TANZIA Helikopta yaanguka, aliyekuwa Mbunge wa Ludewa, Deo Filikunjombe na wengine wapoteza maisha!

TANZIA Helikopta yaanguka, aliyekuwa Mbunge wa Ludewa, Deo Filikunjombe na wengine wapoteza maisha!

Wameshindwa kuwafikia huko kwa chopa mana taarifa ya nyalandu inataja sehemu husika
 
Itv wale ni wahuni tu,,,,,kama mpaka saa hizi hawajapatikana,then ni kujiandaa kwa lolote
 
Sisi tunataka tujue kama Deo yuko salama nyie mnasema chopa zipo salama ,Hapo kuweni wazi
 
Mungu apishe salama.....kwa waanga...

Lakini hvi ndani ya ccm....ukimuona mtu ni kiongoz au kijana au mtu mzima ni mpka kuwe na ukoo wote humo?? solomoni slaa dereva wa helcopter.....ya ccm kampen...huyu ni baba yake jerry slaa, diwani na meya wa ilala....!! hvi sisi baba zetu waliokuwa wanafanya viwanda vya zana za Kilimo UFI....tusubiri kufa kuingia ktk mfumo huu.....


ama kwweli kuondoa ccm ni muhimu ni kuondoa mfumo huu wa koo na familia katika kututawala.....shame,,,,,

Hizi ni pumba zilizopitiliza,, kuwa rubani wa helicopter hakuhitaji kadi ya chama bro,,, hiyo ni taaluma ambayo mtu husomea na kufuzu vizuri ndio hupewa leseni ya kurusha.... Tafuta maisha kwa nguvu yoyote uandae maisha ya familia yako na sio kuwa na wivu ukiona mtu asiye sehemu ya familia yako akifanikiwa... Ungesoma shuleni kwa bidii na ukafaulu kwa kutumia kichwa chako vizuri na ukawa mhangaikaji kwa maana ya kujitambua mapema basi ungejua nini cha kusomea na sio hiyo fani uliyosomea na kuwa na chuki na wenzio,,, mlaumu mzazi wako kwa kutopambana na kukuandalia maisha vizuri,, kama hiyo haitoshi usikate tamaa bado muda unao pambana tunza fedha,, heshimu maisha yako,, usiendekeze ulevi na umalaya, pambana kimaisha bro tunza na iheshimu hata shillingi,, ukizipata jaribu kuandaa Future ya wanao na nduguzo,,, vipi unabustani hata ya nyanya katika umri wako hii bro!!! au ndio unategemea mshahara ufanye kila kitu?? Au ndio Wale mnaotaka utajiri bila kufanya kazi na kumuomba mungu...???
 
Shida zingine tunajitakia. Filikunjombe ana over 80% ya kushinda jimboni kwake! Bado anajiongezea gharama ya kukodi chopa (kwani ina bango la chagua magufuli, chagua Filikunjombe). Mbaya zaidi, risk ya kutumia hayo machopa iko juu! Tunawaombea salama!
 
Haya mmeshasema sana hata yale yasiyohusiana na thread hii, sasa hivi ni 9.53 am jee Deo na wenzake wamepatikana?
 
Hapa ndipo tunatakiwa tuone uimara wa serikali na hasa wizara husika. Haiwezekani toka jana jioni mpaka sasa ivi tuelezwe tu kuwa ilipoangukia Chopa hapafikiki.. So???
Mwaka huu mengi sana yanawafanya mshindwe uchaguzi mkuu. Shame upon u gambaz....!!

waweza kuwa na chopa lakini usifanikiwa kupin point eneo la tukio,,,,,,
kama wako salama wangeweza kuwasha hata moto ili moshi uwe ishara waweze kuonwa kwa urahisi
 
kama mpaka sasa hakuna taarifa yyte basi Kuna tatzo Kubwa nchini.....
 
Nyie Kwani Ruzuku Mnavopokea Mnajua Ni Kodi Ya Nani?
Chopa Na Nyie Mmenunulia Nini Kama Na Nyie Sio Wezi?
Lets be Rational Mkuu,kweli Hivi Inaingia Akilini Mnanunua Chopa Afu Mnaishi Nyumba Ya Kupanga,tena Isiyojielewa Kama Kweli Hii Ni Nyumba Ya Chama Kikuu Cha Upinzani?

Kujenga ofisi za chama haikuwa option number 1.. Hivi kweli unaamini kama CDM ingekuwa na mpango wa kumiliki jengo la kisasa ingeshindikana?? Kupanga ni kuchagua, CDM walichagua kupeleka harakati mbele mpaka iwakomboe watanzania ndio mengine yafate.. Kujenga lighorofa wakati wanao unawasomesha kayumba ni ukichaa...
 
Sijasema chopa ni za CHADEMA mkuu ,halafu reasoning yako ya Leo ni tofauti Sana na ya Jana ....kwa hiyo kutokufanya renovation ndio maana kwamba hauna hela ?? Hivi unajua ni Wa kina Nani waliojenga hizo office za Ccm mnazojigamba nazo ??
Vile vile CHADEMA wanaenda ikulu watajenga tu makao makuu ya chama
Hujanijibu swali chopa sh ngapi ??

Kweli I Dont Know How Much But Its Not That Cheap As You Think..Lakini Mkuu Hivi Kweli Hamuwezi Kuzitengeneza Ofisi Mpaka Muingie Ikulu?
Pili,sijasema Hamna Hela Kwasababu Ruzuku Mnapokea Tena Nyingi Tu,tena Kila Mwaka,napata Shaka Na Mimi Nawewe Tujiulize,hizo Ruzuku Katikati Hapa Kabla Ya Uchaguzi Zimetumikaje?
Kitu Gani Wewe Kama Mwanachadema Umekiona Dhahiri Hiki Kimetokana Na Ruzuku Mnazochukua?
 
Kuna taarifa nimesikia clouds fm kuwa mh.deo filikunjombe kapata ajali ya helikopta katika misitu huko njombe,,,na haijulikani kama ni wazima au....tunatumaini baada ya muda tutapata habari kamili..
Source:clouds fm
 
Kimsingi hakuna ajali iliyotokea Bali ni kutaka kiki tu kisiasa,muda utasema yote
 
Acheni uchochezi na kupotosha ukweli. Mwandosya hakusema amesusa bali alichosema ni kuwa anahamia kijijini kwao LUFILYO kwasababu amestaafu siasa. Kustaafu na kususa ni vitu mbali mbali ; muwe waangalifu na hayo mnayoandika!!

Helcopta anayotumia deo hajakodiwa na chama... Ni yeye kama yeye.ndo maana makamba alisema helcopta zilizokodiwa na chama zipo salama zote
 
Tatizo Tanzania tunatumia usafiri wa anga ila hatuna uwezo wa kufanya uokoaji pindi ajali zinapotokea, haswa maeneo ya misituni. imepita saa zaidi ya 8 toka ndege ianguke ila hakuna kikosi kilichoweza kufika huko mwituni, Selou. inasikitisha sana. tuna majeshi tofauti tofauti ila ndiyo hivyo tena. Mungu anajua.
 
Haya mmeshasema sana hata yale yasiyohusiana na thread hii, sasa hivi ni 9.53 am jee Deo na wenzake wamepatikana?

Kwa CCM ipi?? Wataja patikana labda after 24 hrs baada ya ajali.. Tukiwaambia CCM ni ovyo tunatukanwa, haya sasa cinema inaendelea..
 
Back
Top Bottom