Heshima kwenu Wakuu,
Kuna habari zinasambaa kwamba kuna Chopa ilikua imebeba Makada wa CCM imepotea ikiwa inaelekea Njombe.
Taarifa zinasema, wakati inaondoka ilishindwa kupaa lakini mwisho wa siku ikawa imepaa.
Hadi sasa sijajua kipi ni kipi. Hivo nimeileta hii habari kama tetesi ili mwenye taarifa za mwanzo atujuze.
Asanteni sana.
UKAWA baada ya kushindwa SIASA na kuzisoma namba kuwa IKULU imeponyoka wameanza kuzusha habari za uongo na kutishia watanzania...... Ni Kwa Sababu hii NDIO TUNAIRUDISHA MADARAKANI CCM tena Kwa KISHINDO!