYEZI MUNGU IWE HIVYO yaani hakuna ajari hiyo regardless amebebwa nani.

Baadhi ya comment hapo juu zinadhihirisha kuna WATU na viatu hapa duniani! Yaana mtu unajitoa ufahamu na kumwombea kifo mwezio!!!

Kila nafsi itaonja mauti
 
Kama ni kweli mbona uchaguzi wa mwaka huu utakua ni kiyama kwa wanasiasa huenda matunguri wanayokwenda kufukiziwa na waganga wa kienyeji kwa kutumia viungo vya albino ili pate madaraka yameanza kuwatafuna wenyewe.
Umeona eeeeh?
 
Upendo,utu,heshima na ubinadamu havina budi kututawala na kutawala fikra zetu,mihemuko yetu,maneno yetu,mawazo yetu,nia zetu,matamanio yetu despite having differences in political perspectives,ideologies etc...Mungu mwema ibariki Tanzania

Mimi Mungu anisamehe ila "Yule aliyesema hatuwezi ruhusu maiti iingie ikulu basi kama angekuwepo ndani ya helikopta hiyo basi ningethubutu kusema Mungu kalipa...na kazi ya Mungu haina makosa.......
 
UKAWA baada ya kushindwa SIASA na kuzisoma namba kuwa IKULU imeponyoka wameanza kuzusha habari za uongo na kutishia watanzania...... Ni Kwa Sababu hii NDIO TUNAIRUDISHA MADARAKANI CCM tena Kwa KISHINDO!

Out of the topic, =+&£#¥€$¿~} {¿§
 
Ni majanga mwaka huu sio alibino tena sasa ni watu mashuhuri.mungu tusaidie mabadiliko mazuri katika taifa hili
 
Halafu mtadai wajitokeze kukanusha uvumi?
 
Nashukuru sana kwa taarifa hii na namwombwa MWENYEZI MUNGU IWE HIVYO yaani hakuna ajari hiyo regardless amebebwa nani.

Baadhi ya comment hapo juu zinadhihirisha kuna WATU na viatu hapa duniani! Yaana mtu unajitoa ufahamu na kumwombea kifo mwezio!!!

= ajali
 
UKAWA baada ya kushindwa SIASA na kuzisoma namba kuwa IKULU imeponyoka wameanza kuzusha habari za uongo na kutishia watanzania...... Ni Kwa Sababu hii NDIO TUNAIRUDISHA MADARAKANI CCM tena Kwa KISHINDO!

Hebu unataka kuargue ondoa mihemko kwanza! Wakuu wako wa chama wanathibitisha kutokea tukio ila sio mali ya ccm but waliokuwepo ni wanachama!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…