Twin Tower
JF-Expert Member
- Jan 13, 2023
- 4,903
- 7,213
Kwa haya yanaendelea huko TZ sijui kama wataruhusu JF kurudi.
Watasingizia kosa lolote na kuingeza muda wa kifungo
Watasingizia kosa lolote na kuingeza muda wa kifungo
Na sasa inaongezeka instagramJf haitakaa irudi hewani tena kwa normal condition, itaendelea kufungiwa kama akina X, Tiktok na Clubhouse.
Hivyo for the time being, VPN is your friend!
Brother, huku tunaishi kwa hisani ya VPN.. dhambi zetu zote tumembebesha Melo.Kaka huku empire ya nanjilinji mambo bado, vipi huko malawi ya daslam kukoje?
SahihiHuko si mpaka muwashe VPN ndio muingie JF mkuu?