TANZIA Helikopta yaanguka, aliyekuwa Mbunge wa Ludewa, Deo Filikunjombe na wengine wapoteza maisha!

TANZIA Helikopta yaanguka, aliyekuwa Mbunge wa Ludewa, Deo Filikunjombe na wengine wapoteza maisha!

Heshima kwenu Wakuu,

Kuna habari zinasambaa kwamba kuna Chopa ilikua imebeba Makada wa CCM imepotea ikiwa inaelekea Njombe.

Taarifa zinasema, wakati inaondoka ilishindwa kupaa lakini mwisho wa siku ikawa imepaa.

Hadi sasa sijajua kipi ni kipi. Hivo nimeileta hii habari kama tetesi ili mwenye taarifa za mwanzo atujuze.

Asanteni sana.

UKAWA baada ya kushindwa SIASA na kuzisoma namba kuwa IKULU imeponyoka wameanza kuzusha habari za uongo na kutishia watanzania...... Ni Kwa Sababu hii NDIO TUNAIRUDISHA MADARAKANI CCM tena Kwa KISHINDO!
 
Nashukuru sana kwa taarifa hii na namwombwa MWENYEZI MUNGU IWE HIVYO yaani hakuna ajari hiyo regardless amebebwa nani.

Baadhi ya comment hapo juu zinadhihirisha kuna WATU na viatu hapa duniani! Yaana mtu unajitoa ufahamu na kumwombea kifo mwezio!!!

Kila nafsi itaonja mauti
 
Kama ni kweli mbona uchaguzi wa mwaka huu utakua ni kiyama kwa wanasiasa huenda matunguri wanayokwenda kufukiziwa na waganga wa kienyeji kwa kutumia viungo vya albino ili pate madaraka yameanza kuwatafuna wenyewe.
Umeona eeeeh?
 
Upendo,utu,heshima na ubinadamu havina budi kututawala na kutawala fikra zetu,mihemuko yetu,maneno yetu,mawazo yetu,nia zetu,matamanio yetu despite having differences in political perspectives,ideologies etc...Mungu mwema ibariki Tanzania

Mimi Mungu anisamehe ila "Yule aliyesema hatuwezi ruhusu maiti iingie ikulu basi kama angekuwepo ndani ya helikopta hiyo basi ningethubutu kusema Mungu kalipa...na kazi ya Mungu haina makosa.......
 
UKAWA baada ya kushindwa SIASA na kuzisoma namba kuwa IKULU imeponyoka wameanza kuzusha habari za uongo na kutishia watanzania...... Ni Kwa Sababu hii NDIO TUNAIRUDISHA MADARAKANI CCM tena Kwa KISHINDO!

Out of the topic, =+&£#¥€$¿~} {¿§
 
Ni majanga mwaka huu sio alibino tena sasa ni watu mashuhuri.mungu tusaidie mabadiliko mazuri katika taifa hili
 
Taarifa za hivi punde ni kuwa helkopta inayotumiwa na CCM ktika kampeini imeanguka katika katika mbunga ya selou eneo la msolwa na kuwaka moto bado haijafahamika waliofariki au kujeruhiwa.kwamba ilikuwa na abiria wanne akiwemo ruban cpt Slaa ilitoka Dar kwenda iringa .Pia inasemekana Deo filkujombe alikuwa mmoja wa abiria.

Taarifa hizi bado ni TETESI.tutakujuza updates

Halafu mtadai wajitokeze kukanusha uvumi?
 
Nashukuru sana kwa taarifa hii na namwombwa MWENYEZI MUNGU IWE HIVYO yaani hakuna ajari hiyo regardless amebebwa nani.

Baadhi ya comment hapo juu zinadhihirisha kuna WATU na viatu hapa duniani! Yaana mtu unajitoa ufahamu na kumwombea kifo mwezio!!!

= ajali
 
UKAWA baada ya kushindwa SIASA na kuzisoma namba kuwa IKULU imeponyoka wameanza kuzusha habari za uongo na kutishia watanzania...... Ni Kwa Sababu hii NDIO TUNAIRUDISHA MADARAKANI CCM tena Kwa KISHINDO!

Hebu unataka kuargue ondoa mihemko kwanza! Wakuu wako wa chama wanathibitisha kutokea tukio ila sio mali ya ccm but waliokuwepo ni wanachama!
 
Back
Top Bottom