Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Haya mmeshasema sana hata yale yasiyohusiana na thread hii, sasa hivi ni 9.53 am jee Deo na wenzake wamepatikana?
Hajasema ila Ukweli ni kwamba kasusia ndiyo maana amekuwa kimya kabisa
kama mpaka sasa hakuna taarifa yyte basi Kuna tatzo Kubwa nchini.....
Shida zingine tunajitakia. Filikunjombe ana over 80% ya kushinda jimboni kwake! Bado anajiongezea gharama ya kukodi chopa (kwani ina bango la chagua magufuli, chagua Filikunjombe). Mbaya zaidi, risk ya kutumia hayo machopa iko juu! Tunawaombea salama!
Haya mmeshasema sana hata yale yasiyohusiana na thread hii, sasa hivi ni 9.53 am jee Deo na wenzake wamepatikana?
Kimsingi hakuna ajali iliyotokea Bali ni kutaka kiki tu kisiasa,muda utasema yote
Helcopta anayotumia deo hajakodiwa na chama... Ni yeye kama yeye.ndo maana makamba alisema helcopta zilizokodiwa na chama zipo salama zote
Tatizo lingine hapa ni kuiga kila kitu kinachofanywa na mtu mwingine, kwa kuwa huyu anatumia chopa, na huyu naye anaenda kukodi chopa nyingi zaidi !!! Kulikuwa na sababu gani kwa Deo kutumia chopa ilihali alishapita bila kupngwa.Tatizo Tanzania tunatumia usafiri wa anga ila hatuna uwezo wa kufanya uokoaji pindi ajali zinapotokea, haswa maeneo ya misituni. imepita saa zaidi ya 8 toka ndege ianguke ila hakuna kikosi kilichoweza kufika huko mwituni, Selou. inasikitisha sana. tuna majeshi tofauti tofauti ila ndiyo hivyo tena. Mungu anajua.
Helcopta anayotumia deo hajakodiwa na chama... Ni yeye kama yeye.ndo maana makamba alisema helcopta zilizokodiwa na chama zipo salama zote
Je inafanya kazi za Chama gani?
Ina nembo za Chama gani?
Anaeitumia ni mgombea wa Ubunge kupitia Chama gani?
Watu wameninukulisha vibaya kumbe ni Slaa Capt. Baba yake Jerry Slaa na si Dr Mihogo!