Paul Alex
JF-Expert Member
- Jul 14, 2012
- 4,351
- 9,838
Jana pia niliiona helicopter anayosafiria Kinana, Mh!!! Inabidi ufumbe macho wakati unapanda maana ni chakavu mno.!
Usiogope,kinana ni captain so atajua chakufanya!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Jana pia niliiona helicopter anayosafiria Kinana, Mh!!! Inabidi ufumbe macho wakati unapanda maana ni chakavu mno.!
TatIzo hawa jamaa kila kitu wanaiga ukawa wenzenu hawana njaaa wananunua chopa mpya nyie kila sehemu mnataka piga deal angalieni sasa mnacheza na maisha yenu wenyewe kuweni waungwana jamani khaa
Mungu amlinde mwanamageuzi Deo Filikunjombe na baba Jerry silaha ambaye ni rubani
"Hawana Njaa Wananunua Chopa Mpya" Wangekuwa Hawana Njaa Wangepitisha Bakuli??
Unajua Maana Ya Kununua Chopa Mpya??
Kwa iyo kupitisha bakuli ndo njaa? Acha ujinga wew jitu kubwa akili kisoda unafikiri kwa kutumia nin chadema chama cha watu huo ni utaratibu tu ambao upo hata wasipopitisha bakuli bado wananchi wataona hawajatendewa haki kwa kutochangia kwao, hivyoo ni lazima ujifunze kutofautisha kati ya ukawa na fisiem
Sio wote walioko ccm ni wezi. Mungu awape afya njema ili washuhudie anguko kuu la CcmAwaepushe wezi?????
Captain Silaa ni baba mzazi wa meya jerry Silaa ndiye aliyekuwa rubani ok
"Hawana Njaa Wananunua Chopa Mpya" Wangekuwa Hawana Njaa Wangepitisha Bakuli??
Unajua Maana Ya Kununua Chopa Mpya??
Hata mimi nimesikia habari hizo....rubani nasikia ni Solomon Slaa ndugu yake Jerry Slaa.
Acheni uchochezi na kupotosha ukweli. Mwandosya hakusema amesusa bali alichosema ni kuwa anahamia kijijini kwao LUFILYO kwasababu amestaafu siasa. Kustaafu na kususa ni vitu mbali mbali ; muwe waangalifu na hayo mnayoandika!!
Una mawazo sawa na yangu japokuwa binadamu hatutakiwi kuombeana kifo.Acha hizo,mimi ni mpinzani ila Deo Filikunjombe hanaga noma.Hiyo chopa alitakiwa awe Nape!
Hayo umeyasema wewe. Mimi naamini siyo sahihi kushangilia kifo, magonjwa au matatizo ya mtu awaye yote.Ila Lowasa kuitwa maiti ni sahihi SIO?