Mzigua90
JF-Expert Member
- Sep 23, 2014
- 38,342
- 88,625
Ndio ndioo
Hahaha! Vifua wamebebea chuchu? Hahaha
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahaha! Vifua wamebebea chuchu? Hahaha
Hahaha! Mpaka naandika hapa bado nacheka.Ndio ndioo
Samahani nina swali, sina lengo baya na wala usinifikirie vibaya na kama hautokuwa na jibu its OK vilevile, kuwa huru. Hivi hiyo avatar yako ni wewe?Ndio ndioo
Samahani nina swali, sina lengo baya na wala usinifikirie vibaya na kama hautokuwa na jibu its OK vilevile, kuwa huru. Hivi hiyo avatar yako ni wewe?
Ya ngap?Ndio ndioo
Ya ngap?
Mwenza una ushepu sijui nijiuzulu tu kabla sijakatwa....Yes dear ni mimi
Lala ukue mtoto mzuri etNiko kitandani napambana na mawazo ya kwenda Golden J au nilale tu
Mwenza una ushepu sijui nijiuzulu tu kabla sijakatwa....
Lala ukue mtoto mzuri et
Haha mimi mwenyewe kibonge ila sina ushepu au tupeane zamu ya gymAsante mwenza. Baby zetu wameniambia nimekua kibonge sana lakini. Usijiuzulu mwenza nikiachwa ushikilie wewe asije mwingine wakati nikipambana na gym
Pumzika tu..kesho utalewa vizuri siunajua kesho sikukuu ni mwendo vyupa tu na wew washkaji zako watu wa mpiraNiko kitandani napambana na mawazo ya kwenda Golden J au nilale tu
Aya usiku mwemaSawa kaka mzuri ngoja nilale
Pumzika tu..kesho utalewa vizuri siunajua kesho sikukuu ni mwendo vyupa tu na wew washkaji zako watu wa mpira
Haha mimi mwenyewe kibonge ila sina ushepu au tupeane zamu ya gym
Aya usiku mwema
Asante sana na ubarikiweUsiku mwema kipenzi..
HongeraYes dear ni mimi
Hongera
Najua wewe ni mwerevu na huu si msemo mgeni kwako kuusikia. Kuwa makini umbile lako hilo ni hatari kwa wanaume.