sajo
JF-Expert Member
- Nov 8, 2010
- 3,474
- 6,195
Kuna mtumishi (Mwalimu) alipanda kwenye Jukwaa siku Lowassa aliyokwenda nyumbani kwa Mr Wine,jamaa aliongelea kero za walimu katika jimbo hilo,gazeti la wiki mbili zilizopita la mwananchi limeripoti kwamba yule mwalim ameitwa kuhojiwa kwa kujihusisha na siasa.Soma link hiyo
https://www.google.co.tz/url?sa=t&r...VJX4n83b7yhSyA_kQ&sig2=SGpYaHWf9lkdVdvvG4lO7w
http://www.yuvinusm.co.tz/2015/10/mwenyekiti-wa-chama-cha-walimu-cwt.html
Kushtakiwa ni kitu cha kawaida maana yeyote yule anaweza kushtakiwa hata kwa kosa la kutunga au la kuZushiwa, kutiwa hatiani ndio kitu hot kidogo maana lazima kosa liwepo kweli na sheria ionekane kuwa kweli ilikiukwa/ilivunjwa.. Sasa hao tume ya utumishi wanataka kuitia hasara bure serikali kwa kuja kumlipa huyo Mwalimu pesa za usumbufu kwa kumshtaki bila kosa kwa makusudi ilhali wakijua kuwa hajafanya kosa. Mkoba Gratian itabidi nae wamshtaki..
Tatizo ni maafisa utumishi wengi wa Halmashauri pamoja na wanasheria wao kufanya kazi kwa kukurupuka au kwa mashinikizo kutoka viongozi wa kisiasa!