Hello future Hubby

Miaka 35! Hongera mkuu, umri ulioweka ni mkubwa mno.
 
Sawa mkuu
 
Si uweke namba mambo ya kuuziana picha humu ID zetu hahaha no
 
Nafanya kazi na Nina kipato kinachonitosha“ kwa hii point tu wewe anza kuandaa kamati ya sendoff .. mume unaye na ndoa unayo.
Tunataka kujua kwanza hicho kipato anachopata ni kiasi gani kwa mwezi!? Maana hata laki tatu nacho ni kipato!!
 
Mbona ni kama uko njema bibie how comes ukose mtu huko duniani??
 
PM umeifunga tunazamaje
 
Wengi hawajui wanataka Nini, wanachezewa na kuchezeana hivyo akili ikija kukaa sawa basi muda umekwenda kidogo, wanaume wengi husband material huoa watoto wenye 20's.
 
Kikubwa hawa wanaume hawapendi kuombwa hela kwahiyo kama wewe unazo zinazotosha mahitaji yako , utawapata wengi. Au nasema uongo Balqior?
Hao wanawake wengine wenye vipato hachelewi kuja na laki 8 akakuomba umuongezee Milioni 9 na laki 2 ili ananuwe gari la Milioni 10,hapo sasa nani atakua kanunua hilo gari kama siyo mwanaume!? Wajanja sana hao wanawake wenye vipato vya sirini!!
 
Sawa mkuu
Sio unaenda Bar au Lounge za uchochoro nenda sehemu unazotaka kupata mwanaume wa hadhi yako, akili kichwani sikwambii mara 2 sasa kakae kwenye daladala mwanaume atakae kaa na wewe na kukuongelesha ndio mumeo akili kichwani
 
1.Huna miaka 32
2.Usizanie kuzaa ni jambo la kawaida kawaida hasa ww
3.Pesa ya Mwanamke siku zote haijawahi kimtosha Wenda mashangazi
4.Nakutania bana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…