TANZIA Helikopta yaanguka, aliyekuwa Mbunge wa Ludewa, Deo Filikunjombe na wengine wapoteza maisha!


Mamito hawa watu wote ni watu wakukurupa sana, jambo dogo kama hilo halikuhitaji mtu kukimbilia kujitetea kabla ya uchunguzi, mi nimemdharau tangu hapo.
 
CCM kwao wanawaza ushindi,usalama baadae, makamba amekurupuka sana kutweet hiyo
habari, hatuna waziri hapo,
 

Wala usiumize akili mkuu, makamba ni mlopokaji tu, mimi ua najihuliza alipitaje kuwa kwenye 5 bora ya uraisi. siyo mtu wa kutafakari kwanza. hachana nae tu
 
Mamito hawa watu wote ni watu wakukurupa sana, jambo dogo kama hilo halikuhitaji mtu kukimbilia kujitetea kabla ya uchunguzi, mi nimemdharau tangu hapo.

Amenikwaza sana huyu jamaa.........sikumtegemea.......
 
Sijategemea mtu ambaye anaajiita msomi mpaka kupewa dhamana ya uwaziri kukurupuka hivi , halafu eti ndio angepitishwa kugombea urais huyu.Kutokuwa na patience ndio kunako wa cost hawa watu na hii yote inatokana na lack of busara na dharau.
 
Waziri wa mawasiliano alieshindwa kutumia mawasiliano kupata taarifa kavla hajataarifu umma....na yeye anataka kuonekakana wazir msomi katika baraza la mawazir la Dk JK
...sipat picha kwa watendj wake
 
Kwa hali hii bora nitembee kwa kutumia makongoro yangu hata kama tatumia mwezi mzima😕 (miguu)
 

Attachments

  • 1445059610454.jpg
    131.8 KB · Views: 627

Halafu ndiyo ana ndoto za kuja kuwa Rais wa Tanzania! Mwigulu alipost tweeter kitu ambacho kilimaliza uzushi wa Makamba maana watu walistick kuwa chopa zote za CCM zipo salama.
 
Dogo makatani jr hua ni mkurupukaji sana kwa wasio mfaham sasa wamfaham na ndie aliye shirikiana na Eyakuzweee wa shirika la Twawezeshwa na fisiemu kutengeneza tafiti bandia na kutoa matokeo yao.

fisiemu welemewa hali yao mbaya acha waendelee na push up zao huku walijianda kisaikolojia kukabidhi madaraka.
 
Mi mpaka sasa sielewi wale wengine wawili walikuwa akina nani,hawa watu wa anga wanakomalia taratibu kwa chopa za CHADEMA tu za CCM ni untouchable,walaaniwe maana wangeweza hata kuokoa maisha ya wenzetu
 
Kukurupuka sio kuzuri sana, sijui ataficha wapi sura yake akienda kwenye msiba wa Deo, maana aliwaaminisha watu kua yu mzima...
Pia wale wote waliosema simu ziliita na kutopatikana tena ni waongo, maana kama iliwaka moto hata simu isingesema kitu
 

Haya ndio madhara ya Chopa za 10% , CCM kila kitu kwa ni kupiga dili hata kwenye maisha yao wenyewe.

RIP Deo Mungu akuweke mahala pema, wewe ndio ulikuwa mpiganaji wa ukweli ndani ya CCM. Daima tutakukumbuka kwa mchango wako katika Taifa letu. Tunakushukuru kwa uzalendo wako na hatutokusahau ndani ya mioyo yetu
 
Hivi uwaziri wa Mawasiliano kwa January Makamba ni A. K. A au kazi?
 
Makamba ndiye aliyeenda kuzikodi na ku saini mikataba ya hizo chopa zote zinazotumika. Bila shaka kuna madudu anayajua kuhusu hizo chopa ndio maana akakanusha kwani inaweza ikamweka pabaya. Ya Mwigulu Jumatano au Jumanne, iligoma kuwaka, ya Deo ndo hiyo imelipuka, ya Livingstone Lusinde nayo jana iligoma kuwaka, kunani? Kwa maoni yangu, huyu jamaa achunguzwe kuhusu deal la hizi Chopa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…