chiembe
JF-Expert Member
- May 16, 2015
- 16,859
- 28,112
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mh! Inawezakana ISRAEL ameamka tayari yuko shambani anavuna pande hizi! Nashauri kila mmoja wetu ajiandae!
Akili mgando kama hizi hapa duniani zinapatikana ccm tu.Ni kiongozi tulimuitaji katika kipindi hiki si kwa upande wa jimbo lake bali taifa kwa ujumla, alikuwa kiongozi hasiyejiona, aliyeishi maisha ya kitanzania, mchapa kazi, mwadirifu,mtu aliyeamini maendeleo ya jimbo lake ni watu kufanya kazi,aliwapenda watu wote bila kujali,vyama vyao vya siasa,alikuwa tayari kufanya kazi usiku mchana jua na mvua kuwaletea maendeleo wananchi wa tanzania,alichukia wizi na ufisadi na hakupenda makudi,
mungu haujatutendea haki kabisa katika kipindi ambacho taifa letu linaitaji viongozi wa namna hii kwa faida ya watanzania wote,
mungu akupumzishe mahali pema peponi
amina,
Ni kiongozi tulimuitaji katika kipindi hiki si kwa upande wa jimbo lake bali taifa kwa ujumla, alikuwa kiongozi hasiyejiona, aliyeishi maisha ya kitanzania, mchapa kazi, mwadirifu,mtu aliyeamini maendeleo ya jimbo lake ni watu kufanya kazi,aliwapenda watu wote bila kujali,vyama vyao vya siasa,alikuwa tayari kufanya kazi usiku mchana jua na mvua kuwaletea maendeleo wananchi wa tanzania,alichukia wizi na ufisadi na hakupenda makudi,
mungu haujatutendea haki kabisa katika kipindi ambacho taifa letu linaitaji viongozi wa namna hii kwa faida ya watanzania wote,
mungu akupumzishe mahali pema peponi
amina,
7- Mchungaji Mtikila
Taïfa limefunikwa na nguvu kubwa ya nguvu za giza.hizi ni ishara taïfa hili linakwenda kuangamia.