TANZIA Helikopta yaanguka, aliyekuwa Mbunge wa Ludewa, Deo Filikunjombe na wengine wapoteza maisha!

TANZIA Helikopta yaanguka, aliyekuwa Mbunge wa Ludewa, Deo Filikunjombe na wengine wapoteza maisha!

Kuna mtumishi (Mwalimu) alipanda kwenye Jukwaa siku Lowassa aliyokwenda nyumbani kwa Mr Wine,jamaa aliongelea kero za walimu katika jimbo hilo,gazeti la wiki mbili zilizopita la mwananchi limeripoti kwamba yule mwalim ameitwa kuhojiwa kwa kujihusisha na siasa.Soma link hiyo
https://www.google.co.tz/url?sa=t&r...VJX4n83b7yhSyA_kQ&sig2=SGpYaHWf9lkdVdvvG4lO7w
http://www.yuvinusm.co.tz/2015/10/mwenyekiti-wa-chama-cha-walimu-cwt.html

Kushtakiwa ni kitu cha kawaida maana yeyote yule anaweza kushtakiwa hata kwa kosa la kutunga au la kuZushiwa, kutiwa hatiani ndio kitu hot kidogo maana lazima kosa liwepo kweli na sheria ionekane kuwa kweli ilikiukwa/ilivunjwa.. Sasa hao tume ya utumishi wanataka kuitia hasara bure serikali kwa kuja kumlipa huyo Mwalimu pesa za usumbufu kwa kumshtaki bila kosa kwa makusudi ilhali wakijua kuwa hajafanya kosa. Mkoba Gratian itabidi nae wamshtaki..

Tatizo ni maafisa utumishi wengi wa Halmashauri pamoja na wanasheria wao kufanya kazi kwa kukurupuka au kwa mashinikizo kutoka viongozi wa kisiasa!
 
Yeah,mi nimejaribu tu kugusia ambacho kinatokea na kilichotokea
 
Daah Mungu anisamehe ila mi kila mara hua namkumbuka mke wa Deo
Yule dada amenikaa kichwani kwelikweli, hivi ameshapata mume tayari?
Kuna kipindi walikua wanamzushia Zitto kua amejimilikisha jimbo basi mimi roho ilikua inaniuma kinoma.

Maendeleo hayana chama
 
Ni miaka kadhaa, ulisema dunia sasa basi. Ulikuwa CCM mwili ila roho Tanzania. Kifo chako, je kilitokea je? Je ilikuwa ni kwa sababu ya mapenzi ya Mungu au mapenzi ya binadamu? Nimekukumbuka sana.

Sent using Jamii Forums mobile app
Siyo nasema vibaya ila ni sifa ndio ilimuwaisha Deo. Yani mtu umepita bila kupingwa bila mpinzani yani wewe ni kuzunguka tu na kampeni hadi helkopta ikachoka.

Ila ni vizuri katangulia kuliko kuwepo na kushuhudia upuuz wa Jiwe.
 
Daah Mungu anisamehe ila mi kila mara hua namkumbuka mke wa Deo
Yule dada amenikaa kichwani kwelikweli, hivi ameshapata mume tayari?
Kuna kipindi walikua wanamzushia Zitto kua amejimilikisha jimbo basi mimi roho ilikua inaniuma kinoma.

Maendeleo hayana chama
Nimepeleka mahari mkuu

Pole sana
 
Jamani acheni hizo! Huu Uzi was kale ukikaa juu unatisha
 
Duh........ Mbona mnaleta uchuro??

Nyuzi ina heading ya TANZIA

Kwa hali inayopitia nchi yetu kwa sasa, kufukua hayo makaburi, ni kama kulitabiria mabaya Taifa letu
 
Back
Top Bottom