kiss daniel
JF-Expert Member
- Mar 1, 2019
- 758
- 2,062
Umezisahau ndugu yanguNaaam naaam
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Umezisahau ndugu yanguNaaam naaam
😊Duh mkeka wako mrefu
Mambo mengi but nakumbuka kila mdogo angu...Umezisahau ndugu yangu
Asante ndugu nikumbuke sana rafikiMambo mengi but nakumbuka kila mdogo angu...
Sawa mkuuUnachagua sana wewe tafuta bar iliyo karibu nawe kaa peke yako subiri hapo mume unaemtaka atakufuata nimekupa mbinu mpya
Zingatia; nyashi iwe inaoneonekana vizuri na wa kwanza kukufuata ndio awe wa mwisho chaguo lako usiendekezwe na tamaa kutaka wanaume 100 hutowaweza utapoteza tu muda wako
wew upewe ulinzi kabisaKikubwa hawa wanaume hawapendi kuombwa hela kwahiyo kama wewe unazo zinazotosha mahitaji yako , utawapata wengi. Au nasema uongo Balqior?
Si uweke namba mambo ya kuuziana picha humu ID zetu hahaha noWakuu
Nmekuja kwenu kwa heshima kabisa, nmechoka upweke wa muda mrefu
Natafuta mume sio mpenzi
SIfa zangu
1. Mimi ni mrefu kiasi mweusi
Sio mnene wala mwembamba (nyash ipo)
Nafanya kazi na Nina kipato kinachonitosha
Ni mkristo mkatoliki
Sina mtoto wala sijawahi kuolewa
Naishi Dar
Nina miaka 32
Mwanaume ninayemtaka
1. Awe Dar sitaki long distance relationship kwa sababu nmeachana na x wangu kwa sababu ya umbali.
2. Uwe na kazi ya kukuingizia kipato au biashara
3 uwe tayari kuwa na familia, ndoa takatifu na kuwa baba wa familia
4. Uwe na akili timamu
5. Uwe mrefu mweusi ( mimi ni mweusi)
6. Uwe mkristu ( Lutheran au catholic ) wasabato hapana
7. Uwe umemaliza ujana sitakuwa na muda wa kukufatilia
8. Umri uanzzie 35 hadi 45
Nimekuja humu kwa sababu naamini mliopo humu ndo mliopo mtaani pia. Kwahiyo naomba msinibeze ukiona sikufai tafadhali usije pm
PM yangu ipo wazi, karibu future husband tuyajenge, nitakupenda hadi utafurahi
Tunataka kujua kwanza hicho kipato anachopata ni kiasi gani kwa mwezi!? Maana hata laki tatu nacho ni kipato!!“Nafanya kazi na Nina kipato kinachonitosha“ kwa hii point tu wewe anza kuandaa kamati ya sendoff .. mume unaye na ndoa unayo.
refa kaonyesha mpira urudi kati😂Dakika ya 94
PM umeifunga tunazamajeWakuu
Nmekuja kwenu kwa heshima kabisa, nmechoka upweke wa muda mrefu
Natafuta mume sio mpenzi
SIfa zangu
1. Mimi ni mrefu kiasi mweusi
Sio mnene wala mwembamba (nyash ipo)
