TANZIA Helikopta yaanguka, aliyekuwa Mbunge wa Ludewa, Deo Filikunjombe na wengine wapoteza maisha!

TANZIA Helikopta yaanguka, aliyekuwa Mbunge wa Ludewa, Deo Filikunjombe na wengine wapoteza maisha!

kuna wimbo uliwahi kuimbwa kwamba "wema hawana maisha" Pasco atakuwa anayajua mashairi take.....ila kwa muda mrefu nilikuwa nasali ili filikunjombe,kangi lugola wahame nchi ya wafilisti,wake ukawa,sala zangu sijui zilichelewa wapi!!!
 
Last edited by a moderator:
hakika kila nafsi itaonja mauti..........imeniumaaaa saaaaaana
taarifa hizi nimezipata saa tano usiku sikutaka kuamini nimeamka asubuhi sikutaka kujua ila nilikuwa very sensitive kwenye mitandao..........daaaah
RIP bro.
 
Be carefu tena tubu haraka Mungu sio mwanadamu.. hakosolewi ana mamlaka yote,, ni wa haki.. yeye ni yule jana leo na hata milele
tubu atakusamehe yeye ni mwingi wa rehema
 
Hata sisi wapenzi wa ukawa ukisikia Filikunjombe amepita bila kupingwa bado unasikia rahaaaaaaa!!!!!!!
 
ccm imebakiza kibajaji NA makondakta.....mungu anawatoa watu wema
 
Ni kiongozi tulimuitaji katika kipindi hiki si kwa upande wa jimbo lake bali taifa kwa ujumla, alikuwa kiongozi hasiyejiona, aliyeishi maisha ya kitanzania, mchapa kazi, mwadirifu,mtu aliyeamini maendeleo ya jimbo lake ni watu kufanya kazi,aliwapenda watu wote bila kujali,vyama vyao vya siasa,alikuwa tayari kufanya kazi usiku mchana jua na mvua kuwaletea maendeleo wananchi wa tanzania,alichukia wizi na ufisadi na hakupenda makudi,

mungu haujatutendea haki kabisa katika kipindi ambacho taifa letu linaitaji viongozi wa namna hii kwa faida ya watanzania wote,
mungu akupumzishe mahali pema peponi

amina,
Akili mgando kama hizi hapa duniani zinapatikana ccm tu.
 
Jamii tuache utani na mungu kwa sababu si mjomba wako akuna wa kumchagulia mtu wa kumchukua kwa namna yoyote anavyo yeye inafaa
 
Kama ulimpenda sanaaa nakushauri siku anazikwa uzikwe pamoja naye uudhihirishie umma upendo wako kwake.

USIMRUSHIE MUNGU MADONGO ASIJE AKATULETEA SUNAMI NA MAVOLKANO TUHANGAIKE NAYO.
 
RIP Hon. Deo Filikunjombe bila kujali tofauti za kichama tumempoteza mwana Mabadiliko hakika.
 
Ni kiongozi tulimuitaji katika kipindi hiki si kwa upande wa jimbo lake bali taifa kwa ujumla, alikuwa kiongozi hasiyejiona, aliyeishi maisha ya kitanzania, mchapa kazi, mwadirifu,mtu aliyeamini maendeleo ya jimbo lake ni watu kufanya kazi,aliwapenda watu wote bila kujali,vyama vyao vya siasa,alikuwa tayari kufanya kazi usiku mchana jua na mvua kuwaletea maendeleo wananchi wa tanzania,alichukia wizi na ufisadi na hakupenda makudi,

mungu haujatutendea haki kabisa katika kipindi ambacho taifa letu linaitaji viongozi wa namna hii kwa faida ya watanzania wote,
mungu akupumzishe mahali pema peponi

amina,

Nadhani umeandika kwa kutanguliza hisia mbele,sidhani kama Mungu ndiye anayeua watu.
 
Acha kufuru wewe mleta mada, mtake radhi marehemu kwa kumtumia ndivyo sivyo
Yeye ndiye anayetoa na yeye ndiye anayetwaa , jina lake lihimidiwe.
 
Back
Top Bottom