Apologise lady
JF-Expert Member
- Sep 16, 2013
- 5,979
- 3,105
Kukurupuka tu.......ilikuwa rahisi sana.......angepiga simu tower ya ilipoondokea......then aulize.........wangemwambia.......akiwa kama waziri wa mawasiliano.......alitakiwa achukue hatua hiyo mwanzo........
sasa mtu unakurupuka kutokea from nowhere........unakana kuwa ndege zetu zote zipo salama........au ilikuwa ni dhambi kwa hiyo chopa kuruka.......?.......kukana kwao inawezekana ndiko kulikosababisha wapendwa wetu kukosa msaada mapema........&$#¥o kabisa.....
watu wengine wanaboa sana........
Mamito hawa watu wote ni watu wakukurupa sana, jambo dogo kama hilo halikuhitaji mtu kukimbilia kujitetea kabla ya uchunguzi, mi nimemdharau tangu hapo.