Nafanya kazi na Nina kipato kinachonitosha
Ni mkristo mkatoliki
Sina mtoto wala sijawahi kuolewa
Naishi Dar
Nina miaka 32
Mwanaume ninayemtaka
1. Awe Dar sitaki long distance relationship kwa sababu nmeachana na x wangu kwa sababu ya umbali.
2. Uwe na kazi ya kukuingizia kipato au biashara
3 uwe tayari kuwa na familia, ndoa takatifu na kuwa baba wa familia
4. Uwe na akili timamu
5. Uwe mrefu mweusi ( mimi ni mweusi)
6. Uwe mkristu ( Lutheran au catholic ) wasabato hapana
7. Uwe umemaliza ujana sitakuwa na muda wa kukufatilia
8. Umri uanzzie 35 hadi 45
Nimekuja humu kwa sababu naamini mliopo humu ndo mliopo mtaani pia. Kwahiyo naomba msinibeze ukiona sikufai tafadhali usije pm
PM yangu ipo wazi, karibu future husband tuyajenge, nitakupenda hadi utafurahi
Wengi hawajui wanataka Nini, wanachezewa na kuchezeana hivyo akili ikija kukaa sawa basi muda umekwenda kidogo, wanaume wengi husband material huoa watoto wenye 20's.Still bado anachagua mpaka afike 40 ndio atasema nataka anaepumua tu, kuna ndugu yangu wa kike walifunga ndoa na jamaa yake jamaa hana kazi na binti by the time alikua hana kazi zaidi ya shughuli ndogo ndogo tu za hapa na pale wakapitisha michango (hio michango ndio ukawa mtaji wao) mpaka sasa wamepiga hatua sana binti kapata kazi na jamaa kapata kazi ila wameoana hawana kitu walikua na akili tu kichwani basi mengine ni jinsi ya kuzitumia akili zao kusonga mbele, kwa hio akili ni muhimu zaidi kuliko kipato kuliko muonekano
Mkuu Kwa umri huo ,wengi Wana familia na watoto au mtoto , Mimi Nina 33 Sina mtoto na nimejiajili ,kama hautojali karibuNmetaja mkuu 35 hadi 45
Hao wanawake wengine wenye vipato hachelewi kuja na laki 8 akakuomba umuongezee Milioni 9 na laki 2 ili ananuwe gari la Milioni 10,hapo sasa nani atakua kanunua hilo gari kama siyo mwanaume!? Wajanja sana hao wanawake wenye vipato vya sirini!!Kikubwa hawa wanaume hawapendi kuombwa hela kwahiyo kama wewe unazo zinazotosha mahitaji yako , utawapata wengi. Au nasema uongo Balqior?
Sio unaenda Bar au Lounge za uchochoro nenda sehemu unazotaka kupata mwanaume wa hadhi yako, akili kichwani sikwambii mara 2 sasa kakae kwenye daladala mwanaume atakae kaa na wewe na kukuongelesha ndio mumeo akili kichwaniSawa mkuu
1.Huna miaka 32Wakuu
Nmekuja kwenu kwa heshima kabisa, nmechoka upweke wa muda mrefu
Natafuta mume sio mpenzi
SIfa zangu
1. Mimi ni mrefu kiasi mweusi
Sio mnene wala mwembamba (nyash ipo)
Nafanya kazi na Nina kipato kinachonitosha
Ni mkristo mkatoliki
Sina mtoto wala sijawahi kuolewa
Naishi Dar
Nina miaka 32
Mwanaume ninayemtaka
1. Awe Dar sitaki long distance relationship kwa sababu nmeachana na x wangu kwa sababu ya umbali.
2. Uwe na kazi ya kukuingizia kipato au biashara
3 uwe tayari kuwa na familia, ndoa takatifu na kuwa baba wa familia
4. Uwe na akili timamu
5. Uwe mrefu mweusi ( mimi ni mweusi)
6. Uwe mkristu ( Lutheran au catholic ) wasabato hapana
7. Uwe umemaliza ujana sitakuwa na muda wa kukufatilia
8. Umri uanzzie 35 hadi 45
Nimekuja humu kwa sababu naamini mliopo humu ndo mliopo mtaani pia. Kwahiyo naomba msinibeze ukiona sikufai tafadhali usije pm
PM yangu ipo wazi, karibu future husband tuyajenge, nitakupenda hadi utafurahi
Sishihuo ni uongooo
Used car from Japan.1. Awe Dar sitaki long distance relationship kwa sababu nmeachana na x wangu kwa sababu ya umbali.
Umri wa baba yangu huo, mimi bado kadogo🤣8. Umri uanzzie 35 hadi 45