Hello JF

Hello JF

Karibu Tanzania online
Habari zenu wakuu.

Hatimaye nimejiunga rasmi JF baada ya kuwa anonymous kwa kipindi cha miaka miwili. Alienifanya nimejiunga ni rafiki yangu Mzigua90 baada kuona app ya JamiiForum kwenye simu yangu lakini sijajisajili.

Nategemea ushirikiano wenu.
Alamsik.
 
karibu sanaa jf.
kuna Kila aina ya watu
washinda pm na washinda Majukwaani.
ukimkataa kwa nyodoo mwanaume wa jf atakutolea mapovu kwa kila thread
 
Karibu mamito.

Kwanza kuna fundi vitongozi huku. Halafu wanaume wa humu wengi wao hawana vifua. Vifua vyao wamebebea chuchu tu ila kuhifadhi mambo hawawezi.
Kuna wale wengine wa pm kitu kidogo anakuja pm ukatia neno th anakuuzia kesi.
 
Back
Top Bottom