TANZIA Helikopta yaanguka, aliyekuwa Mbunge wa Ludewa, Deo Filikunjombe na wengine wapoteza maisha!

TANZIA Helikopta yaanguka, aliyekuwa Mbunge wa Ludewa, Deo Filikunjombe na wengine wapoteza maisha!

au wamuulize magufuri huenda kawasiliana nayo maana yeye ni bingwa kuwasikiana hats na walioko ICU
 
Mkuu Hizo Cost Zote Hazizuii Nyie Kujenga Ofisi,viongozi Wenu Wameshindwa Kuplan Na Kuorganize Vitu.....Niambie Ruzuku Kwa Mwezi Mnapokea Sh. Ngap Na Hivo Vitu Vinacost Sh.Ngap?

Mbona chama chako kinapokea ruzuku kubwa kuliko vingine lakini mnakodi chopa nje ya nchi

Kweli nyani haoni..........
 
Shida kubwa inakuja.ndege wameiletankinyemela tcca pengine awana taarifa nayo ama.wanapooruka awatoi taarifa.kamili kwa.nini

kabla ya ndege kuruka lazima.capt.awe.na.weather anappkwenda...aone hali halisi.nazungumzia.metrr.na.taf...

Hapo ikitokea ukakuta hali imebadilika first dec n.kugeuza mlipotoka kama n.karibu ama alt airport yabkaribu. Akinachoumiza wengi ni dec making ya marubani hasa wengi wakiamini uzoefu

1))waangalie ndege iko reg...
2))waangalie capt na.crew walioendesha leseni ziko valid
3))na wasiwasi na.miaka ya mzee wangu silaa kama.ajazidi 60+
je tcaa walimpa ext perm ya kuendelea kurusha.ndege??
4))je wana mtu anawapa haliya hewa nzima.kabla ya kuruka..

Ushauri pamoja nakwamba.n.za kampeni tcaa insp wafanye emrg chk bila.kuwambia popote pale na.kama aziridhishiiwe ya chadema.ama ccm ziwe grounded

safety first

mungu awalinde nimesoma.msg ya jerry nimesikitika sana itv wanasema wamepatikana.mtoto anasema tuwaombee waonekane.kwa.mnaojua ndege vizuri kama nikupona.kwenye ndege utolewe pale pale else wamelala usikumzima mungu aingilie kati
 
Waziri wa mali hasili na utalii ndugu Lazaro Nyalandu amethibitisha kuwa chopa iliyombeba Deo Filikunjombe ililipuka baada ya kuanguka kando ya mto Ruaha kwenye hifadhi ya wanyama ya Selous (kitalu F2)

Nyalandu anasema kuwa alihibitishiwa na askari wa hifadhi hiyo kuwa chopa hiyo ilionekana kulipuka ingawa hakuna taarifa yoyote ya majeruhi wala vifo. Pia Nyalandu anathibitisha kuwa ndani ya Chopa hiyo alikuwepo Deo Filikunjombe.

Anaendeleza kusema kuwa amewaagiza RC wa Morogoro pamoja na RPC wa Morogoro kufika eneo la tukio huku akiagiza Chopa maalum za hifadhi hiyo kutumika katika uokozi.

Narudia tena hakuna taarifa yoyote ya majeruhi na vifo iliyoripotiwa.

Mods, kwa kuwa hii ni taarifa ya waziri wa mali hasili na utalii mwenye uwezo wa kupata taarifa za kina kuhusiana na mambo yanayotokea katika hifadhi na imethibitishwa na wanahabari; basi ni vyema mkaiacha huru au kuangalia namna ambavyo inaweza kusomwa na wanajukwaa.
 
Kuwakomboa Watu Kifikra Kungeweza Kufanyika Hata Kama Chopa Zisingetumika Unless Other Wise M4c Haikueleweka....
We gamba skia a baki kwenye mada! Tambua serikali yako hii ya ccm ni ya kingese sana inapokuja suala la uokoaji hawawezi
Si ajabu ukashanga sahvi wanaomba msaada kutoka south afrika ili waje wafanye rescue. ...Serikali ya kijinga sana hii
 
Insu ya mwamunyange sasa imezimwa na ajari ya chopa.. Hivi inawezekana kweli toka jana mpaka leo hakuna taarifa zozote hii nchi sasa tunakoenda siyo kuzuri.

Hii nchi ya ovyo sana maana hapo morogoro ndo vifaa vingi vya kijeshi vimejaa. Wangeshafika hata ndani ya dk 10 maana kila chombo kinachoruka wanakiona kwenye mitambo ya ulinzi. Na ndo maana wanajua exactly eneo ilikotokea ajari ili hali hawajafika.

Au wanaficha ukweli fulani, labda.
 
Nimeshangazwa sana na ajali ya Jana ya helicopter. Nilitegemea mpaka sasa ningepata taarifa juu ya kinachoendelea lakini cha sangaza naona kimya mpaka sasa. Serikali haina team ya snag ya uokozi KWA miaka 50 ya uhuru.

Ukiwaambia hivo wanachukia na watasema ni siasa
 
Jamani,yaani naogopa kupokea taarifa mbaya,kuna kitu wanaficha hapa,helkopiter imelipuka ikiwa na watu ndani,dah im smelling bad newz here
 
isije ikawa ni kutafuta tension ya kura za huruma.

nakumbuka jk alidondoka pale jangwani kumbe ilikuwa kupima tension ya watu..

mbowe naye akuwa nyuma katika hilo...(respect sana kamanda Mbowe kipindi kile unawania Urais)
 
Waziri wa mali hasili na utalii ndugu Lazaro Nyalandu amethibitisha kuwa chopa iliyombeba Deo Filikunjombe ililipuka baada ya kuanguka kando ya mto Ruaha kwenye hifadhi ya wanyama ya Selous (kitalu F2)

Nyalandu anasema kuwa alihibitishiwa na askari wa hifadhi hiyo kuwa chopa hiyo ilionekana kulipuka ingawa hakuna taarifa yoyote ya majeruhi wala vifo. Pia Nyalandu anathibitisha kuwa ndani ya Chopa hiyo alikuwepo Deo Filikunjombe.

Anaendeleza kusema kuwa amewaagiza RC wa Morogoro pamoja na RPC wa Morogoro kufika eneo la tukio huku akiagiza Chopa maalum za hifadhi hiyo kutumika katika uokozi.

Narudia tena hakuna taarifa yoyote ya majeruhi na vifo iliyoripotiwa.

Mods, kwa kuwa hii ni taarifa ya waziri wa mali hasili na utalii mwenye uwezo wa kupata taarifa za kina kuhusiana na mambo yanayotokea katika hifadhi na imethibitishwa na wanahabari; basi ni vyema mkaiacha huru au kuangalia namna ambavyo inaweza kusomwa na wanajukwaa.
Pia hakuna taarifa yoyote ya aliyepona iliyoripotiwa.
 
Kwani Si Unaona Dodoma Tumejenga Nini?
Jibu swali we gamba!yaani tangu jana na mpka leo serikali yko hii ya kim@# umeshindwa kuwapata. ....si ajabu washakuwa chakula cha wanyama Pori!
Jeshi linafanyaa nini!
 
Back
Top Bottom