PostGE2025 Hello JF! Siku 90 za kifungo kutoka TCRA zimeisha rasmi, Karibuni wote tuendelee kuenjoy zaidi na zaidi

PostGE2025 Hello JF! Siku 90 za kifungo kutoka TCRA zimeisha rasmi, Karibuni wote tuendelee kuenjoy zaidi na zaidi

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections
Mkuu hv wakiendelea kutufungia na sisi wote tukaendelea kutumia vpn tunapata hasara gani?

JF watapata hasara, angalia kwenye "users online". Ni watu wachache sana wana uelewa wa VPN. JF imepoteza users kwa kiasi kukubwa sana. Na pia sio wote waliokuwa wanaingia JF ni members. Wengine wanaungia kupata habari tuu na hawana uelewa wa VPN.
 
Wanaosomeka ndani ya mipaka ya jamhuri ya Tz bado wapo kifungoni no matter muda wa siku 90 umeisha na sidhani kama wataifungulia. Haya bhana binafsi nasomeka Netherland kwasasa naenjoyJF mwanzo mwisho nikibadiri nchi mbalimbali bara la Ulaya kwa wanaowaita mabepari, sijui wenzangu na mie mnasomeka pande gani now.....?🤗
 
Rasmi leo Disemba 6 adhabu ya kufungiwa kwa jukwaa letu pendwa la JamiiForums imemalizika

JF Ilipata ban tarehe 6 September 2025 kwa maelezo ya kukiuka Kanuni za Mawasiliano ya Kielektroniki na Posta kuhusu maudhui mtandaoni

Soma Pia: Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) yatangaza kuifungia JamiiForums

Katika hizi siku 90 kuna member wenzetu walipotea kabisa hewani lakini sasa tunaamini watarejea.

Wape salamu wote waambie wasiyempenda kaja huku!
kwahio sasa bila VPN tutaingia humu
 
Wanaosomeka ndani ya mipaka ya jamhuri ya Tz bado wapk kofungoni no matter muda wa siku 90 umeisha na sidhani kama wataifungulia. Haya bhana binafsi nasomeka Netherland kwasasa naenjoyJF mwanzo mwisho nikibadiri nchi mbalimbali bara la Ulaya kwa wanaowaita mabepari, sijui wenzangu na mie mnasomeka pande gani now.....?
ivi nyie mnafikaje huko? Au ndo mabalozi? Connection vipi tukashiriki kwa pamoja kuvila vibinti vya kizungu? Mnajua huwa mnainjoi sana nyie.
 
Mimi kuamini kuwa jf imefunguliwa,ni mpaka jf wenyewe waje na uzi wa kutukaribisha humu na kutuomba radhi baada ya kifungo.
 
Wanaosomeka ndani ya mipaka ya jamhuri ya Tz bado wapk kofungoni no matter muda wa siku 90 umeisha na sidhani kama wataifungulia. Haya bhana binafsi nasomeka Netherland kwasasa naenjoyJF mwanzo mwisho nikibadiri nchi mbalimbali bara la Ulaya kwa wanaowaita mabepari, sijui wenzangu na mie mnasomeka pande gani now.....?🤗
Niko German, maeneo ya Berlin katiii.
😂😂😂😂
 
Rasmi leo Disemba 6 adhabu ya kufungiwa kwa jukwaa letu pendwa la JamiiForums imemalizika

JF Ilipata ban tarehe 6 September 2025 kwa maelezo ya kukiuka Kanuni za Mawasiliano ya Kielektroniki na Posta kuhusu maudhui mtandaoni

Soma Pia: Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) yatangaza kuifungia JamiiForums

Katika hizi siku 90 kuna member wenzetu walipotea kabisa hewani lakini sasa tunaamini watarejea.

Wape salamu wote waambie wasiyempenda kaja huku!
Ok siku zinaenda kwa kasi kweli kweli, ila bado bila VPN hutoboi
 
Back
Top Bottom