Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Habari zenu wakuu.
Hatimaye nimejiunga rasmi JF baada ya kuwa anonymous kwa kipindi cha miaka miwili. Alienifanya nimejiunga ni rafiki yangu Mzigua90 baada kuona app ya JamiiForum kwenye simu yangu lakini sijajisajili.
Nategemea ushirikiano wenu.
Alamsik.
karibu sanaa jf.Habari zenu wakuu.
Hatimaye nimejiunga rasmi JF baada ya kuwa anonymous kwa kipindi cha miaka miwili. Alienifanya nimejiunga ni rafiki yangu Mzigua90 baada kuona app ya JamiiForum kwenye simu yangu lakini sijajisajili.
Nategemea ushirikiano wenu.
Alamsik.
avatar inajielezaaaaChura ipo?
Rafiki utanitesa sana hapa JF!Asante
Asantee sana
Hahahaaaaa sio kikundi cha wafuaji iki