TANZIA Helikopta yaanguka, aliyekuwa Mbunge wa Ludewa, Deo Filikunjombe na wengine wapoteza maisha!

TANZIA Helikopta yaanguka, aliyekuwa Mbunge wa Ludewa, Deo Filikunjombe na wengine wapoteza maisha!

Deo tunakutakia usalama huko uliko,,
Mungu akuepushie mabaya yote!

Mkapa hakuwepo kwenye hiyo chopa,?
 
Jerry Slaa amethibitisha kutokea kwa ajali hyo,baba yke ni miongoni mwa waliokuwemo ndani ya chombo hcho.
 
Haya mmeshasema sana hata yale yasiyohusiana na thread hii, sasa hivi ni 9.53 am jee Deo na wenzake wamepatikana?

hata Mimi najiuliza swali hilo...mpaka mda Huu hakyna taarifa yoyote toka serikalin .. nchi ya ajabu sana Hii
 
kama mpaka sasa hakuna taarifa yyte basi Kuna tatzo Kubwa nchini.....

Nchi hii watu wanatafuta madaraka wakapige deal..

Ndio maana vimiradi kibao ili wapate pa kuiba, hawana cha kushughulikia kwa vilivyopo na mashirika ya huduma ndio yanatupwa kabisa.. Sasa Zima moto kama rescue team haikuangaliwa kwa chochote wala hakuna mafunzo yoyote wanayopewa..
 
Shida zingine tunajitakia. Filikunjombe ana over 80% ya kushinda jimboni kwake! Bado anajiongezea gharama ya kukodi chopa (kwani ina bango la chagua magufuli, chagua Filikunjombe). Mbaya zaidi, risk ya kutumia hayo machopa iko juu! Tunawaombea salama!

Deo pamoja na kwamba yuko CCM mimi kama UKAWA nilipenda apite bila kupingwa,inshu ni kwamba Magamba hivi sasa yanatapatapa kutumia watu wachache wanaopendwa CCM kuwatumia kwenye majukwaani ya kisiasa ili kuvutia watu,yameenda mbali hadi kutumia watu wasiokuwa na hapana katika kutoa K kama Wema Sepetu. Mungu atende muujiza amuokoe Deo pekee wengine tutakutana mbele kwa mbele kama wimbo wao unavyosema.
 
Hivi hii nchi mbona tunapenda masihara kwa mambo mazito.. Toka jana saa tano usiku mpaka leo hakuna taarifa yoyote..
 
Nimeshangazwa sana na ajali ya Jana ya helicopter. Nilitegemea mpaka sasa ningepata taarifa juu ya kinachoendelea lakini cha sangaza naona kimya mpaka sasa. Serikali haina team ya snag ya uokozi KWA miaka 50 ya uhuru.
 
Helcopta anayotumia deo hajakodiwa na chama... Ni yeye kama yeye.ndo maana makamba alisema helcopta zilizokodiwa na chama zipo salama zote

Aiseee jamaa ni billionea kumbe.. Ana pesa za kukodi helikopta kuipiga machata na kuirusha kwa wiki mbili au tatu yeye kama yeye...
 
Tatizo Tanzania tunatumia usafiri wa anga ila hatuna uwezo wa kufanya uokoaji pindi ajali zinapotokea, haswa maeneo ya misituni. imepita saa zaidi ya 8 toka ndege ianguke ila hakuna kikosi kilichoweza kufika huko mwituni, Selou. inasikitisha sana. tuna majeshi tofauti tofauti ila ndiyo hivyo tena. Mungu anajua.
Tatizo lingine hapa ni kuiga kila kitu kinachofanywa na mtu mwingine, kwa kuwa huyu anatumia chopa, na huyu naye anaenda kukodi chopa nyingi zaidi !!! Kulikuwa na sababu gani kwa Deo kutumia chopa ilihali alishapita bila kupngwa.
 
Helcopta anayotumia deo hajakodiwa na chama... Ni yeye kama yeye.ndo maana makamba alisema helcopta zilizokodiwa na chama zipo salama zote

Je inafanya kazi za Chama gani?
Ina nembo za Chama gani?
Anaeitumia ni mgombea wa Ubunge kupitia Chama gani?
 
Bila shaka helikopta hiyo ni miongoni mwa nyingi ambazo hazina Flight Data Recorder (Black Box), vinginevyo ingekuwa rahisi kuitrace kwa GPS. Hata hivyo ni helikopta chache tu huwa zinakuwa na facility hiyo kwa sababu ya kuepuka uzito
 
Ooops more update please ,kuna wanaotuhusu pia najaribu kupiga simu ya mmoja wao haipatikani,

Mungu awalinde huko walipo,
 
Watu wameninukulisha vibaya kumbe ni Slaa Capt. Baba yake Jerry Slaa na si Dr Mihogo!

Siku nyingine usirudie mwenzio nilikuwa nachomesha noah baada ya kusikia Dr. Mihogo nayeye kananihii. Maskini Deo kipenzi cha Watanzania!! Mungu tenda miujiza.
 
Watanzania watu Wa ajabu sana namshukuru mungu nimepata uraia Wa nchi mbili
 
Back
Top Bottom